Chadema ilivyopindua kura za maoni Kalenga
>Moja ya sifa za mwanasiasa ni kuwa mvumilivu na kukubaliana na mabadiliko hata kama yatachelewesha kasi ya kutimiza ndoto yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi08 Feb
MKUTANO WA KURA ZA MAONI ZA CCM JIMBO LA KALENGA
KAIMU Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga amewasihi wajumbe wa mkutano huo kumchangua...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/PHKC1AOWfhxWrhpbQ0UL7NDYr28waFGyytaI2ECy3jhNHgCHIRfXCF1LmEeifMckKtkQ6zphqtERK3nzJFaZ-HGSnWMC0Y6Y/godfreymgimwa.jpg?width=650)
MTOTO WA MGIMWA ASHINDA KURA ZA MAONI CCM, KUGOMBEA JIMBO LA KALENGA
Mtoto wa marehemu Dk. Mgimwa, Godfrey Mgimwa atakayegombea Jimbo la Kalenga CCM. MATOKEO ya kura za maoni ndani ya CCM yametangazwa usiku wa kuamkia leo huku mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Godfrey Mgimwa akishinda kwa kishindo katika nafasi hiyo, akifuatiwa na Jackson Kiswaga katika matokeo hayo. Godfrey Mgimwa amepata kura 342 huku Kiswaga akipata kura 170 na Mkuu wa Wilaya ya...
11 years ago
Michuzi09 Feb
news alert: MTOTO WA MGIMWA ASHINDA KURA ZA MAONI KUGOMBEA UBUNGE WA KALENGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-U6ch77ZthSw/Usr-azhxvWI/AAAAAAAFFMM/S-5gzAGzO08/s1600/w74.jpg)
Mtokeo ya kura za maoni ndani ya CCM yametangazwa usiku wa kuamkia leo huku mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Godfrey Mgimwa akishinda kwa kishindo katika nafasi hiyo, akifuatiwa na Jackson Kiswaga katika matokeo hayo.
Godfrey Mgimwa amepata kura 342 huku Kiswaga akipata...
10 years ago
Mwananchi24 Jul
Rushwa yaahirisha kura ya maoni Chadema
>Uchaguzi wa kura za maoni ndani ya Chadema katika Jimbo la Bariadi umeahirishwa baada ya kubainika kwa matukio yanayoashiria vitendo vya rushwa.
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
Kura za maoni Chadema Mbeya balaa
KURA za maoni, nafasi ya ubunge kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Mbeya zime
Mwandishi Wetu
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fhPygtaQPtk/Vb4bsbbpRKI/AAAAAAAHtTo/oHcxbFJRyxs/s72-c/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini
![](http://4.bp.blogspot.com/-fhPygtaQPtk/Vb4bsbbpRKI/AAAAAAAHtTo/oHcxbFJRyxs/s640/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto 6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri 385Brian Baraka 263
![](http://1.bp.blogspot.com/-LMP3afylAhU/Vb4bssanzKI/AAAAAAAHtTw/-b5C-BzlmoM/s640/unnamed%2B%252833%2529.jpg)
10 years ago
Mwananchi22 Jul
Wabunge Chadema waangukia katika kura za maoni
>Kura za maoni ndani ya Chadema zimeanza kuwa chungu kwa baadhi ya wabunge. Mbunge wa Mbulu, Mustapha Akoonay na mwingine wa Viti Maalumu, Susan Lyimo (Kinondoni) jana waliangukia pua, huku mwenzao wa Karatu, Mchungaji Israel Natse akitangaza kuachana na ubunge na kurejea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Mwakyembe, Malila wapeta kura za maoni Chadema
>Mkutano Maalumu wa Chadema Jimbo la Temeke umempitisha Bernard Mwakyembe kugombea ubunge katika jimbo hilo. Mwakyembe (33) alipata ushindi wa asilimia 66.7 kwa kuvuna kura 80 kati ya 120 katika mkutano uliotaka kuingia rabsha baada ya wajumbe kutoka Kata ya Sandari kuzuiwa kupiga kura kutokana na kutokidhi vigezo vya katiba.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania