Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jose Chameleone ampongeza Professor Jay kwa kushinda ubunge

Mwanamuziki wa Uganda, Jose Chameleone amempongeza rafiki na msanii mwenzake Joseph Haule a.k.a Professor Jay kwa kusinda ubunge jimbo la Mikumi katika uchaguzi uliofanyika Oct.25. Professor na Chameleone waliwahi kushirikiana katika remix ya wimbo wa ‘Ndivyo Sivyo’ miaka kadhaa iliyopita, pamoja na wimbo mwingine uitwao ‘Kwaajili Yako’ ambao Professor alimshirikisha mkali huyo kupitia studio yake […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Music: Professor Jay f/ Jose Chameleone — Kwaajili Yako

Professor Jay ameachia single yake mpya aliyomshirikisha swahiba wake, Jose Chameleone. Ngoma inaitwa ‘Kwaajili Yako’ na imetayarishwa na Villy kwenye studio za Mwanalizombe.

 

10 years ago

Vijimambo

Professor Jay kapita kura za maoni Ubunge huu hapa

Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa mkongwe wa Hip Hop Joseph Haule aka Professor Jay ambaye wiki zilizopita alishinda kura za maoni kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo katika Jimbo la mikumi Morogoro.
Sasa leo Agosti 7, 2015 amekutana na ripota wa TZA na kupiga naye stori kuhusiana na mchakato wa kura za maoni jinsi ulivyofanyika.
‘Namshukuru Mungu kura za maoni zimeenda vizuri, niwapongezi tu watu wa CHADEMA kwa kutimiza demokrasia na tuliweza kupga kura na nimeweza kuibuka...

 

10 years ago

Vijimambo

AY ATUMA SALAM ZA POLE KWA JOSE CHAMELEONE KWA KIFO CHA AK47

Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini Tanzania AY amemtumia Jose Chameleone kwa kifo cha kaka yake ambaye pia ni mwamnamuziki nchini Uganda.

Marehemu Emmanuel Mayanja maarufu kwa jina la AK47 amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa hospitali baada ya kuanguka akiwa bafuni.

Taarifa zimeeleza kuwa kabla ya mauti kumkuta, AK47 alikuwa katika baa moja ya usiku iliyopo eneo la Kabalagala pamoja na marafiki zake.

Imeelezwa kuwa alidondoka akiwa bafuni wakati akiongea na simu na kukimbizwa katika...

 

10 years ago

Michuzi

HABARI NJEMA kwa kila shabiki wa PROFESSOR JAY.

Naomba kutumia fursa hii kuitambulisha kwenu rasmi official website yangu ambayo ni http://www.profesajay.comKwa habari zangu za uhakika, kuhusu MUZIKI, VIDEOS, SHOWS, INTERVIEWS, PHOTOS na kila kinachonihusu... Kuwa wa kwanza kupata taarifa zangu, Asanteni sana kwa kunisupport siku zote!! LOVE..

 

9 years ago

Bongo5

Ujumbe wa Sugu kwa Professor Jay kuhusu lawama za wasanii

sugu na jay

Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu na Mbunge wa jimbo la Mikumi Mhe. Joseph Haule a.k.a Professor Jay, ni wasanii wa muziki ambao wamefanikiwa kuingia kwenye Bunge la 11 baada ya kushinda kwenye uchaguzi wa mwaka huu.

sugu na jay

Kupitia 255 ya XXL Sugu ambaye alikuwa Mbunge kwenye bunge lililopita, amempa ushauri Professor ambaye ndio ameingia mjengoni kwa mara ya kwanza kuhusu malalamiko kutoka kwa wasanii.

“Unajua wasanii wamekuwa wakilalamika kuhusu uwepo wangu...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Abba Marcus (mtoto wa Jose Chameleone) akipagawisha mashabiki kwa kulishambulia jukwaa na baba yake

Like father like son! Mtoto wa Jose Chameleone aitwaye Abba Marcus anaonesha dalili nyingi za kufuata nyayo za baba yake kwenye muziki. Baada ya kuachia wimbo wake ‘Game Over’ mwezi September, tayari ameshoot video ya wimbo huo ambayo bado haijatoka. Dr. Jose Chameleone alishare picha wakati wa kushoot video hiyo na kuandika “Abba Marcus aka […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Jose Chameleone — Milliano

Superstar wa Uganda, Jose Chameleone ameachia ngoma mpya ‘Milliano’. Isikilize hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani