STEPS ISHU SIYO KUUZA BUKUBUKU, TUTAWAMALIZAJE MAHARAMIA?
KWENU wasambazaji wakongwe wa sinema za Kibongo, Kampuni ya Steps Entertainment. Bila shaka mko poa na mnaendelea na shughuli zenu za kusambaza kazi za wasanii wetu wa Bongo Movies. Binafsi mimi ni mzima wa afya, naendelea vizuri na majukumu yangu ya kila siku. Kwa heshima ya pekee naomba niutambue uwepo wa Mkurugenzi wa Steps, Diresh Solanki, umechangia kwa kiasi fulani kukuza sanaa nchini. Dhumuni la barua hii ni kutaka...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo507 Jul
Weusi kuuza album yao mtandaoni kukwepa maharamia
10 years ago
GPLJACK WA CHUZ: NDOA SIYO ISHU
10 years ago
GPLMASTAA: WATOTO KWANZA, NDOA SIYO ISHU
10 years ago
GPLISHU SIYO MATATIZO BALI NAMNA TUNAVYOYAPOKEA NA KUYATATUA!
10 years ago
Bongo Movies14 Jan
Mastaa wa Kike: Watoto Kwanza, Ndoa Siyo Ishu
WAKATI mastaa kadhaa wa kike wa filamu Tanzania wakionekana umri wao kuwatupa mkono, lakini wakiwa hawana ndoa wala watoto, baadhi yao wamefunguka kuwa wanahitaji zaidi kupata uzao kuliko kuishi maisha ya kuolewa.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam, walisema suala la ndoa ni majaaliwa na si jambo unaloweza kupanga, kwa vile mwenye uwezo wa kufanya hayo yote ni Mungu, kama ilivyo katika kuamua kuzaa au la.
Coletha Raymond ‘Koletha’, alisema katika maisha ya Kitanzania,...
10 years ago
GPLISHU SIYO KUPEWA MIMBA, ANAYEKUPA NI NANI, WAKATI GANI?-2
10 years ago
GPLISHU SIYO KUPEWA MIMBA, ANAYEKUPA NI NANI, WAKATI GANI?
10 years ago
GPLTOP TEN YA MASTAA KUVAA NUSU UTUPU SIYO ISHU KWAO!
10 years ago
Bongo521 Jan
Dude asema anakubaliana na Steps kuuza filamu moja Tsh 1,500