Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa: Serikali ya JK imeongeza umasikini

lowassa-1NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MGOMBEA urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ameanza kuishambulia Serikali ya awamu ya nne kwa kushindwa kuinua uchumi.

Akizungumza mbele ya maelfu ya wananchi waliofurika Makao Makuu ya Chadema, muda mfupi baada ya kutoka kuchukua fomu ya uteuzi katika ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Lowassa alisema Rais Jakaya Kikwete, aliyemuita rafiki yake,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ujinga, umasikini na maradhi vitakuwa historia kwenye serikali yangu — Lowassa

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye wakiwapungia wananchi wa mjini Ngombe walipokuwa wakiwasili katika Uwanja wa National Housing mjini humo ulipofanyika mkutano wa kampeni za mgombea huyo jana. […]

The post Ujinga, umasikini na maradhi vitakuwa historia kwenye serikali yangu – Lowassa appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Ujinga, umasikini na maradhi vitakuwa historia kwenye serikali yangu-Lowassa

Mgombea urais wa Chadema kwa mwamvuli wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa  amesema akiwa rais wa Awamu ya Tano atafuta maadui watatu ambao ni ujinga, maradhi na umasikini waliodumu tangu nchi ipate uhuru mwaka 1961.

 

11 years ago

Michuzi

Viongozi acheni kuuza utajiri na kununua umasikini - Mh. Lowassa

 Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa amewanyooshea vidole viongozi wa kimila wa kabila la wamasai (malaigwanani),viongozi wa vijiji na wale wa CCM wilayani humo, kuwa wanalaumiwa kwa kushiriki katika uuzaji ardhi kinyume na sheria.
 Akifungua semina ya siku mbili ya juu ya maswala ya ardhi kwenye ukumbi wa hoteli ya Emanyata mjini Monduli,Mh. Lowassa amesema  shutuma hizo zimekuwa nyingi kwa viongozi hao kwa kuuza utajiri (ardhi) na kununua umasikini.
"Walikuja pale...

 

11 years ago

Habarileo

JK: Taasisi za serikali ziongeze kasi kupunguza umasikini

Meneja wa Shamba la Kahawa la AVIV linalomilikiwa na Kampuni ya Olam, Medappa Ganapati akimuonesha Rais Jakaya Kikwete mche bora wa kahawa iliyozaa vyema, wakati Rais alipokagua shamba hilo katika kijiji cha Lipokela wilayani Mbinga mkoani Ruvuma juzi. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete ametaka taasisi za Serikali, kuongeza kasi ya kupunguza umasikini miongoni mwa wananchi, akisisitiza kuwa wananchi wamekaa katika umasikini kwa muda mrefu kupita kiasi.

 

9 years ago

StarTV

Watu wenye uwezo watakiwa kuisaidia Serikali Kupambana Na Umasikini

Watu wenye uwezo wa kifedha wameaswa kujitoa kuisaidia serikali katika kupambana na janga la umasikini nchini ikiwa pamoja na kuwainua kiuchumi baadhi ya wananchi wasiojiweza kimaisha.

Rai hiyo imetolewa katika hafla ya kuwatunuku shahada ya uzamivu baadhi ya watendaji wa serikali pamoja na Baadhi ya watu wanaofanya kazi kiroho iliyofanyika Jijini Mwanza.

Chuo cha Africa Graduate University, makao makuu yake  nchini Sierra Leone limejikita mkoani Mwanza Kutunuku vyeti Vya heshima shahada ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Operesheni Tokomeza Ujangili imeongeza idadi ya walemavu

OPERESHENI Tokomeza Ujangili iliyoendeshwa kinyama, imesababisha ulemavu kwa baadhi ya wananchi. Ilikuwa ikiendeshwa na askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), polisi...

 

10 years ago

Vijimambo

HURUMA MHAPA: BIOGESI IMEONGEZA UPENDO NDANI YA NYUMBA

Mfugaji na mkulima wa kijiji cha Ibumila kata ya Kichiwa wilayani Njombe Huruma Mhapa (kulia) akielezea namna alivyo nufaika na matumizi ya biogesi kwa kutumia samadi alipotembelewa na kamati ya uhamasishaji wa matumizi ya biogesi (NBSC) pamoja wataalum kutoka Programu ya uenezi wa mitambo ya biogesi ngazi ya kaya (TDBP). Maadhimisho biogesi kitaifa yalifanyika katika Kitongoji cha Lunyunyu, Halmashauri ya Mji Njombe mkoani Njombe jana. (Picha na Friday Simbaya)Mratibu wa Program ya Biogesi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwanini Rwanda imeongeza muda wa marufuku ya kutotoka nje?

Marufuku ya kutotoka nje ilikuwa imalizike mwishoni mwa juma hili, lakini mambo hayajawa kama ilivyopangwa

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tatizo ni Lowassa au serikali?

WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amerudia wito wake wa kuitaka serikali kutafuta ufumbuzi wa kuboresha elimu nchini, akisema iko hoi kiasi cha kuzalisha wataalam wasioajirika. Lowassa ambaye pia ni mbunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani