JK: Taasisi za serikali ziongeze kasi kupunguza umasikini
RAIS Jakaya Kikwete ametaka taasisi za Serikali, kuongeza kasi ya kupunguza umasikini miongoni mwa wananchi, akisisitiza kuwa wananchi wamekaa katika umasikini kwa muda mrefu kupita kiasi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Tasaf kupunguza umasikini
SERIKALI kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf), imedhamiria kupunguza umasikini katika familia kupitia mpango wa kunusuru kaya. Hayo yalibainishwa mjini hapa juzi na Mkurugenzi wa Programu za Jamii, Amadeus...
9 years ago
Habarileo21 Aug
Milioni 345/- kupunguza umasikini
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imepokea Sh 345,213,000 kwa ajii ya kuwajengea uwezo watu wanaoishi katika mazingira magumu na kuziwezesha kaya masikini kuongeza kipato cha kugharimia mahitaji muhimu.
10 years ago
Habarileo12 Mar
Halmashauri 14 kunufaika mradi kupunguza umasikini
HALMASHAURI 14 za Mikoa ya Arusha na Njombe zinatarajiwa kunufaika na Mradi na Kupunguza Umasikini Mradi na Kupunguza Umasikini awamu ya tatu unaofadhiliwa na Mfuko wa Umoja wa Nchi zinazozalisha Mafuta Duniani (OPEC), unaotekelezwa chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).
10 years ago
Mtanzania21 Sep
Kikwete: Afrika inaweza kupunguza umasikini
![Rais Jakaya Kikwete](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jakaya-Kikwete1.jpg)
Rais Jakaya Kikwete
NA MWANDISHI MAALUMU, WASHINGTON
RAIS Jakaya Kikwete amesema pamoja na changamoto nyingi ambazo nchi za Afrika zinakumbana nazo, bado kuna uwezekano wa kuupunguza umasikini.
Kauli hiyo aliitoa mjini hapa jana katika mkutano unaojadili maendeleo na kumaliza umasikini ulioandaliwa na Shirika la Misaada la Marekani (USAID).
“Tukiwa na sera sahihi, Serikali kuingilia kati pamoja na ushirikiano na sekta binafsi, inawezekana kuondoa umasikini. Juhudi hizi zikifanikiwa...
10 years ago
Dewji Blog16 Jan
Kupunguza umasikini kuendelea kuwa lengo kuu la milenia- UN
Ofisa Habari wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza na washiriki wa Uzinduzi wa Kampeni ya Chukua Hatua Dhidi ya Umasikini 2015, iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
![Ofisa Habari Umoja wa Mataifa (UN), Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza na washiriki wa Uzinduzi wa Kampeni ya Chukua Hatua Dhidi ya Umasikini 2015, iliyofanyika jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/IMG_0146.jpg)
Ofisa Habari Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza na washiriki wa Uzinduzi wa Kampeni ya Chukua Hatua Dhidi ya Umasikini 2015, iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
![Ofisa Habari Umoja wa Mataifa (UN), Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza na washiriki wa Uzinduzi wa Kampeni ya Chukua Hatua Dhidi ya Umasikini 2015, iliyofanyika jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/IMG_0125.jpg)
Ofisa Habari wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza...
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Mghwira aahidi kusimamia mapato ya kodi kupunguza umasikini
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-RL_zS3t4Oqo/XtDlSSDFCbI/AAAAAAAAQwQ/3fk412VORsIzmFZEiifbVW6ZA7unXhZVgCK4BGAYYCw/s72-c/IMG-20200511-WA0432%2B%25284%2529.jpg)
MWENDO WA KASI NI BOMU LINALOWAACHIA WATANZANIA UMASIKINI!
![](https://1.bp.blogspot.com/-RL_zS3t4Oqo/XtDlSSDFCbI/AAAAAAAAQwQ/3fk412VORsIzmFZEiifbVW6ZA7unXhZVgCK4BGAYYCw/s320/IMG-20200511-WA0432%2B%25284%2529.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-l5e5B6uFV_8/XtDlTjFmLfI/AAAAAAAAQwY/c0e2sHg8zxEEcse-ObD375TAlx-xy6DCwCK4BGAYYCw/s320/IMG-20200511-WA0429%2B%25284%2529.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-3Vpy3pSWPmU/XtDhyX_H_EI/AAAAAAAAQvs/zi1tkLfG1msARtKIo_YcObIZpmzPhISAACK4BGAYYCw/s320/IMG-20200513-WA0121.jpg)
Kombo Kessy Mhanga wa ajali picha ya kwanza kabla hajapata ajali,picha inayomuonyesha akiwa amepata ajali na amekatwa miguu yote miwili,picha ya tatu Kombo Kessy akiwa katika picha ya pamoja ma mkewe.
Na Veronica Ignatus."Hivi ninavyozungumza nawe nina Barua inayonipa siku 14 nilipe kodi ya Nyumba Tsh. 170, 000/ au niondoke kwenye nyumba niliyopanga, Nina Mke na watoto watano,Nimechanganyikiwa sijui nifanyaje .. Ajali kutokana na mwendo kasi imeharibu kabisa Maisha yangu." Anasema Kombo...
10 years ago
Tanzania Daima13 Sep
‘Tunaweza kupunguza kasi ya ajali’
CHAMA cha Kutetea Abiria nchini (Chakua), kimesema kinaweza kupunguza kwa kiwango kikubwa ajali ndani ya miezi miwili. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu wa chama...
11 years ago
Habarileo04 Jan
Unguja wafanikiwa kupunguza kasi ya kutelekeza wake
MKUU wa Wilaya ya Kaskazini B Unguja, Khamis Jabir amesema wamepiga hatua kubwa ya kutoa elimu kwa makundi mbalimbali ya wanaume juu ya kuepuka matukio ya udhalilishaji wa kijinsia kwa wanaume ikiwemo kutelekeza wake na watoto.