Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujinga, umasikini na maradhi vitakuwa historia kwenye serikali yangu — Lowassa

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye wakiwapungia wananchi wa mjini Ngombe walipokuwa wakiwasili katika Uwanja wa National Housing mjini humo ulipofanyika mkutano wa kampeni za mgombea huyo jana. […]

The post Ujinga, umasikini na maradhi vitakuwa historia kwenye serikali yangu – Lowassa appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ujinga, umasikini na maradhi vitakuwa historia kwenye serikali yangu-Lowassa

Mgombea urais wa Chadema kwa mwamvuli wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa  amesema akiwa rais wa Awamu ya Tano atafuta maadui watatu ambao ni ujinga, maradhi na umasikini waliodumu tangu nchi ipate uhuru mwaka 1961.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watoto yatima, ujinga, umasikini na Ukimwi

DESEMBA mwaka 2002, nilitoa mada juu ya Ukimwi, katika Kongomano la kimataifa juu ya Ukimwi, lililofanyikia Arusha. Kwa unyenyekevu mkubwa niliunga mkono matumizi ya kondomu, kama njia mojawapo ya kuzuia...

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa: Serikali ya JK imeongeza umasikini

lowassa-1NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MGOMBEA urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ameanza kuishambulia Serikali ya awamu ya nne kwa kushindwa kuinua uchumi.

Akizungumza mbele ya maelfu ya wananchi waliofurika Makao Makuu ya Chadema, muda mfupi baada ya kutoka kuchukua fomu ya uteuzi katika ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Lowassa alisema Rais Jakaya Kikwete, aliyemuita rafiki yake,...

 

10 years ago

Vijimambo

JK aziponda sera za uchumi za Nyerere, adai zimechangia umasikini wa Tanzania (na maoni yangu)

Rais Jakaya Kikwete amezilaumu sera za uchumi za Tanzania baada ya nchi yetu kupata uhuru akidai zimepelekea hali duni ya kiuchumi.Alieleza kuwa sera hizo ni moja ya sababu zinazoifanya Tanzania kuwa katika kundi la Nchi Masikini Zaidi Duniani (The Least Developed Countries - LCD) tangu utaratibu huo wa kuzigawanya nchi kutokana na viwango vyake vya kiuchumi na maendeleo uanze miaka ya 70.Akihutubia Alhamisi iliyopita jijini Washington DC, nchini Marekani katika Kongamano la Shirika la...

 

11 years ago

Mwananchi

Ujinga wa zama zilizopita, si lazima uwe ujinga wa zama hizi

“Kila taifa lina ujinga wake,” haya ni maneno yaliyotolewa na Profesa Palamagamba Kabudi alipokuwa akitoa mada kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hivi karibuni.

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi acheni kuuza utajiri na kununua umasikini - Mh. Lowassa

 Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa amewanyooshea vidole viongozi wa kimila wa kabila la wamasai (malaigwanani),viongozi wa vijiji na wale wa CCM wilayani humo, kuwa wanalaumiwa kwa kushiriki katika uuzaji ardhi kinyume na sheria.
 Akifungua semina ya siku mbili ya juu ya maswala ya ardhi kwenye ukumbi wa hoteli ya Emanyata mjini Monduli,Mh. Lowassa amesema  shutuma hizo zimekuwa nyingi kwa viongozi hao kwa kuuza utajiri (ardhi) na kununua umasikini.
"Walikuja pale...

 

10 years ago

Mwananchi

Familia ya mpigania uhuru kwenye lindi la umasikini

Mkoa wa Kagera, zamani ulijulikana Mkoa wa Ziwa Magharibi, jina la Alli Matata ni maarufu sana. Ni jina lililotokana na uzalendo wake wa kupinga sheria kandamizi za kikoloni na hata kumng’ata kidole mzungu.

 

11 years ago

Habarileo

JK: Taasisi za serikali ziongeze kasi kupunguza umasikini

Meneja wa Shamba la Kahawa la AVIV linalomilikiwa na Kampuni ya Olam, Medappa Ganapati akimuonesha Rais Jakaya Kikwete mche bora wa kahawa iliyozaa vyema, wakati Rais alipokagua shamba hilo katika kijiji cha Lipokela wilayani Mbinga mkoani Ruvuma juzi. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete ametaka taasisi za Serikali, kuongeza kasi ya kupunguza umasikini miongoni mwa wananchi, akisisitiza kuwa wananchi wamekaa katika umasikini kwa muda mrefu kupita kiasi.

 

9 years ago

StarTV

Watu wenye uwezo watakiwa kuisaidia Serikali Kupambana Na Umasikini

Watu wenye uwezo wa kifedha wameaswa kujitoa kuisaidia serikali katika kupambana na janga la umasikini nchini ikiwa pamoja na kuwainua kiuchumi baadhi ya wananchi wasiojiweza kimaisha.

Rai hiyo imetolewa katika hafla ya kuwatunuku shahada ya uzamivu baadhi ya watendaji wa serikali pamoja na Baadhi ya watu wanaofanya kazi kiroho iliyofanyika Jijini Mwanza.

Chuo cha Africa Graduate University, makao makuu yake  nchini Sierra Leone limejikita mkoani Mwanza Kutunuku vyeti Vya heshima shahada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani