Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujinga wa zama zilizopita, si lazima uwe ujinga wa zama hizi

“Kila taifa lina ujinga wake,” haya ni maneno yaliyotolewa na Profesa Palamagamba Kabudi alipokuwa akitoa mada kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hivi karibuni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Hizi si zama za zidumu fikra za mtu mmoja

KWA masuala ya mapenzi au imani, kila mtu huwa na haki ya kupenda akitakacho na kuamini lile analolipenda na hata kuliabudu. Ukiachilia wengi wanaoabudu Mungu, wapo wanaoabudu sanamu, watu, wanyama...

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK kuandaa vijana ni mkakati uliofeli katika zama za leo

RAIS Jakaya Kikwete katika siku za hivi karibuni amekuwa akiwakumbusha Watanzania umuhimu wa kuwandaa vijana kushika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya vyama vya siasa na Taifa kwa ujumla. Wakati...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nakumbuka Mzee Mwinyi na ‘kila zama na kitabu chake’

LEO ningependa kuwausia wanasiasa walioko madarakani hasa kwenye nafasi za juu katika vyama na serikalini. Upande wa pili unawahusu wanasiasa wenye nia na utashi mkubwa kutaka kujitokeza kuomba nafasi za...

 

11 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Natamani zirejee zama za Usalama wa Taifa enzi za Nyerere

Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeanza kukumbwa na matukio ambayo ni mapya na ya aina yake ya uhalifu kiasi kwamba tunajiuliza uko wapi usalama wa taifa wa enzi zile za utawala wa Rais Julius Nyerere?

 

9 years ago

Mwananchi

Tanzania inapoonja shubiri ya ujinga

Oktoba 29, mwaka huu, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ilitangaza matokeo ya urais yaliyoonyesha ushindi kwa mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli.

 

10 years ago

Mwananchi

Ujinga ni umaskini tosha usipobadilika

Nawakumbuka wapigania haki wa Kiafrika waliowahi kuliongoza ama kulitakia mema bara hili kwa uwezo wao.

 

10 years ago

Michuzi

USIKOSOE ZAMA ZILE EFM NA JOHN KITIME KILA JUMAPILI AKIKUHAKIKISHIA KUWA ZA KALE BADO ZINAPENDWA

EFM katika ubora wake wa kuhakikisha inawaletea burudani na elimu watu wa rika zote, ina kipindi kiitwacho Zama Zile, kipindi hiki cha saa tatu huwa hewani kila Jumapili kuanzia saa mbili hadi saa tano usiku.


Kipindi hiki huendeshwa na mwanamuziki gwiji  Anko John Kitime, ambaye ni mtunzi, mwimbaji, mpiga gitaa na pia ni mwanalibeneke aka blogger mahiri...


JOHN KITIME……Mwanamuziki huyu ambaye alianza kupiga katika muziki katika bendi mwaka 1968, na ambae  baba yake pia alikuwa mpiga gitaa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watoto yatima, ujinga, umasikini na Ukimwi

DESEMBA mwaka 2002, nilitoa mada juu ya Ukimwi, katika Kongomano la kimataifa juu ya Ukimwi, lililofanyikia Arusha. Kwa unyenyekevu mkubwa niliunga mkono matumizi ya kondomu, kama njia mojawapo ya kuzuia...

 

9 years ago

Mwananchi

Tunajenga dimbwi la ujinga kuelekea umaskini

Ni dhahiri kuwa watu maskini duniani ni wale wasiosoma. Watu maskini zaidi duniani ni wale waliopata elimu bandia na iliyowavuruga hata akili walizozaliwa nazo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani