Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIKOSOE ZAMA ZILE EFM NA JOHN KITIME KILA JUMAPILI AKIKUHAKIKISHIA KUWA ZA KALE BADO ZINAPENDWA

EFM katika ubora wake wa kuhakikisha inawaletea burudani na elimu watu wa rika zote, ina kipindi kiitwacho Zama Zile, kipindi hiki cha saa tatu huwa hewani kila Jumapili kuanzia saa mbili hadi saa tano usiku.


Kipindi hiki huendeshwa na mwanamuziki gwiji  Anko John Kitime, ambaye ni mtunzi, mwimbaji, mpiga gitaa na pia ni mwanalibeneke aka blogger mahiri...


JOHN KITIME……Mwanamuziki huyu ambaye alianza kupiga katika muziki katika bendi mwaka 1968, na ambae  baba yake pia alikuwa mpiga gitaa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Nakumbuka Mzee Mwinyi na ‘kila zama na kitabu chake’

LEO ningependa kuwausia wanasiasa walioko madarakani hasa kwenye nafasi za juu katika vyama na serikalini. Upande wa pili unawahusu wanasiasa wenye nia na utashi mkubwa kutaka kujitokeza kuomba nafasi za...

 

10 years ago

GPL

11 years ago

Michuzi

libeneke la anko john kitime lakata mbuga

HAHAHAHAHAHAAAA.... MPAKA SASA WALIOINGIA <www.chekanakitime.blogspot.com>  NA KUCHEKA WAMEKWISHA FIKA MILIONI MOJA!!!!  JE WEWE ULIKUWA MMOJA WAO???  KAMA BADO UNAKOSA UHONDO. tangazo hili kwa hisani ya mjomba  wangu (Kitime) wa Tosamaganga

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania Bloggers Network Wamfariji Mzee John Kitime kwa Kufiwa na mkewe

Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN), Joachim Mushi (kulia) akikabidhi ubani wa fedha shilingi 900,000 na kutoa pole kwa mwanamziki mkongwe, John Kitime (kushoto) ambaye amefiwa juzi na mkewe, tukio hilo lilifanyika jana Kimara eneo la Nguzo ya 800, jijini Dar es Salaam. Mzee Kitime ni mwanachama wa TBN. Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN), Joachim Mushi (kulia) akikabidhi ubani wa fedha shilingi 900,000 na kutoa pole kwa mwanamuziki mkongwe, John Kitime (kushoto) ambaye amefiwa juzi na mkewe, tukio hilo lilifanyika jana Kimara eneo la Nguzo ya 800, jijini Dar es Salaam. Mzee Kitime ni mwanachama wa TBN.Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN), Joachim Mushi (kulia) akitoa ujumbe wa pole kwa John Kitime na waombelezaji mara baada ya kukabidhi ubani wa fedha zilizotolewa na wanachama wa TBN jana eneo la Kimara Nguzo ya 800 jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wajumbe wa TBN walifika kumfariji Kitime ambaye pia ni mwanachama wa TBN. Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN), Joachim Mushi (kulia) akitoa ujumbe wa pole kwa John Kitime na waombelezaji mara baada ya kukabidhi ubani wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ujinga wa zama zilizopita, si lazima uwe ujinga wa zama hizi

“Kila taifa lina ujinga wake,” haya ni maneno yaliyotolewa na Profesa Palamagamba Kabudi alipokuwa akitoa mada kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hivi karibuni.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

mamia washiriki mazishi ya mke wa john kitime kwenye makaburi ya kinondoni,jijini dar leo

 Umati wa waombolezaji ulioshiriki kwenye mazishi ya Mke wa Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,Bw. John Kitime,Marehemu Janeth Joan Chidosa Kitime alizikwa leo kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam.Taratibu za mazishi zikiendelea kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam leo. Mume wa  Marehemu Janeth Joan Chidosa Kitime,Bw. John Kitime akitoka kuweka shada la maua kwenye kaburi la mkewe wakati wa mazishi yaliyofanyika jioni hii kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rambirambi kwa kifo cha mke wa mwanamuziki John Kitime na Baba yake msanii Dully Sykes

BASATA

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Mke wa Msanii mkongwe wa muziki wa dansi na Mjumbe wa Bodi ya BASATA Bw. John Kitime kilichotokea mwishoni mwa wiki iliyopita usiku wa kuamkia Ijumaa ya Tarehe 13/02/2014.

Aidha, BASATA linatoa salamu rambirambi kwa kifo cha Baba Mzazi wa Msanii Dully Sykes, Mzee Abby Sykes kilichotokea jana Jumapili ya Tarehe 15/02/2015.

Pamoja na vifo hivi kuacha majonzi na huzuni kwa wanafamilia, ni pigo pia kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani