HURUMA MHAPA: BIOGESI IMEONGEZA UPENDO NDANI YA NYUMBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-DXpOrdI77Vc/VgZTiE1x5hI/AAAAAAAAFuM/7OXtGw35QBg/s72-c/bango.jpg)
Mfugaji na mkulima wa kijiji cha Ibumila kata ya Kichiwa wilayani Njombe Huruma Mhapa (kulia) akielezea namna alivyo nufaika na matumizi ya biogesi kwa kutumia samadi alipotembelewa na kamati ya uhamasishaji wa matumizi ya biogesi (NBSC) pamoja wataalum kutoka Programu ya uenezi wa mitambo ya biogesi ngazi ya kaya (TDBP). Maadhimisho biogesi kitaifa yalifanyika katika Kitongoji cha Lunyunyu, Halmashauri ya Mji Njombe mkoani Njombe jana. (Picha na Friday Simbaya)
Mratibu wa Program ya Biogesi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-znlksAwEvUeAhs7Edq22BZ-8wLPXmFkVJwhNjYou7e3*AAw8svrVJagj3pgf0c6mu6eIdvE9sMW1SZSmVPiETQ/UPENDONKONE.jpg?width=650)
UPENDO NKONE AKITOA MATUMAINI NDANI YA UWANJA WA TAIFA
11 years ago
Dewji Blog08 Aug
Night Of Hope 2014: Upendo Nkone akitoa matumaini ndani ya uwanja wa Taifa Dar
Mwimbaji wa Injili, Upendo Nkone akiwapa matumaini wananchi waliohudhuria Usiku wa Matumaini muda huu ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Upendo Nkone akiwapa burudani wapenzi wa Gospel ndani ya Tamasha la Matumaini 2014.
Umati wa watu ndani ya Tamasha la Matumaini 2014.
Nkone akizidi kufanya yake pamoja na vijana wake.
Baadhi ya wanahabari na wadau wakifuatilia tamasha hilo.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-opstdXccnrQ/VCHMAMx7VWI/AAAAAAACrhU/YhzBw04IyUo/s72-c/JTM-027196.jpg)
MWANAMUZIKI RAPPA MAHIRI KUTOKA NCHINI MAREKANI T.I KUSAMBAZA UPENDO NDANI YA TAMASHA LA FIESTA OKTOBA 18,2014 JIJINI DAR
![](http://api.ning.com/files/n6JmThHrscYFP3bUuBsW7HGLI5xeOwij-*jv5X4IjRp7zZvtoAkzQJ-Ynkmdc4poag8l59n-VRFDQPL463PFmo-IRl78CnFH/tipress2013650c.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-P2qiopCGtTQ/VDG4UiO2-TI/AAAAAAAGoJM/81rDX6TEwrE/s72-c/1.jpg)
WAKAZI WA DODOMA WASAMBAZA UPENDO WA KUTOSHA NDANI YA TAMASHA LA FIESTA MKOANI DODOMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-P2qiopCGtTQ/VDG4UiO2-TI/AAAAAAAGoJM/81rDX6TEwrE/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-XjgVr8hRH6I/VDHP97QoYbI/AAAAAAAGoNE/DRSpW2L9ZwA/s1600/7.jpg)
Pichani ni kulia ni Msanii wa bongofleva AbdulKiba akiimba sambamba na kaka yake Alli Kiba ambaye amekuwa akifanya vyema katika anga ya muziki wa kizazi kipya kupitia nyimbo zake mbili alizoziachai hivi karibuni,ikiwemo MwanaDaisalama na Kimasomaso,
![](http://3.bp.blogspot.com/-q01ufSDEll8/VDJOCTrlcuI/AAAAAAACsT0/Xpoq0k0Ow9Y/s1600/IMG_3191.jpg)
10 years ago
Mtanzania11 Aug
Lowassa: Serikali ya JK imeongeza umasikini
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MGOMBEA urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ameanza kuishambulia Serikali ya awamu ya nne kwa kushindwa kuinua uchumi.
Akizungumza mbele ya maelfu ya wananchi waliofurika Makao Makuu ya Chadema, muda mfupi baada ya kutoka kuchukua fomu ya uteuzi katika ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Lowassa alisema Rais Jakaya Kikwete, aliyemuita rafiki yake,...
5 years ago
MichuziSTEPHEN MHAPA NA VENY MUYINGA KUCHULIWA FOMU NA WANANCHI KUGOMBEA JIMBO LA KALENGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Pa38L4fSjdw/XudF8Iu0eBI/AAAAAAAAH_I/SLULVH9oib8N71z6RqVSj9OMm0_1rJNYgCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20181204_123732.jpg)
Na Fredy Mgunda, IringaWANANCHI wa jimbo la kalenga mkoani Iringa wamewataka...
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Operesheni Tokomeza Ujangili imeongeza idadi ya walemavu
OPERESHENI Tokomeza Ujangili iliyoendeshwa kinyama, imesababisha ulemavu kwa baadhi ya wananchi. Ilikuwa ikiendeshwa na askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), polisi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2M0RhOKpKnYMsH6kKtMVsyhAYsYudXHKOuIrU5A7*cSnS8Idid0BAKPM0ZxIXzdJZcWOxl77RD3h3BJWudRH1C2/maahaba.jpg?width=650)
MIPAKA YA HAUSIGELI NDANI YA NYUMBA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ojSCGs3jvX2Bs809aePr8m4FBeo*-ajy6U*6*tgWArZgcUuJtXOyMDF1YTQsw*fEr1qoMGJDxdgR7*C*gnrHGDz*F9TRaR-f/MAHABA.jpg?width=650)
MIPAKA YA HAUSIGELI NDANI YA NYUMBA -2