Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STEPHEN MHAPA NA VENY MUYINGA KUCHULIWA FOMU NA WANANCHI KUGOMBEA JIMBO LA KALENGA

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Stephen Mhapa akiwa anatekeleza majukumu yake akiwa kwenye baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Iringa ( PICHA KUTOKA MAKTABA) Diwani wa kata ya Maboga Veny Muyinga akiongea waandiahi wa habari kuhusiana na maendeleo y kata hivyo.(PICHA KUTOKA MAKTABA)Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Stephen Mhapa akifurahia jambo na wananchi wa jimbo la kalenga
Na Fredy Mgunda, IringaWANANCHI wa jimbo la kalenga mkoani Iringa wamewataka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWALIMU AJITOKEZA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KALENGA KUPITIA CHADEMA

Katibu wa Chadema  Wilaya ya Iringa Vijijini, Felix Nyondo (kulia) akipokea fomu kutoka kwa Mwalimu Vitus Lawa (kushoto). Fomu hizo ni kwa ajili ya kuwania kinyang'anyiro cha kuwa mgombea wa Chadema Jimbo la Kalenga, Iringa.
Baadhi ya wadau waliomsindikiza Mwalimu Vitus Lawa kurejesha fomu za kuchaguliwa kuwania Ubunge wa Jimbo la Kalenga katika ofisi za chama hicho zilizoko kata ya Gangilonga, Iringa.…
...

 

11 years ago

GPL

MTOTO WA MGIMWA ASHINDA KURA ZA MAONI CCM, KUGOMBEA JIMBO LA KALENGA

Mtoto wa marehemu Dk. Mgimwa, Godfrey Mgimwa atakayegombea Jimbo la Kalenga CCM. MATOKEO ya  kura  za maoni  ndani ya  CCM yametangazwa usiku wa kuamkia leo huku mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa  Jimbo hilo, Godfrey Mgimwa akishinda kwa  kishindo  katika  nafasi hiyo, akifuatiwa na Jackson Kiswaga katika matokeo hayo. Godfrey Mgimwa amepata  kura 342 huku Kiswaga akipata kura 170 na Mkuu wa Wilaya ya...

 

10 years ago

Michuzi

MWANASHERIA MAKENE AREJESHA FOMU KUGOMBEA JIMBO LA KINONDONI

Mwansheria na Kada wa Chama cha Mapinduzi, Emmanuel Makene (katikati) akiwa ameambata na mkewe Dk. Sarah Makene kurejesha fomu za kuomba ridhaa ya wana CCM Kinondoni kuteuliwa kugombea Ubunge katika Jimbo la Kinondoni. Anaepokea fomu hizo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Athuman Sheshe. Wengine ni wapambe wa mgombea huyo waliomsindikiza kurejesha fomu hizo leo.Emmanuel Tamila Makene ambae ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya na Katibu wa Usalama na Maadili taifa wa Umoja wa vijana...

 

11 years ago

Michuzi

watano wachukua fomu kugombea ubunge jimbo la chalinze


Jumla ya wagombea watano wamechukua fomu za kuwania Kiti cha Ubunge katika Jimbo la Chalinze, Bagamoyo,  Zoezi  litafungwa rasmi tarehe 12 Machi 2014 saa kumi kamili alasiri, kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Uchaguzi wa Jimbo la Bagamoyo, David Shija.
Wagombea hao ni:-
Mathayo Torongey (CHADEMA) Phabian Skauki wa (CUF) Vuniru Hussein (NRA)  Ramadhan Mgaya (ASP)  Ridhiwani Kikwete (CCM)

 

10 years ago

Michuzi

QS Muhonda arudisha Fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni

 QS J Muhonda ambaye ambaye anasimamia kazi za wasanii kupitia kampuni yake ya QS leo alikua akirudisha Fomu ya Kuomba kugombea ubunge katika Jimbo la Kinondoni.
QS amesema kuwa ameamua kuchukua fomu na kugombea nafasi hiyo ili kuleta maendeleo ya jimbo hilo na pia anauwezo na ufanisi mkubwa wa kuleta maendeleo katika jimbo hilo la Kinondoni, Lakini pia una ushawishi mkubwa kwa vijana ambao ni taifa la leo kuwafanya kuwa nguvu kazi ya Taifa hususan vijana wengi wa kinondoni ambao hawana ajira...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jerry Slaa arejesha fomu ya kugombea ubunge jimbo la Ukonga

IMG_9354

Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya CCM taifa, Jerry William Silaa akionyesha fomu  aliyojaza kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 Mwaka huu nchini kote, wakati aliporejesha fomu hiyo katika ofisi za CCM wilaya ya Ilala aliyoikabidhi kwa Katibu Msaidizi wa CCM wilaya ya ILALA (kushoto).

Jerry Slaa aliongozana na Mwenyekiti wa tawi la Gulukakwalala ambako ndio nyumbani kwake, Mwenyekiti wa CCM kata ya Gongo la Mboto...

 

9 years ago

Dewji Blog

Nyalandu achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini

FOMU

Mgombea Ubunge Jimbo la Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu akichukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi CCM kwa  MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI, Mkurugenzi Mtendaji HAJJAT MWASUMILWE.

hotubA

Nyalandu akihutubia wananchi Kinyagigi.

kinyagigi

Lazaro Nyalandu akiwa Kinyagigi.

MAPOKEZI

Wananchi wa kijiji cha Kinyagigi wakimpokea Nyalandu.

 

9 years ago

Michuzi

Anthony Mavunde achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Dodoma jijini.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Dodoma,Antony Mavunde akionesha fomu alizochukua za kugombea Ubunge katika jimbo hilo nje ya ofisi za Halmashauri ya Dodoma.  Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini,Antony Mavunde akipungia mamia ya mashabiki wakati akielekea katika ofisi za Mkurugenzi wa Halmashauri ya Dodoma kwekuchukua fomu. Mavunde akifurahia jambo na Wafuasi wake.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini kupitia chama cha Mapinduzi,Antony Mavunde akikabidhiwa fomu na Afisa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani