MIPAKA YA HAUSIGELI NDANI YA NYUMBA -2
![](http://api.ning.com:80/files/ojSCGs3jvX2Bs809aePr8m4FBeo*-ajy6U*6*tgWArZgcUuJtXOyMDF1YTQsw*fEr1qoMGJDxdgR7*C*gnrHGDz*F9TRaR-f/MAHABA.jpg?width=650)
TUKO ndani ya kumalizia Sikukuu ya Pasaka, lakini moyo wangu utakuwa safi kama sikukuu hii itapita huku nikiwa nimetoa la moyoni kuhusu maisha ya wanandoa wa siku hizi. Ninaposema wanandoa namaanisha watu wawili wa jinsi tofauti wanaoishi kama mume na mke ndani ya nyumba moja. Katika miaka ya hivi karibuni, kimjinimjini familia nyingi zinazojiweza zimekuwa zikiajiri wasichana wa kazi (mahausigeli) kwa ajili ya kuwasaidia...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpGyo*J570-EwaXmx-P-kn9bjBPpeWNvXJIX1CjCuiGLtL5H2ZnX55rCF14lGuRaCVhJlHyON8JIdp*ICkCygOJJ/mahaba.jpg?width=650)
MIPAKA YA HAUSIGELI NDANI YA NYUMBA!-3
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2M0RhOKpKnYMsH6kKtMVsyhAYsYudXHKOuIrU5A7*cSnS8Idid0BAKPM0ZxIXzdJZcWOxl77RD3h3BJWudRH1C2/maahaba.jpg?width=650)
MIPAKA YA HAUSIGELI NDANI YA NYUMBA
10 years ago
MichuziKAMISHNA WA FORODHA NA ULINZI WA MIPAKA WA MAREKANI ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
11 years ago
Dewji Blog26 Jul
Kipindi cha “Mimi na Tanzania” chavuka mipaka ya Tanzania, safari ni ndani ya jiji la Washington DC
Pichani ni Mtangazaji anayeongoza Kipindi cha ‘Mimi na Tanzania’ Hoyce Temu aliyewahi kushika taji Miss Tanzania mwaka 1999 akiwa nje ya Ubalozi wetu wa Tanzania nchini Marekani mara baada ya kuwasili ambapo alimua kufunga safari kwa ajili ya kufanya mazungumzo maalum na Balozi wetu wa Tanzania nchini Marekani Mh. Liberata Mulamula.
Mtangazaji wa Kipindi cha Mimi na Tanzania Hoyce Temu akitia saini kitabu cha wageni kwenye Ubalozi wetu wa Tanzania nchini Marekani.
Hapa akiwa mapokezi ya...
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Tanapa yajenga nyumba za watalii wa ndani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iiq-5qTP3-mgNTCJgV5zZgQDpXZO7ITYyUjvJJ1N5hxT72NXa7lElBxzkcgFWby2E8w8sP6NUhLcwCFyG8rzZ1NqPgIR3Bfp/Nyumba.jpg)
NYUMBA YAUNGUA MARA 3 NDANI YA MWEZI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfaXkQTkr088tMmq8-11Y*5liW-5luW8mMMIsnE112PgiFQsDWN*EihwrbfQkJkIylqcWE96lakxiEgtw5shcpdL/WATU.jpg)
WATOTO 8 WAKUTWA WAMEUAWA NDANI YA NYUMBA AUSTRALIA
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-DXpOrdI77Vc/VgZTiE1x5hI/AAAAAAAAFuM/7OXtGw35QBg/s72-c/bango.jpg)
HURUMA MHAPA: BIOGESI IMEONGEZA UPENDO NDANI YA NYUMBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-DXpOrdI77Vc/VgZTiE1x5hI/AAAAAAAAFuM/7OXtGw35QBg/s640/bango.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-bQOtZTbVqRc/VgZTg8YwcZI/AAAAAAAAFuA/j7LgI36w3bA/s640/mfugaji.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-L0o1tW21-88/VgZTg1bAUSI/AAAAAAAAFt8/i6a2WHchhh8/s640/mratibu.jpg)
10 years ago
Mtanzania27 Jan
Mama aua watoto wake, awafukia ndani ya nyumba
NA THOMAS MURUGWA, TABORA
JESHI la Polisi linawashikilia watu wawili wakazi wa Manispaa ya Tabora kwa tuhuma za kuwanyonga watoto wawili hadi kufa, kisha kuwafukia ndani ya nyumba waliyokuwa wanaishi.
Tukio hilo la kusikitisha linadaiwa kufanyika juzi saa moja jioni katika eneo la Chechem Manispaa ya Tabora walikokuwa wakiishi watuhumiwa wa mauaji hayo.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Juma Bwire, amethibitisha jana kutokea kwa mauaji hayo ya kikatili na kuwataja watuhumiwa kuwa ni...