Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYUMBA YAUNGUA MARA 3 NDANI YA MWEZI

Na Shomari Binda,Musoma
KATIKA hali isiyo ya kawaida, nyumba ya mkazi wa Kata ya Nyasho Manispaa ya Musoma, David Obambo, imeungua moto mara tatu ndani ya mwezi mmoja na kuwashangaza watu. Askari wa zimamoto akishuhudia nyumba ilivyoteketea kwa moto. Tukio la kwanza la kuungua kwa nyumba hiyo, lilitokea Desemba 10, mwaka huu saa 7 mchana na wiki moja baadaye siku kama hiyo na muda huo nyumba hiyo iliungua tena na kusababisha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Nyumba yaungua, Sh10 milioni zateketea

Nyumba iliyopo Mtaa wa Chama cha Biblia, Kitunda Relini, Wilaya ya Ilala, imeteketea kwa moto sambamba na kuunguza fedha taslimu Sh10 milioni zililokuwamo ndani.

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: NYUMBA YA MKUU WA WILAYA YA KILWA YAUNGUA MOTO ASUBUHI HII

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE ZINASEMA NYUMBA YA MKUU WA WILAYA YA KILWA MHE ABDALLAH ULEGA IMESHIKA MOTO  ASUBUHI HII NA JUHUDI ZA KUUZIMA ZINAENDELEA HIVI SASA.  CHANZO CHA MOTO HUO NA MADHARA YAKE BADO HAVIJAJULIKANA. TUTAENDELEA KUWAPA TAARIFA  ZAIDI KWA KADRI ZITAVYOWEZA KUPATIKANA.

 

11 years ago

Dewji Blog

Simanzi zaendelea kutawala ndani ya nyumba ya Tanzania Movie Talents (TMT) mara baada ya mshiriki mwingine kuaga Shindano

Majaji wa shindano la TMT wakimsikiliza kwa makini Mshiriki wa TMT, Mwanaafa Mwinzago (anayeonekana kwenye runinga mbele) wakati akijielezea kabla ya filamu fupi aliyoshiriki kuonyeshwa ili majaji waweze kutoa hukumu kwa washiriki wa kundi hilo

IMG_3774

Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) katikati wakiwasikiliza washiriki wa kundi la kwanza wanavyojielezea kabla ya filamu fupi waliyochezwa kuonyeshwa katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa wiki iliyopita

Majaji wa Shindano la...

 

11 years ago

CloudsFM

POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA

Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...

 

9 years ago

Bongo5

Tamasha la BET Experience kufanyika Afrika kwa mara ya kwanza mwezi wa 12

Lile tamasha kubwa la BET Experience ambalo hufanyika L.A, Marekani wakati wa sherehe za utoaji wa tuzo za BET, linatarajiwa kufanyika Afrika kwa mara ya kwanza mwaka huu na kuitwa BET Experience Africa. Tamasha la BET Experience Africa ambalo litajumuisha burudani za aina mbalimbali ikiwemo muziki, comedy, mitindo, na mambo mengine mengi limepagwa kufanyika Desemba […]

 

10 years ago

Mwananchi

Nyumba 30 zabomolewa na mvua Mara

Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali, imesababisha nyumba zaidi ya 30 kuanguka, ng’ombe saba kufa katika vitongoji vya Maganana na Mgenda Msirori katika Kijiji cha Gusuhi, Kata ya Nyambureti Wilaya ya Serengeti mkoani Mara.

 

10 years ago

Mwananchi

Migogoro ‘nyumba intobhu’ yazisumbua mahakama Mara

Licha ya kukiri kwamba mila za jamii ya Wakurya inayojulikana kama Nyumba Intobhu inakiuka sheria, inaonekana kama Serihaifahamu pa kuanzia kuidhibiti hali hiyo na hivyo kuzidisha mkanganyiko wa uhalali wake.

 

10 years ago

GPL

AMINI APATA PIGO LA TATU NDANI YA MWEZI MMOJA

Staa wa Bongo Fleva, Amini Mwinyimkuu. Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
STAA wa Bongo Fleva, Amini Mwinyimkuu amepata pigo lingine la tatu kwa kufiwa na dada yake aitwaye Doto nyumbani kwao, Mwananyamala jijini Dar. Akizungumza na paparazi wetu kwa masikitiko, Amini alisema ameumia sana kupatwa na msiba huo wa tatu lakini anamshukuru Mungu kwani hawezi kuikosoa kazi yake.“Siwezi kuingilia kazi ya Mungu, hawa ndugu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani