NEWS ALERT: NYUMBA YA MKUU WA WILAYA YA KILWA YAUNGUA MOTO ASUBUHI HII
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE ZINASEMA NYUMBA YA MKUU WA WILAYA YA KILWA MHE ABDALLAH ULEGA IMESHIKA MOTO ASUBUHI HII NA JUHUDI ZA KUUZIMA ZINAENDELEA HIVI SASA. CHANZO CHA MOTO HUO NA MADHARA YAKE BADO HAVIJAJULIKANA. TUTAENDELEA KUWAPA TAARIFA ZAIDI KWA KADRI ZITAVYOWEZA KUPATIKANA.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
NEWS ALERT: NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO KILWA MASOKO USIKU WA KUAMKIA LEO
.jpg)
Familia moja ya Bw Bernad Towele dereva wa Gari la Takukuru Wilayani Kilwa Imenusurika baada ya Nyumba waliyokuwa wakiishi kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia katika mji mdogo wa kilwa masoko.
Akithibitisha kutokea kwa tukio la Ajali hiyo iliyotokea majira ya saa 6 usiku kuamkia leo,Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi,Joseph Mfungomara alieleza kuwa chanzo cha Moto huo bado hakijajulikana ila hakuna majeruhi.
Kamanda Mfungomara alimalizia kuwa Vitu...
11 years ago
Michuzi
MOTO WATEKETEZA NYUMBA YA MKUU WA WILAYA KILWA
11 years ago
Michuzi
news alert: Moto wateketeza kituo cha kupozea umeme cha mjini Moshi asubuhi hii
11 years ago
Michuzi25 Apr
news alert: ndege ya shirika la virgin yatekwa nyara indonesia asubuhi hii
9 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO ILALA JIJINI DAR LEO


Shughuli ya uzimaji moto huo ikielekea ukingoni baada ya kikosi cha zima moto kufika eneo la tukio na kuifanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa.

10 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: KAFULILA APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUMTUKANA MKUU WA WILAYA

MBUNGE wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe. David Kafulila amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Wilaya ya Kigoma kujibu shitaka la kutumia lugha ya matumisi dhidi ya Mkuu wa Wilaya Uvinza Khadija Nyembo.
Kafulila alifikishwa mahakamani hapo majira ya saa mbili asubuhi akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Mbele ya Hakimu David Ngunyale,Wakili wa Serekali Marysinta Lazaro alidai kuwa Kafulila alitenda kosa hilo tarehe 1 mwezi wa 8 mwaka 2013 katika kata...
11 years ago
Michuzi.jpg)
News Alert: Baraza la Maadili latoa amri ya kukamatwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe
Baraza la Maadili limetoa amri ya kukamatwa mara moja Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo kwa kukaidi wito wa kufika mbele ya Baraza hilo kujibu tuhuma zinazomkabili.
Akizungumza baada ya kuahirisha kikao cha Baraza hilo lililoanza vikao vyake tarehe 9/10/2014, Mwenyekiti wa Baraza la Maadili Mhe Balozi Jaji (Mst.) Hamisi Msumi alisema kuwa amri hiyo imetolewa kwa mujibu wa fungu la 24 (4) la Sheria ya Maadili ...
11 years ago
CloudsFM04 Jul
POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA
Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.
KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.
Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...
11 years ago
MichuziNEWS ALERT: MOTO WAZUKA SEHEMU YA UDOM USIKU