NEWS ALERT: MOTO WAZUKA SEHEMU YA UDOM USIKU
Uchunguzi umeanza asubuhi hiikujua chanzo cha kuzuka kwa moto karibu na hostel za wasichana katika skuli ya sanaa na lugha (School of Humanities) katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) usiku wa kuamkia leo. Athari za moto huo bado hazijajulikana.
Wakaazi wa mji huo walisikia vingo'ra vya magari ya zimamoto yakielekea chuoni huko kwa kasi, na miali mikubwa ya moto kuonekana katika vilima vya Chimwaga kipo chuo hicho usiku wa manane. Taarifa zaidi tutapeana kadiri zitavyotufikia
Wanafunzi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMOTO WAZUKA CHUO CHA UDOM USIKU WA KUAMKIA LEO
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: Moto wazuka tena katika Msikiti wa Mtambani leo
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-UesLEJlagrA/U6K269L4PzI/AAAAAAAFrrQ/RWG18-x3Hcg/s72-c/unnamed.gif)
NEWS ALERT: SEHEMU YA BARABARA YA Ubungo Mataa Dar es salaam kufungwa kesho na keshokutwa usiku kupisha ujenzi
![](http://1.bp.blogspot.com/-UesLEJlagrA/U6K269L4PzI/AAAAAAAFrrQ/RWG18-x3Hcg/s1600/unnamed.gif)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-pw3GXJuDHXs/UvtmO4eNnOI/AAAAAAAFMig/YWHlaH5RKJg/s72-c/unnamed+(3).jpg)
NEWS ALERT: NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO KILWA MASOKO USIKU WA KUAMKIA LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-pw3GXJuDHXs/UvtmO4eNnOI/AAAAAAAFMig/YWHlaH5RKJg/s1600/unnamed+(3).jpg)
Familia moja ya Bw Bernad Towele dereva wa Gari la Takukuru Wilayani Kilwa Imenusurika baada ya Nyumba waliyokuwa wakiishi kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia katika mji mdogo wa kilwa masoko.
Akithibitisha kutokea kwa tukio la Ajali hiyo iliyotokea majira ya saa 6 usiku kuamkia leo,Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi,Joseph Mfungomara alieleza kuwa chanzo cha Moto huo bado hakijajulikana ila hakuna majeruhi.
Kamanda Mfungomara alimalizia kuwa Vitu...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WhV0YN4Dquo/VDzFrAlZ-RI/AAAAAAAGqaA/1locxe5rtdk/s72-c/IMG-20141014-WA0002.jpg)
NEWS ALERT: LORI LA MAFUTA LAWAKA MOTO MBAGALA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-WhV0YN4Dquo/VDzFrAlZ-RI/AAAAAAAGqaA/1locxe5rtdk/s1600/IMG-20141014-WA0002.jpg)
Lori hilo pamoja na kupiga kwake mweleka halikuwa na madhara yeyote wala dalili ya kusema litawaka moto.Baada ya muda likaja kundi la vijana likiwa na madumu na mifuko ya plastiki na kuanza...
11 years ago
GPLMOTO MKUBWA WAZUKA JANCO MOTEL JIJINI MBEYA USIKU WA KUAMKIA LEO
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
News Alert: Mlemavu wa ngozi Mkuranga anyofolewa nyama usiku wa kuamkia leo
Mwenyekiti wa chama cha watu wenye ulemavu Tanzania (TAS) “Tanzania Albino Society” ndugu Ernest Kimaya amedhibitisha kutokea kwa tukio hilo asubuhi ya leo kupitia kipindi cha Radio cha Morning Magic kinachorushwa na Radio ya Magic FM.
Modewjiblog inaendelea kufuatilia taarifa hizi kwa ukaribu na tutaendelea kuwajuza zaidi hapo baadae.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-BXRWBqsbAlg/VlMcCI1IrBI/AAAAAAAIIBw/qn91bhqfi2o/s72-c/1100313d-b04d-43be-9583-271f834d449e.jpeg)
NEWS ALERT: NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO ILALA JIJINI DAR LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-BXRWBqsbAlg/VlMcCI1IrBI/AAAAAAAIIBw/qn91bhqfi2o/s640/1100313d-b04d-43be-9583-271f834d449e.jpeg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Y8XIkoCW5w4/VlMcCK4kmvI/AAAAAAAIIBo/wgZBHlG2O2o/s640/26c8f4e5-4a06-4be8-8222-69335b6e35f5.jpeg)
Shughuli ya uzimaji moto huo ikielekea ukingoni baada ya kikosi cha zima moto kufika eneo la tukio na kuifanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa.
![](http://1.bp.blogspot.com/-0PcoWdcA0QU/VlMcCODcpfI/AAAAAAAIIBs/GBH4NXBT-u8/s640/16b32c2a-ef2b-47e1-a435-5833636ea51f.jpeg)
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: GARI LATEKETEA MOTO JIRANI NA OFISI ZA KAMANDA WA POLISI KILIMANJARO
Gari dogo aina ya Suzuki Carry likiteketea moto katikati ya barabara maarufu kama Double Road jirani na makao makuu ya jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI