Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWS ALERT: GARI LATEKETEA MOTO JIRANI NA OFISI ZA KAMANDA WA POLISI KILIMANJARO



Gari dogo aina ya Suzuki Carry likiteketea moto katikati ya barabara maarufu kama Double Road jirani na makao makuu ya jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro.
Askari wa Kikosi cha zimamoto akijaribu kuzima moto uliokuwa ukiteketeza gari hilo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

News alert: Gari lateketea kwa moto mchana huu sinza Kumekucha, dar es salaam

 Gari dogo linalosemekana lilikuwa matengenezoni limeshika moto na kuteketea mchana huu eneo la Sinza Kumekucha jijini Dar es salaam. Mashuhuda wameiambia Globu ya Jamii eneo la tukio kwamba huenda chanzo kikawa moto wa kuchomelea ambapo fundi welding alikuwa kazini. Shughuli zikiendelea kama kawaid wakati gari hilo likiwaka motoHadi wakati ripota wetu akiondoka eneo hilo huku gari likizidi kuteketea hakuna dalili ya kuwepo ya juhudi za kuliokoa. Ihukuriwe hakuna mtu aliyepata madhara.

 

11 years ago

GPL

GARI LATEKETEA KWA MOTO

Gari likiteketea kwa moto mjini Arusha Gari hilo likiwa karibu na kituo cha mafuta cha Mount Meru. Gari la zima moto lililofika kuuzima moto huo.…

 

10 years ago

GPL

GARI LATEKETEA KWA MOTO MOROGORO

Gari dogo likiteketea kwa moto leo maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro. Gari la zimamoto likiwa limefika na kuanza kazi ya kuuizima moto huo.…

 

10 years ago

Vijimambo

GARI LATEKETEA KWA MOTO MAKUMBUSHO DAR

Gari dogo aina ya Toyota Mark ii lenye namba za usajili T 601 AHG, likiteketea kwa moto eneo la Makumbusho Usalama kama lilivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto jana jioni. Chanzo cha ajali hiyo hakikuweza kufahamika mapema.Gari hilo likiendelea kuteketea kw moto.Kama kawaida ya wabongo wasiokuwa wanahabari rasmi wakinasa matukio ili kusambaza katika mitandao.Foleni ya magari katika eneo hilo kila dereva akijaribu kushangaa huku moto ukizidi kuliteketeza gari dogo aina ya Toyota Mark ii lenye...

 

11 years ago

Michuzi

KAMANDA BOAZ WA KILIMANJARO ATOA ZAWADI KWA TIMU YA POLISI-KILIMANJARO YA MCHEZO WA KARATE

Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro SACP ,Robert Boaz akimvisha medali asakari Dominick Mafuru mmoja wa washindi wa mashindano ya mchezo wa Karate yaliyofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi. Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro .Robert Boaz akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa mchezo wa Karate ambao ni askari polisi,Kabelwa Ferdinando(katikati) na Wembo Ailala. Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro .Robert Boaz akiwa katika picha ya pamoja na...

 

11 years ago

Michuzi

News Alert: Ajali ya gari la mizigo barabara ya Arusha/Moshi leo


Gari lililokuwa limepakia shehena ya Sementi likiwa limepunduka katika barabara ya Arusha Moshi jirani na Bomang'ombe. Hakuna aliyejeruhiwa na chanzo cha ajali bado haijajulikana Vijana wakichukua mafuta katika tenki la mafuta ya gari lililoanguka.
Sehemu ya sementi iliyokuwa imepakiwa katika gari hilo . Askari polisi wa kituo cha polisi Bomang'ombe wakiwa katika eneo la tukio kuhakikisha kunakuwepo na hali ya usalama. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi.

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Mmoja apoteza maisha kufuatia ajali ya gari huko Lindi

ABIRIA mmoja kati ya 28 amekufa papo hapo na wengine kulazwa Hospitali ya mkoa wa Lindi, Sokine,kufuatia basi la kampuni ya CHALA Express walilokuwa wakisafiria kutoka Jijini Dar es salaam kwenda wilaya ya Newala mkoani Mtwara, kukwaruzana na Lori.
Abiria aliyepoteza maisha katika ajali hiyo anaitwa Amina Omari Makodora (48) mkazi wa kijiji cha Kilindoni,wilaya ya Mafia,mkoani Pwani.
Kwa mujibu wa abiria wengine walionusulika kwenye ajali hiyo,wameiambia Globu ya Jamii kuwa ajali hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MOTO WAZUKA SEHEMU YA UDOM USIKU

Uchunguzi umeanza asubuhi hiikujua chanzo cha kuzuka kwa moto karibu na hostel za wasichana katika skuli ya sanaa na lugha (School of Humanities) katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) usiku wa kuamkia leo. Athari za moto huo bado hazijajulikana.  Wakaazi wa mji huo walisikia vingo'ra vya magari ya zimamoto yakielekea chuoni huko kwa kasi, na miali mikubwa ya moto kuonekana katika vilima vya Chimwaga kipo chuo hicho usiku wa manane. Taarifa zaidi tutapeana kadiri zitavyotufikia Wanafunzi...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: ZAIDI ya abiria 40 Wajeruhiwa ajalini mkoano Kilimanjaro jioni ya leo

ZAIDI ya abiria 40 waliokuwa katika basi la Urio linalofanya safari zake kati ya mikoa ya Arusha na Lushoto-Tanga wamejeruhiwa vibaya baada ya basi hilo kupinduka wakati likijaribu kukwepa basi jingine katika makutano ya barabara ya kuelekea uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka eneo la tukio,inaeleza kwamba ajali hiyo ilitokea majira ya saa 10 jioni jirani kabisa na kituo cha mafuta kilichopo kando ya barabara ya Moshi-Arusha wakati magari hayo yakijiandaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani