News alert: Gari lateketea kwa moto mchana huu sinza Kumekucha, dar es salaam
Gari dogo linalosemekana lilikuwa matengenezoni limeshika moto na kuteketea mchana huu eneo la Sinza Kumekucha jijini Dar es salaam. Mashuhuda wameiambia Globu ya Jamii eneo la tukio kwamba huenda chanzo kikawa moto wa kuchomelea ambapo fundi welding alikuwa kazini. Shughuli zikiendelea kama kawaid wakati gari hilo likiwaka motoHadi wakati ripota wetu akiondoka eneo hilo huku gari likizidi kuteketea hakuna dalili ya kuwepo ya juhudi za kuliokoa. Ihukuriwe hakuna mtu aliyepata madhara.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: GARI LATEKETEA MOTO JIRANI NA OFISI ZA KAMANDA WA POLISI KILIMANJARO
Gari dogo aina ya Suzuki Carry likiteketea moto katikati ya barabara maarufu kama Double Road jirani na makao makuu ya jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro.
Askari wa Kikosi cha zimamoto akijaribu kuzima moto uliokuwa ukiteketeza gari hilo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
VijimamboGARI LATEKETEA KWA MOTO MAKUMBUSHO DAR
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: BANZA STONE AFARIKI DUNIA MCHANA HUU
TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA BAADAE KIDOGO.
11 years ago
GPLGARI LATEKETEA KWA MOTO
10 years ago
GPLGARI LATEKETEA KWA MOTO MOROGORO
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: MTI MKUBWA WAPIGA MWELEKA MCHANA HUU ENEO LA SEAVIEW
9 years ago
MichuziNEWS ALERT: NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO ILALA JIJINI DAR LEO
Shughuli ya uzimaji moto huo ikielekea ukingoni baada ya kikosi cha zima moto kufika eneo la tukio na kuifanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa.
10 years ago
MichuziNEWZZ ALERT; WALIOFARIKI KWA RADI MKOANI KIGOMA WAAGWA KWA MAZISHI MCHANA HUU.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Kanali Mstaafu Issa Machibya akisoma salamu za rambi rambi za mkoa wakati wa kuaga miili ya Wanafunzi na...
10 years ago
Michuzi13 Jul
NEWS ALERT: WATU KADHAA WAUWAWA, SILAHA ZAPORWA BAADA YA MAJAMBAZI KUVAMIA KITUO KIDOGO CHA POLISI CHA SITAKISHARI, UKONGA, JIJINI DAR ES SALAAM USIKU HUU
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema kwamba askari polisi kadhaa kituoni hapo pamoja na raia mmoja wameuwawa. Silaha kadhaa pia inasemekana zimeporwa na askari wako eneo la tukio hivi sasa.
Tunaendelea kufuatilia taarifa hii na tutawajuza maendeleo yake kadri tutapopata fununu...