Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Mapato ya gesi yatumike kuimarisha kilimo’

MJUMBE wa Baraza la Wajuzi kutoka Baraza la Habari (MCT) Jenerali Twaha Ulimwengu ameshauri serikali kuwekeza kwenye miradi ya uzalishaji kwa kutumia fedha zinazotokana mauzo ya gesi asilia na mafuta.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mapato ya gesi sasa hadharani

WAKATI eneo la kujenga kiwanda cha kuchakata gesi itakayovunwa baharini likitangazwa kupatikana wiki hii, uvunaji utakapoanza Serikali itapata mapato makubwa kutokana na mikataba minono iliyoingiwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lowassa: Mapato ya gesi yasaidie elimu

WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amesema kuwa elimu hapa nchini iko hoi, kwamba unahitajika ushirikiano wa pamoja baina ya wadau pamoja na kutumia mapato ya gesi kuinusuru. Lowassa ameishauri serikali...

 

9 years ago

Mwananchi

ACT Wazalendo kuimarisha kilimo

Mgombea urais kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Anna Mghwira amesema umaskini wa Mtanzania hauwezi kuondolewa kwa maneno, bali ni katika kutekeleza shughuli za kilimo.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Mapato ya gesi yatasomesha wanafunzi bure

Mgombea urais wa Chadema kwa mwavuli wa Ukawa, Edward Lowassa amesema akichaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano atatumia fedha itakayopatikana katika uzalishaji wa gesi kama sehemu ya kutekeleza ahadi ya elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi Chuo Kikuu ambayo ipo katika ilani ya uchaguzi ya Ukawa, huku akisisitza, “Msiogope.”

 

9 years ago

StarTV

Uwekezaji wa mapato ya mafuta, gesi watakiwa maendeleo ya watanzania

Kuongezeka kwa uwezo wa kiuchumi wa kuzalisha na kuwahudumia watanzania katika sekta ya elimu, afya na maendeleo ya jamii kutategemea uwekezaji wa mapato yanayotokana na rasilimali za mafuta na gesi.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Adolf Mkenda amesema ili rasilimali hizo ziwe endelevu na zenye manufaa kwa watanzania ni lazima zibadilishwe na kuwekezwa katika mitaji mingine.

Katika mkutano wa wadau wa gasi na mafuta jijini Dar es salaam Adolf Mkenda Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha...

 

5 years ago

Michuzi

DC ayataka makampuni mafuta na gesi kuimarisha mifumo ya usalama na afya kazini

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Bi. Sarah Msafiri akiongea na wadau wa Mafuta na gesi (ambao hawapo pichani), Kikao kilichofanyika Ofisi za Mkuu wa Wilaya Kigamboni kwaajili ya kujadiliana masuala ya usalama na afya mahali pa kazi kwa wanyafanyakazi wa sekta hiyo.

Kaimu Mtendaji Mkuu wa OSHA Bi Khadija Mwenda akiongea kwenye Kikao na wadau wa mafuta na gesi, kwenye kikao cha Kujadiliana masuala ya utekelezaji wa masula ya usalama na Afya kwenye sekta hiyo, kilichofanyika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mapumziko ya ligi yatumike kujitafakari

Wachezaji wa timu 14 za Ligi Kuu Bara wameanza likizo tangu Jumapili iliyopita ili kupisha kipindi cha usajili wa dirisha dogo baada ya raundi saba kumalizika huku mambo mbalimbali yakijitokeza.

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA: MAENEO YA SHULE YATUMIKE KWA SHUGHULI ZA KITAALUMA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepiga marufuku shughuli zisizohusiana na taaluma kama ujenzi wa viwanda katika maeneo ya shule ili kutoa fursa kwa wanafunzi kuwa kwenye mazingira mazuri ya kujifunzia.“Sheria inakataza kuweka matumizi yoyote yasiyokuwa ya kitaaluma katika maeneo ya shule kwani yanasababisha kelele hivyo wanafunzi kushindwa kusoma vizuri.”Waziri Mkuu aliyasema hayo jana jioni(Jumanne, Machi 3, 2020) baada ya kupokea malalamiko ya wazazi kuhusu eneo la shule ya msingi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani