Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJALIWA: MAENEO YA SHULE YATUMIKE KWA SHUGHULI ZA KITAALUMA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepiga marufuku shughuli zisizohusiana na taaluma kama ujenzi wa viwanda katika maeneo ya shule ili kutoa fursa kwa wanafunzi kuwa kwenye mazingira mazuri ya kujifunzia.“Sheria inakataza kuweka matumizi yoyote yasiyokuwa ya kitaaluma katika maeneo ya shule kwani yanasababisha kelele hivyo wanafunzi kushindwa kusoma vizuri.”Waziri Mkuu aliyasema hayo jana jioni(Jumanne, Machi 3, 2020) baada ya kupokea malalamiko ya wazazi kuhusu eneo la shule ya msingi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA MAENEO KWA AJILI YA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA VIJANA

Katibu wa Kikundi cha Sayari, Bibi. Mwanaisha Ali akikabidhi Risala ya Kikundi hicho kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bibi. Sihaba Nkinga mwishoni mwa wiki alipotembelea kikundi hicho kwa ajili ya kukagua maendeleo ya shughuli za vikundi vya Vijana Wilayani Kilwa, Mkoani Lindi. Mwenyekiti wa Kikundi cha Sayari, Bw. Ramadhan Sungura akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bibi. Sihaba Nkinga (hayupo pichani) wakati...

 

5 years ago

CCM Blog

MAJALIWA AONGOZA SHUGHULI YA WANA CCM KUMDHAMINI MAGUFULI

 Waziri Makuu, Kasim Majaliwa akishuhudia wakati wana CCM walipojitokeza  kujaza fomu za  kumdhamini Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili aweze kuteuliwa tena kugombea urais katika uchaguzi ujao. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Lindi , Fadhili Juma.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudiwa wakati mwanachama wa CCM, Abdallah Milanzi  alipotia saini fomu za kumdhamini, Rais wa Dkt. John Pombe Magufuli katika ili aweze  kuteuliwa kugombee tena urais. Zoezi hilo lilifanyika kwenye...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AAGIZA SHUGHULI ZA UCHAMBA ZISITISHWE KWENYE MACHIMBO YA MAGAMBA LUSHOTO


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la machimbo ya madini ya Boxite la Magamba wilayani Lushoto, Machi 5, 2020. Wa pili kulia ni Waziri wa Madini, Doto Biteko, wanne kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela. Aliagiza kusitishwa kwa shughuli za uchambaji katika machimbo hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi katika uwanja wa Shule ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wenyeviti wa vijiji watakiwa kufuatilia shughuli zinazofanywa na waganga wa tiba mbadala kwenye maeneo yao

SAM_0016

Katibu Mkuu wa CHAWAMAMU Mkoa wa Singida, Dk.Tano Mika Likapakapa (wa kwanza kutoka kulia) akiwasilisha mada mbalimbali kwenye semina elekezi kwa waganga wa tiba mbadala, wenyeviti wa vijiji, vitongoji na watendaji wa vijiji wa kata ya Kikhonda,tarafa ya Kinyangiri,wilayani Mkalama.

SAM_0024

Baadhi ya waganga wa tiba mbadala na viongozi wa serikali za vijiji wa Kata ya Kikhonda wakimsikiliza mtoa mada katika semina elekezi iliyofanyika katika ofisi za mtendaji wa kata ya Kikhonda.

SAM_0029

Polisi kata ya...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA ASAFIRI KWA GARI TOKA DODOMA KWENDA DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa wakisalimiana na viongozi wa mkoa wa Morogoro wakati waliposimama kwa muda mjini  Morogoro wakiwa njiani kuelekea Dar es salaam wakitoka Dodoma kwa gari leo Novemba 22, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajabu Rutengwe (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Michuzi

Mtihani wa kujiunga na Umoja swa Mataifa kwa vijana waliobobea kitaaluma, 2015


Nembo ya UMKila mwaka, Umoja wa Mataifa hutafuta vijana waliobobea katika fani mbali mbali, ambao wapo tayari kuanza huduma ya kitaaluma kama wahudumu wa kimataifa wa umma. Mpango wa Vijana Waliobobea Kitaaluma, yaani YPP, huleta vipaji vipya kwa Umoja wa Mataifa kupitia kwa mtihani wa kila mwaka.Mwaka huu wa 2015, mtihani utafanyika mnamo tarehe 4 Disemba katika fani za Usimamizi, Masuala ya fedha, Mifumo ya takwimu, habari, masuala ya kijamii na Masuala ya Sheria.Ili kushiriki mtihani huu,...

 

9 years ago

CCM Blog

PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa

 

11 years ago

Michuzi

mkuu wa mkoa wa manyara akagua shule maeneo ya wafugaji

 Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo akizungumza jana na mzazi na mwanafunzi wa shule ya sekondari Naisinyai Wilayani Simanjiro kwenye ziara yake ya kutembelea na kukagua elimu wilayani humo, Mbwilo aliwapongeza mzazi na mwanafunzi huyo wa jamii ya kifugaji kwa kuzingatia elimu.  Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo akizungumza jana na wakazi wa Kata ya Mirerani, Wilayani Simanjiro, kwenye ziara yake ya kutembelea na kukagua elimu wilayani humo (kushoto) ni Diwani wa kata hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani