Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mkuu wa mkoa wa manyara akagua shule maeneo ya wafugaji

 Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo akizungumza jana na mzazi na mwanafunzi wa shule ya sekondari Naisinyai Wilayani Simanjiro kwenye ziara yake ya kutembelea na kukagua elimu wilayani humo, Mbwilo aliwapongeza mzazi na mwanafunzi huyo wa jamii ya kifugaji kwa kuzingatia elimu.  Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo akizungumza jana na wakazi wa Kata ya Mirerani, Wilayani Simanjiro, kwenye ziara yake ya kutembelea na kukagua elimu wilayani humo (kushoto) ni Diwani wa kata hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Elaston Mbwilo akagua miradi wailayani Hanang

 Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Bama kuhusiana na suala zima la kuzingatia masomo na kuacha starehe, kwenye ziara yake juzi Wilayani Hanang' (kulia) na Mkuu wa Wilaya hiyo Christina Mndeme. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo (kushoto) akikagua mradi wa umwagiliaji maji mashambani, katika kijiji cha Endagaw Kata ya Endasak, kwenye ziara yake juzi ya kukagua shughuli za maendeleo Wilayani Hanang'.

 

10 years ago

Michuzi

IGP MANGU AKAGUA UJENZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA POLISI MKOA WA MANYARA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu, (aliyevaa koti jeusi) akikagua ujenzi wa jengo la kisasa la Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mkoa wa Manyara, ujenzi ambao unatarajiwa kukamilika hivi karibuni.(Picha na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi)

 

5 years ago

Michuzi

Serikali yapongeza juhudi za usafi wa mazingira kwenye shule za Mkoa wa Manyara

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais -TAMISEMI, akikagua uwepo wa maji safi na salama katika moja ya tenki la kuhifadhia maji katika Shule ya Sekondari ya Waschana ya Nangwa, iliyopo Wilaya ya Hanang mkoani Manyara.Wanafunzi katika moja ya Shule, mkoani Manyara wakati wa Ziara ya Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI, Dkt Dorothy Gwajima, alipokuwa...

 

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera azindua zoezi la unywaji maziwa

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera akizindua zoezi la unywaji wa maziwa kwenye maadhimisho ya wiki ya 18 ya maziwa ambayo kitaifa ilizinduliwa jana mjini Babati, kwa kuwapa maziwa wanafunzi wa shule ya msingi Babati.Mkuu wa Mkoa wa Manyara Dk Joel Bendera akizinduzi wa wiki ya 18 ya maziwa, ambapo kitaifa inafanyika Mjini Babati, kwa kumpa maziwa mkazi wa mji huo Magdalena Joseph ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni ng'ombe wa maziwa ni fursa ya kiuchumi na lishe fuga kisasa.Mkuu wa Mkoa...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA SHINYANGA AKUTANA NA WAFUGAJI KUZUNGUMZIA MGOGORO KISHAPU NA IGUNGA



Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Ally N. Rufunga amewataka wafugaji wanaoishi katika kijiji cha Magalata wilayani Kishapu mkoani Shinyanga kutovuka mto Manonga na kuingia katika wilaya ya Igunga wakati serikali inashughulikia suala la mpaka wa wilaya hizo mbili.
Mhe Rufunga ametoa maelekezo mapema jana alipokutana na wafugaji hao katika kijiji cha Magalata wilayani Kishapu, ikiwa ni moja ya makubaliano ya kikao cha Kamati za ulinzi na usalama za mikoa ya Tabora na Shinyanga kuwa kila...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA MH. JOEL BENDERA AZINDUA MFUKO WA AFYA YA JAMII ULIYOBORESHWA (ICHF ) MKOANI MANYARA

Mh.Mary Nagu –Waziri katika ofisi ya Raisi Mauhusiano na Uratibu na Mbunge wa Hanang akawaelimisha wananchi umuhimu wa kujiunga na CHF ILIYOBORESHWA katika siku ya uzinduzi .Kulia kwake ni Mkurugenzi wa shirika la PharmAccess kutoka Uholanzi Bw.Sicco Van Gelder ambao ndio wafadhili wa mradi huu wakishirikiana na NHIF.Mgeni rasmi wa siku ya uzinduzi wa CHF ILIYOBORESHWA mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Joel Bendera akiongozwa na Mkuu wa wilaya ya Mbulu Dr.Michael Kadeghe kukabidhi moja ya...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DODOMA DR REHEMA NCHIMBI AKAGUA MAENDELEO YA UKARABATI WA ZAHANATI YA MKONZE

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi mwishoni mwa wiki (Julai 3) alifanya ziara ya kutembelea zahanati ya kijiji cha Mkonze Manispaa ya Dodoma kukagua kazi ya ukarabati wa Jengo la Zahanati ya kijiji hiko lililokuwa limetokewa na nyufa kwenye baadhi ya kuta na kusababisha jengo hilo mali ya serikali lisitumike kutoa huduma kwa wananchi kwa sababu za kiusalama.  Kwa sasa jEngo hilo linaendelea kufanyiwa ukarabati ikiwa ni kulijengea nguzo za zege kwenye kuta ili kuliongezea uimara na...

 

5 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA KIGOMA APIGA MARUFUKU WATOTO KUUZA BIASHARA MAENEO MBALIMBALI


Na Editha Karlo-Michuzi Blog,Kigoma.
MKUU wa mkoa Kigoma Emanuel Maganga amepiga marufuku kwa wanafunzi na watoto kutumika kuuza bidhaa kwenye masoko na maeneo ya biashara na badala yake wazazi watekeleze agizo la serikali la watoto na wanafunzi hao kukaa nyumbani.

Akizungumza leo wakati akifanya Ziara kwenye masoko ya Buzebazeba Ujiji, Mwanga na Kibirizi kukagua utekelezaji wa agizo la serikali kujilinda dhidi ya virus vya Corona alisema kuwa watoto watakaokuwepo wakiuza kwenye masoko wazazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani