Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUU WA MKOA MH. JOEL BENDERA AZINDUA MFUKO WA AFYA YA JAMII ULIYOBORESHWA (ICHF ) MKOANI MANYARA

Mh.Mary Nagu –Waziri katika ofisi ya Raisi Mauhusiano na Uratibu na Mbunge wa Hanang akawaelimisha wananchi umuhimu wa kujiunga na CHF ILIYOBORESHWA katika siku ya uzinduzi .Kulia kwake ni Mkurugenzi wa shirika la PharmAccess kutoka Uholanzi Bw.Sicco Van Gelder ambao ndio wafadhili wa mradi huu wakishirikiana na NHIF.Mgeni rasmi wa siku ya uzinduzi wa CHF ILIYOBORESHWA mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Joel Bendera akiongozwa na Mkuu wa wilaya ya Mbulu Dr.Michael Kadeghe kukabidhi moja ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera azindua zoezi la unywaji maziwa

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera akizindua zoezi la unywaji wa maziwa kwenye maadhimisho ya wiki ya 18 ya maziwa ambayo kitaifa ilizinduliwa jana mjini Babati, kwa kuwapa maziwa wanafunzi wa shule ya msingi Babati.Mkuu wa Mkoa wa Manyara Dk Joel Bendera akizinduzi wa wiki ya 18 ya maziwa, ambapo kitaifa inafanyika Mjini Babati, kwa kumpa maziwa mkazi wa mji huo Magdalena Joseph ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni ng'ombe wa maziwa ni fursa ya kiuchumi na lishe fuga kisasa.Mkuu wa Mkoa...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA GEITA AZINDUA MCHAKATO WA UANZISHWAJI WA MFUKO WA AFYA YA JAMII WA TIBA KWA KADI (TIKA)

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Magalula Said Magalula akifungua mkutano wa wadau mkoani Geita unatakaojadili mchakato wa uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii ujulikanao kama Tiba kwa Kadi (TIKA). Katibu Tawala wa Mkoa  Severine Kahitwa akieleza umuhimu wa kuwa na utaratibu wa TIKA ndani ya Halmashauri ya Mji wa Geita.   Ofisa Masoko na Elimu kwa Umma kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya akimshukuru mgeni rasmi kwa hotuba nzuri. Wajumbe wakipitia mada zilizoandaliwa katika mkutano huo.
BOFYA...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU wa Mkoa wa Geita azindua mchakato wa uanzishwaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii ujulikanao kama Tiba kwa Kadi (TIKA)

 1.       Mkuu wa Mkoa wa Geita, Magalula Said Magalula akifungua mkutano wa wadau mkoani Geita unatakaojadili mchakato wa uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii ujulikanao kama Tiba kwa Kadi (TIKA).   Katibu Tawala wa Mkoa  Severine Kahitwa akieleza umuhimu wa kuwa na utaratibu wa TIKA ndani ya Halmashauri ya Mji wa Geita. Wadau wa mkutano huo wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa huo. Sehemu ya wadau wakisikiliza maagizo kutoka kwa mgeni rasmi ya namna ya kujadiliana katika...

 

10 years ago

Michuzi

Ulega azindua awamu ya pili ya Kampeni ya uhamasishaji ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) Wilayani Kilwa leo

Mkuu wa wilaya ya Kilwa, Abdala Ulega amewakata watendaji na watoa huduma wilayani humo kuhakikisha huduma muhimu za matibabu hasa dawa zinapatina muda wote ili kuboresha huduma wilayani hapo.
Ulega ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya uhamasiahaji wananchi kujiunga na mfuko wa afya ya jamii (CHF) inafanywa na Mfuko wa taifa wa bima ya afya katika halmashauri kumi nchi nzima iliyozinduliwa kata ya Tingi njia nne wilayani kilwa.
Ulega amesema Serikali kupitia mfuko...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani