Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkuu wa Mkoa wa Manyara Elaston Mbwilo akagua miradi wailayani Hanang

 Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Bama kuhusiana na suala zima la kuzingatia masomo na kuacha starehe, kwenye ziara yake juzi Wilayani Hanang' (kulia) na Mkuu wa Wilaya hiyo Christina Mndeme. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo (kushoto) akikagua mradi wa umwagiliaji maji mashambani, katika kijiji cha Endagaw Kata ya Endasak, kwenye ziara yake juzi ya kukagua shughuli za maendeleo Wilayani Hanang'.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

mkuu wa mkoa wa manyara akagua shule maeneo ya wafugaji

 Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo akizungumza jana na mzazi na mwanafunzi wa shule ya sekondari Naisinyai Wilayani Simanjiro kwenye ziara yake ya kutembelea na kukagua elimu wilayani humo, Mbwilo aliwapongeza mzazi na mwanafunzi huyo wa jamii ya kifugaji kwa kuzingatia elimu.  Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo akizungumza jana na wakazi wa Kata ya Mirerani, Wilayani Simanjiro, kwenye ziara yake ya kutembelea na kukagua elimu wilayani humo (kushoto) ni Diwani wa kata hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUKWA AKAGUA UJENZI WA MIRADI YA MAJI KATIKA MANISPAA YA SUMBAWANGA, APIGA MARUFUKU UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya (Mb) katikati akitoa maelekezo kwa watendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga na Mkandarasi anaejenga mradi wa maji wa kijiji cha Malonje ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi za Serikali za kufikisha huduma muhimu kwa wananchi. Mradi huo wa maji ambao unaelekea kukamilika umefadhiliwa na benki ya dunia kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania kwa gharama ya Tsh. Milioni 279. Katika maagizo aliyoyatoa ni pamoja na kupiga marufuku...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AITEKA HANANG,AIBOMOA NGOME YA CHADEMA MKOANI MANYARA.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndug Kinana akimhoji kwa kifupi Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Hanang, Augustino Mayumba (aliyehudhuria mkutano wa hadhara wa chama cha CCM), alikopeleka hati ya mkataba wa mnara wa simu wa Vodacom uliowekwa katika Kijiji cha Basouto ambao alishiriki kutia saini ambapo hadi sasa malipo ya fedha hizo haijulikani nani analipwa na uko wapi.. 
Hatua hiyo ya kumhoji ilifikiwa baada Kiongozi huyo kuuliza swali kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika kwenye Kijiji cha...

 

11 years ago

Michuzi

mkuu wa mkoa wa lindi akagua miradi ya maendeleo wilayani liwale, atoa agizo kwa Wazazi kuhakikisha watoto waliopasi kuingia sekondari wawe wameripoti shuleni ndani ya siku 7

 Mkuu wa mkoa wa Lindi na ujumbe wake wakikagua Zahanati ya Kijiji cha Kikulyungu wilayani Liwale  Nyumba ya wahudumu wa Afya kijiji cha kikyulungu inayojengwa kwa Msaada wa Benjamin  Mkapa Foundation   Mkuu wa mkoa wa Lindi Mhe. Ludovick Mwananzila (mwenye suti ya kijivu) akikagua miradi ya Maendeleo wilayani Liwale  Mkuu wa mkoa wa lindi MheLudovick Mwananzila akihutubia wananchi wilayani liwale  kulia ni mkuu wa wilaya ya Liwale Mhe.  Ephraim Mmbaga Mkuu wa mkoa wa Lindi akikagua...

 

10 years ago

Michuzi

IGP MANGU AKAGUA UJENZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA POLISI MKOA WA MANYARA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu, (aliyevaa koti jeusi) akikagua ujenzi wa jengo la kisasa la Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mkoa wa Manyara, ujenzi ambao unatarajiwa kukamilika hivi karibuni.(Picha na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi)

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JESHI LA POLISI

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wakwanza kushoto), akiwasili katika Majengo mapya ya nyumba za Askari Magereza pamoja na Kiwanda cha Ukonga, alipofanya Ziara ya Ukaguzi katika eneo hilo, jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wakwanza kushoto), akikagua majengo ya Jeshi la Magereza  akiwa pamoja na baadhi ya Maafisa wa Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MHE MIZENGO PINDA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA ELIMU WILAYANI MLELE

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa amekalia oja ya madwati mapya ya plastiki yaliyowekwa kwenye moja ya madara ya shuley amsingi ya Kakuni  wilayani Mlele akiwa katika mapumziko mafupi kijijini kwake Kibaoni Julai 16, 2015Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akikagua ujenzi wa nyumba za walimu katika shule ya msingi ya Kakuni wilayani Mlele Julai 16, 2015. Picha na PMO

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani