Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtihani wa kujiunga na Umoja swa Mataifa kwa vijana waliobobea kitaaluma, 2015


Nembo ya UMKila mwaka, Umoja wa Mataifa hutafuta vijana waliobobea katika fani mbali mbali, ambao wapo tayari kuanza huduma ya kitaaluma kama wahudumu wa kimataifa wa umma. Mpango wa Vijana Waliobobea Kitaaluma, yaani YPP, huleta vipaji vipya kwa Umoja wa Mataifa kupitia kwa mtihani wa kila mwaka.Mwaka huu wa 2015, mtihani utafanyika mnamo tarehe 4 Disemba katika fani za Usimamizi, Masuala ya fedha, Mifumo ya takwimu, habari, masuala ya kijamii na Masuala ya Sheria.Ili kushiriki mtihani huu,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA UMOJA WA MATAIFA

VIJANA WA  KITANZANIA CHANGAMKIENI FURSA HII



 UNTED NATIONS YOUNG PROFESSIONAL PROGRAMME


What is the UN Young Professionals Programme?

The Young Professionals Programme (YPP) is a recruitment initiative for talented, highly qualified professionals to start a career as an international civil servant with the United Nations Secretariat. It consists of an entrance examination and professional development programmes once successful candidates start their career with the UN.

Who can apply?

Any...

 

9 years ago

Michuzi

MRADI WA VIJANA WAMFURAHISHA MRATIBU WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI

IMG_6250Mratibu wa Shirika lisilo la kiserikali la Nyakitonto for Youth Development Tanzania, Joel Nyakitonto, akitoa maelezo kwa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez jinsi utengenezaji wa sabuni kutokana mafuta ya mbegu za Mchikichi walipotembelea kiwanda cha Sabuni kilichopo tarafa ya Katubuka ambacho kinamilikiwa na kijana Diocres Dionizi (hayupo pichani) ambaye ni mmoja kati ya vijana 30 aliyenufaika na mafunzo ya Anzisha...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOTOLEWA NA UMOJA WA MATAIFA

P1130382 Afisa habari kitengo cha habari Umoja wa mataifa nchini Tanzania(UNIC) Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza katika viwanja vya Mazingira Senta mjini Shinyanga kwenye warsha ya siku moja iliyokutanisha shule 10 za sekondari, vyuo na walimu kutoka katika shule na vyuo hivyo vilivyopo katika manispaa ya Shinyanga, ambapo alisema Umoja wa Mataifa(UN) unalipa suala la elimu kipaumbele sana kwa wanafunzi hivyo kuwataka wanafunzi kuwa na malengo katika maisha yao kwa kusoma kwa bidii,kuepuka...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOTOLEWA NA UMOJA WA MATAIFA‏

Afisa habari kitengo cha habari Umoja wa mataifa nchini Tanzania(UNIC) Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza katika viwanja vya Mazingira Senta mjini Shinyanga kwenye warsha ya siku moja iliyokutanisha shule 10 za sekondari, vyuo na walimu kutoka katika shule na vyuo hivyo vilivyopo katika manispaa ya Shinyanga, ambapo alisema Umoja wa Mataifa(UN) unalipa suala la elimu kipaumbele sana kwa wanafunzi hivyo kuwataka wanafunzi kuwa na...

 

9 years ago

Michuzi

Video ya Matukio ya mwaka 2015 katika Umoja wa Mataifa

2015 – mwaka uliosheheni matukio ya aina yake na picha za kutisha: Maiti ya mtoto mdogo wa kiume akisombwa hadi ufukweni, kiashiria cha janga la wakimbizi Milioni 60: wananchi wa Paris, Beirut na Nairobi wakikmbia mashambulizi ya kigaidi, na nchi zilizosalia magofu kutokana na mapigano yasiyoisha. 
Matukio ya mwaka 2015, yanakumbusha changamoto ambazo Umoja wa Mataifa umekumbana nazo katika miaka 70 ya tangu kuanzishwa kwake- lakini yanatupatia muhtasari wa mafanikio yatokanayo na...

 

11 years ago

GPL

UNIC YAHAMASISHA VIJANA MKOANI DODOMA KUANZISHA VILABU VYA UMOJA WA MATAIFA MASHULENI‏

Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Usia Nkhoma Ledama, akibadilishana mawazo na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Kikuyu Mwl. Zaituni Mkoyi alipotembelea shuleni hapo kwa lengo la kuwahamasisha wanafunzi kuanzisha vilabu vya Umoja wa Mataifa. Katikati ni Mwalimu Mkuu msaidizi wa shule hiyo Bw. Francis Tumaini. Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha… ...

 

10 years ago

Vijimambo

JKT YATANGAZIA VIJANA WA KUJITOLEA WANAOTAKA KUJIUNGA NA MAFUNZO MWAKA 2015

Vijana wa kiwa wkwenye gwaride wakatiwa mafunzo ya JKT. 
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, (JKT), Meja Jenerali Raphael Muhuga ametangaza kuwa vijana wote wanaotaka kujiunga na mafunzo ya jeshi la kujenga taifa kwa utaratibu wa kujitolea mwaka 2015, wasidanganyike kwa kupatiwa fomu za kujiunga na mafunzo hayo hivi sasa, na badala yake wafuate utaratibu huu hapa chini.
Bofya hapa

 

9 years ago

Dewji Blog

Tanzania yang’ara Kimataifa,Asasi yake yatwaa tuzo ya Ikweta 2015 zinazotolewa na Umoja wa Mataifa-UN

UNMBi. Helen Clark, Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo  wa Umoja wa Mataifa ( UNDP)  akiwatangaza washindi wa Tuzo ya Ikweta ambayo hutolewa na Umoja Mataifa kwa  NGO ambazo zinajihusisha na utunzaji wa  mazingira, ulinzi na uhifadhi wa misitu, matumizi bora na endelevu ya ardhi na mali asili na  kupiga vita umaskini.Tuzo ya mwaka huu wa 2015 ambayo ni  dola  za kimarekani 10, 000 kwa kila mshindi inakwenda kwa NGO 21 ambapo  NGO ya Tanzania ijulikanayo kama Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani