MRADI WA VIJANA WAMFURAHISHA MRATIBU WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI
Mratibu wa Shirika lisilo la kiserikali la Nyakitonto for Youth Development Tanzania, Joel Nyakitonto, akitoa maelezo kwa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez jinsi utengenezaji wa sabuni kutokana mafuta ya mbegu za Mchikichi walipotembelea kiwanda cha Sabuni kilichopo tarafa ya Katubuka ambacho kinamilikiwa na kijana Diocres Dionizi (hayupo pichani) ambaye ni mmoja kati ya vijana 30 aliyenufaika na mafunzo ya Anzisha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog08 Dec
Mradi wa vijana wamfurahisha Mratibu wa UN nchini
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kanali mstaafu Issa Machibya akiongozana na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez mara tu baada ya kumpokea alipowasili ofisini kwake akiwa ameongozana na Ofisa wa Mambo ya Nje kutoka Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Maulidah Hassan, pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa idadi ya watu (UNFPA) nchini, Dkt. Natalia Kanem (hawapo...
10 years ago
Dewji Blog27 Oct
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini akutana na Rais wa Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez aliyefika Ikulu ya Zanzibar leo kwa ajili ya mazungumzo.
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...
10 years ago
Dewji Blog18 Dec
Mratibu mkazi wa Umoja wa Mataifa akutana na RC Arusha
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha aliyeteuliwa hivi karibuni, Daud Felix Ntibenda alipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia miradi mbalimbali inayofadhiliwa na mashirika ya Umoja wa Mataifa mkoani humo.
Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania Hoyce Temu (kushoto) akisaini kitabu cha wageni wakati Mkuu wa Mkoa na Mratibu Mkazi...
10 years ago
Dewji Blog01 Jul
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Tanzania atembelea banda la Modewjiblog maonyesho ya Sabasaba leo
Mratibu Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez, akisalimiana na Mwandishi mwandamizi wa mtandao wa habari wa Modewjiblog, Andrew Chale alipotembelea katika banda la mtandao huo ambao mwaka huu mwezi Septemba unatimiza miaka 7 tangu kuanzishwa ambapo wametumia fursa ya maonyesho ya saba saba kukutana na wadau mbalimbali wanaotumia mtandao huo kupata habari mbalimbali sambamba na kubadilishana mawazo na ushauri wa maboresho...
10 years ago
Vijimambo09 Jul
FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA UMOJA WA MATAIFA
![](http://vignette2.wikia.nocookie.net/godzilla/images/e/ef/U.N._Logo.jpg/revision/latest?cb=20141002175403)
What is the UN Young Professionals Programme?The Young Professionals Programme (YPP) is a recruitment initiative for talented, highly qualified professionals to start a career as an international civil servant with the United Nations Secretariat. It consists of an entrance examination and professional development programmes once successful candidates start their career with the UN.Who can apply?Any...
11 years ago
Michuzi26 Mar
MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOTOLEWA NA UMOJA WA MATAIFA
![P1130382](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/P1130382.jpg)
10 years ago
Michuzi20 Jun
Mtihani wa kujiunga na Umoja swa Mataifa kwa vijana waliobobea kitaaluma, 2015
![UN-logo1-300x257](http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/wp-content/uploads/2015/06/UN-logo1-300x257.jpg)
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/P1130382.jpg)
MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOTOLEWA NA UMOJA WA MATAIFA