Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATUMIZI YA GESI ASILIA MAJUMBANI WATEJA WA AWALI KUUNGANISHWA BURE

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani,(katikati)akipata maelezo ya namna mita ya kupima gesi asilia kwa matumizi ya nyumbani, inayofanya kazi, kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa shirika la Maendeleo ya Petroli nchini( TPDC)( kulia), katika hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa miundombinu ya usambazaji gesi asilia kwa matumizi ya majumbani katika eneo la Mnazi Mmoja Mkoani Lindi

Baadhi ya nyumba zikiwa zimefungiwa mita ya za kupima matumizi ya gesi asilia kwa kwa ajili ya kupikia,Waziri wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri Kitwanga afungua semina kuhusu matumizi ya gesi asilia nchini

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga akifungua rasmi semina kuhusu matumizi ya gesi asilia iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Balozi wa Japan Tanzania, Masaki Okada akizungumza na wadau na wataalamu wa gesi asilia (hawapo pichani) waliohudhuria semina ya matumizi ya gesi asilia iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Serena ya jijini Dar es Salaam.Wataalamu na wadau wa gesi asilia kutoka Japan na Tanzania wakimsikiliza Naibu Waziri wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wanaumia bei ya gesi ya majumbani

MWAKA 2014 hali ya maisha kwa Watanzania wa kawaida  imezidi kuwa ngumu kutokana na kila kitu kupanda bei. Mambo yaliyonishtua na kusababisha niandike mtazamo huu ni kutokana na bei ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mradi wa gesi majumbani uwe endelevu

Tangu ilipogundulika hazina kubwa ya gesi nchini miaka michache iliyopita, kumekuwapo na kauli nyingi kuhusu manufaa ambayo wananchi mmoja mmoja au nchi wataweza kupata kutokana na rasilimali hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Mikoa minne kufaidika na gesi majumbani

WANANCHI 37,900 wanatarajia kuanza kunufaika na matumizi ya gesi majumbani pamoja na magari 9,400 kwa kuunganishwa na matumizi ya gesi kwenye mikoa minne inayopita bomba la gesi kutoka Mtwara mpaka jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Michuzi

TPDC: Gesi asilia ipo na ziada

Mkurungezi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania, Dkt. James Mataragio, amesema hali ya uzalishaji wa gesi asilia nchini ni nzuri, alieleza kuwa mitambo ya kuchakata gesi asilia kule Madimba Mkoani Mtwara na Songo Songo Mkoani Lindi inao uwezo wa kuzalisha futi za ujazo milioni 240 za gesi asilia, huku gesi anayo tumika ikiwa futi za ujazo milioni 146 za gesi asilia. 
Dk. Mataragio ameongeza kuwa mchanganuo huo wa uzalishaji wa gesi unazidi mahitaji yetu kwa sasa na hivyo...

 

10 years ago

Michuzi

Watanzania kunufaika zaidi na Gesi Asilia

·       Iwapo kutakuwepo ushirikishwaji wa wananchi·       Wataalamu nao watoa yao ya moyoni
KUTOKANA na kugundulika kwa hazina kubwa ya gesi nchini  ambayo inategemewa kukuza pato la taifa zaidi ya mara 15 ya sasa, kiasi cha kuiwezesha Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye uchumi wa kati kufikia mwaka 2025.
Hata hivyo, dhana ya kwamba Rais ajaye baada ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete kumaliza muda wake, anaweza akaikuta Tanzania ikiwa ni nchi tajiri tayari kutokana na rasilimali...

 

10 years ago

Habarileo

Bomba la gesi asilia litaokoa trilioni 1.6/-

MRADI wa ujenzi wa bomba la gesi asilia, utaleta manufaa makubwa kwa taifa na wananchi wake, ikiwemo utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2015 na utasaidia kuokoa Sh trilioni 1.6 kwa mwaka.

 

10 years ago

Vijimambo

Wabunge wacharukia mikataba ya gesi asilia

Ni baada ya TPDC kugoma kuiwasilishaMwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe
Usiri katika mikataba 26 ya utafiti na uchimbaji wa gesi umezidi kuigubika nchi, baada ya menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kukaidi maagizo ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na hivyo kuzua mvutano mkubwa kati yake na kamati hiyo kikaoni.

Maagizo hayo ambayo yalitolewa na PAC mwaka jana, yaliitaka menejimenti ya TPDC kuwasilisha taarifa ya mapitio ya mikataba hiyo pamoja na mikataba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani