Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAFUNZI WA VYUO KUFURAHIA HUDUMA YA KUPIGIANA SIMU BURE

Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo imezindua kifurushi maalum kinacho wawezesha wanafunzi, ambao ni wateja wa Tigo, kuweza kupigiana simu bure.
Huduma hii imeboreshwa zaidi baada ya kifurushi hicho kwa jina maarufu kama Tigo Uni Pack kuzinduliwa mwaka jana, ukilinganisha na kifurushi cha zamani, kifurushi hichi kipya cha wiki kitawapatia wanafunzi wepesi wa kujiunga wakiwa popote ndani ya nchi, hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na kampuni ya Tigo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi wa vyuo kufurahia huduma ya kupigiana simu bure toka TIGO

Meneja Mauzo wa mkoa wa Tanga kutoka Tigo Bw.Daniel Mainoya akiongea na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali, kuhusu uzinduzi wa kifurushi kilichoboreshwa cha University Pack kutoka Tigo katika Uwanja wa chuo cha Utumishi wa Umma, Kange, mjini Tanga. Mwanafunzi kutoka chuo cha Utumishi wa Umma, Kange,mjini Tanga, Bi.Stella Mwakiliku akiongea na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali  kuhusu vipi wanafunzi wamekikubali kifurushi hicho kilichoboreshwa cha University Pack kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WILAYA YA MKURANGA NA KIBAHA KUPATA HUDUMA ZA MACHO BURE

Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya Mkuranga Mbenjamin Majoya (kushoto)akikabidhiwa msaada wa vifaa vya macho na Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za Mkuranga ambapo wanafunzi hao watapata huduma ya kupima na kutibiwa macho bure.hafla hiyo ilifanyika katika hospitali ya wilaya ya mkuranga mkoa wa Pwani, wanao shuhudia ni Mganga Mkuu wa wilaya hiyo Dkt.Francis Mwanisi, Mratibu mradi Rebecca Kasika...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI MKOANI MBEYA WAFAIDIKA NA HUDUMA YA BURE ZA MACHO KUPITIA BRIEN HOLDING VISION

Mratibu wa Mradi wa Macho kwa shule za msingi kupitia mradi wa afya ya macho kwa mtoto unaofadhiliwa na benki ya Standard Chartered (Seeing is Believing) kutoka shirika lisilo la kiserikali la Brien Holden Vision Institute Violeth Shirima (kushoto) akimkabidhi msaada wa sanduku la vifaa vya macho vyenye thamani ya shilingi milioni 48 Muuguzi Msaidizi wa Huduma za Macho wa Hospitali ya Wilaya ya Kyela, Monica Francis (kulia) wakati wa hafla iliyofanyika katika hospitali ya mkoa wa Mbeya....

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WILAYA YA MKURANGA NA KIBAHA KUPATA HUDUMA ZA MACHO BURE‏

Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya  Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo akisisitiza jambo wakati  alipofika katika  hospitali ya Wilaya ya Mkuranga  kukabidhi msaada wa vifa vya macho kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za  Mkuranga  ambapo wanafunzi hao watapata huduma ya kupima na kutibiwa macho bure.Kulia ni  Mganga mkuu wa Wilaya hiyo Dkt.Francis Mwanisi,Kaimu Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI MKOANI MBEYA WAFAIDIKA NA HUDUMA YA BURE ZA MACHO KUPITIA BRIEN HOLDING VISION‏


Mratibu wa Mradi wa Macho kwa shule za msingi kupitia mradi wa afya ya macho kwa mtoto unaofadhiliwa na benki ya Standard Chartered (Seeing is Believing)  kutoka shirika lisilo la kiserikali la Brien Holden Vision Institute Violeth Shirima  (kushoto) akimkabidhi msaada wa sanduku la vifaa vya macho  vyenye thamani ya shilingi milioni 48 Muuguzi Msaidizi wa Huduma za Macho wa Hospitali ya  Wilaya ya Kyela, Monica...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.

Huyu si ndiyo alisema ni raisi wa wanafunzi na sauti zao hapa chini iweje leo waandike barua ya kujikana?. Siasa za bongo ni chenga kweli yani wala siyo {HD}

Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...

 

10 years ago

Michuzi

Wanafunzi 60,000 wa UDOM kufurahia Airtel WI-FI

  Afisa masoko wa Airtel tanzania Prospa Mwanda akionyesha kwa wanafunzi wa chuo Kikuu dodoma (UDOM) jinsi huduma mpya ya Airtel Wi-Fi Intaneti  inavyofanya kazi mara baada ya uzinduzi wa huduma hiyo chuoni hapo jana. Airtel Tanzania chuoni hupo imezindua huduma ya UNI Wi-Fi Intaneti yenye ubora zaidi na itakayopatikana kwa wananfunzi kwa gharama nafuu.  Meneja masoko wa Airtel Uni Wi-Fi Bi Aneth Muga anaepiga picha ya selfie ili waitume kwa kutumia huduma ya Airtel Wi-Fi intaneti kwa baadhi...

 

10 years ago

GPL

ZAIDI YA WANAFUNZI 60,000 WA UDOM KUFURAHIA AIRTEL WI-FI

Afisa masoko wa Airtel tanzania Prospa Mwanda akionyesha kwa wanafunzi wa chuo Kikuu dodoma (UDOM) jinsi huduma mpya ya Airtel Wi-Fi Intaneti  inavyofanya kazi mara baada ya uzinduzi wa huduma hiyo chuoni hapo jana. Airtel Tanzania chuoni hupo imezindua huduma ya UNI Wi-Fi Intaneti yenye ubora zaidi na itakayopatikana kwa wananfunzi kwa gharama nafuu.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani