Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Idara ya malikale itengewe fedha za kutosha

Kwa kipindi cha takriban miaka mitano sasa Serikali imetangaza nia ya kuhimiza utalii wa ndani na pia kukuza utalii wa wageni kutoka nje.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Serikali yaombwa kutenga fedha za kutosha

Na Tunu Nassor, Dar es Salaam
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) wameiomba Serikali kutenga fedha za kutosha kwa taasisi zote za Serikali zinazohusika na suala la kukomesha ukatili dhidi ya albino.
Lengo la kutekeleza programu za kuelimisha umma kuharakisha upelelezi na uendeshaji wa kesi za watu wanaodaiwa kufanya ukatili huo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa tume hiyo, Bahame Nyanduga alisema tume pamoja na wadau walikubaliana kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

MJADALA WAIBUKA TENA BUNGE LA EALA UKOSEFU WA FEDHA ZA KUTOSHA KUENDESHA JUMUIYA EAC


Mbunge wa bunge hilo George Odongo akiongea na wanahabari nje ya bunge.

Na Ahmed Mahmoud Arusha 
Wabunge wa bunge la Afrika mashariki wameibua tena mjadala wa tatizo la ukosefu wa fedha za kutosha kutekeleza majukumu ya kila siku ya jumuiya na kuliomba Baraza la mawaziri kuona uwezekano wa kulipatia ufumbuzi wa kudumu tatizo hilo. 
Akiongea wakati akichangia mjadala wa ripoti ya ukaguzi fedha hilo Mbunge wa EALA Mariamu Ussi alisema kuwa suala hilo ni changamoto ambayo inahitaji kupatiwa...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA FEDHA-IDARA YA BAJETI KATIKA MAONYESHO YA 39 YA KIBIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM

Mchumi Mkuu wa Wizara ya Fedha Idara ya Bajeti, Adam Msumule akizungumza na Michuzi Blog mara baada ya kutembelea banda la Wizara ya Fedha  kuhusiana na bajeti iliyopitishwa hivi karibuni Bungeni Dodoma katika maonyesho ya 39 ya kibiashara yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Kulia ni Msimamizi  Mkuu wa fedha- Wizara ya Fedha Idara ya Bajeti, Moses Ndeutwa. Wananchi wakipewa maelekezo katika banda la wizara ya Fedha Idara ya Bajeti katika maonyesho ya 39 ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AITAKA IDARA YA SERA NA MIPANGO KUANISHA KIASI GANI CHA FEDHA KILICHOWEKEZWA KWENYE KILIMO

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akizungumza na watumishi wa idara ya Sera na Mpingo katika ukumbi wa Wizara hiyo maarufu kama KILIMO IV Jijini Dodoma leo tarehe 22 Aprili 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akizungumza na watumishi wa idara ya Sera na Mpingo katika ukumbi wa Wizara hiyo maarufu kama KILIMO IV Jijini Dodoma leo tarehe 22 Aprili 2020, Mwingine pichani ni Naibu...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWAAGIZA WAKUU WA IDARA KUANDAA TAARIFA ZA IDARA ZAO.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Willium Lukuvi akizungumza na wakuu Idara katika wizara ya Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi alipokutana nao leo alipokaribishwa kwa mara ya kwanza katika wizara  hiyo, tangu achaguliwe na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa wizara, na kuwaagiza wakuu wa idara katika wizara hiyo kutoa taaarifa za idara zao ifikapo jumatatu ya wiki ijayo.Naibu Waziri wa Wizara Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,...

 

5 years ago

Michuzi

IDARA YA UHAMIAJI YAKABIDHIWA NYUMBA ZA MAKAZI KWA MAOFISA NA ASKARI WA IDARA YA HIYO ENEO LA IYUMBU, JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Wa kwanza kushoto) akisalimiana na Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wa pili kulia) baada ya kuwasili katika eneo la Iyumbu, ilipofanyika hafla ya makabidhiano ya Nyumba 103 za Makazi kwa Maofisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji, Jijini Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Wa kwanza kushoto) akipokea salamu kutoka kwa Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji...

 

5 years ago

Michuzi

KUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO



 
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana. 
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...

 

11 years ago

Habarileo

'Tanzania ina nafaka za kutosha'

TANZANIA ina hifadhi ya kutosha ya chakula cha mazao ya nafaka, kinachofikia tani 244,830. Chakula hicho kilichohifadhiwa katika Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula nchini (NFRA).

 

10 years ago

Michuzi

Usalama wa kutosha Tamasha la Pasaka

Mjumbe wa Kamati ya maandalizi ya tamasha la Pasaka, Khamis Pembe, akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu tamasha hilo litakalofanyika Aprili 5.  Kushoto ni Mwenyekiti wa tamasha hilo, Alex Msama. (Picha na Francis Dande).
 Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu tamasha hilo litakalofanyika Aprili 5. Kushoto ni Mwenyekiti wa tamasha hilo, Alex Msama.
NA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani