SERIKALI YAOMBWA KUJENGA VIWANJA VYA VOLLEBALL
![](http://4.bp.blogspot.com/-25QSaR885wo/U2EDuDgVMLI/AAAAAAACf78/CjNFcMJLKnc/s72-c/SAM_3900.jpg)
Timu ya mpira wa wavu Mbozi akiwa katika picha kabla ya kupambana na wenzao MUst Mbeya. (picha zote na denis mlowe).
Na Denis Mlowe, Iringa
Makamu Mwenyekiti wa Idara ya michezo ya Halmashauri ya Manispaa Iringa, Kalulu Nsumba ameiomba Serekali pamoja na wadau wa Michezo kusaidia upatikanaji wa vifaa vya mchezo na viwanja bora ili waweze kuuendeleza mchezo wa Volleball.
Nsumba ameyasema hayo katika Bonanza la Mchezo huo lililoandaliwa na na Iringa Manispaa Sport Club lilofanyika kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Mar
Lukuvi: NHC ipatiwe viwanja vya kujenga nyumba nafuu
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amezitaka halmashauri kote nchini kutenga maeneo ya viwanja ili Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) liweze kujenga nyumba bora na za gharama nafuu zitakazouzwa kwa wananchi.
9 years ago
StarTV01 Dec
Serikali yaombwa kutoa vifaa vya upimaji maradhi Wataalamu Wa Tiba Asili
Wataalamu wa tiba asili wameiomba Serikali kutoa usaidizi wa vifaa vya upimaji wa maradhi mbalimbali kwa lengo la kuwawezesha kutoa tiba kwa kiwango kinachokubalika.
Baadhi ya hospitali nchini zinadaiwa kuwa zimekuwa zikitoa masharti magumu kwa waganga wa tiba asili kupata vipimo kwa wagonjwa wao hali inayowafanya kujiingiza katika upigaji ramli chonganishi.
Wilaya ya Chato mkoani Geita iliyopo Magharibi mwa Tanzania baada ya kumtoa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,umaarufu wake...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-R5kWAeNMFfU/Ux4A--JfeiI/AAAAAAAFSy8/6oYjoP8mWhQ/s72-c/mc1.jpg)
Serikali yawaasa watanzania kuthamini na kutunza viwanja vya michezo
![](http://3.bp.blogspot.com/-R5kWAeNMFfU/Ux4A--JfeiI/AAAAAAAFSy8/6oYjoP8mWhQ/s1600/mc1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5TedMsx01Hs/Ux4A_rJE6cI/AAAAAAAFSzI/M5EnrKL9Fsw/s1600/mc3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-1IJzxYuXJ1Y/Ux4A_bemEzI/AAAAAAAFSzA/c2ob1aNezE0/s1600/mc4.jpg)
9 years ago
VijimamboDK MAGUFULI AKISHINDA URAIS AAHIDI SERIKALI KUJENGA RELI KUTOKA MTWARA HADI MBAMBA BAY RUVUMA, KUPUNGUZA BEI YA VIFAA VYA UJENZI
9 years ago
Dewji Blog02 Sep
Dk Magufuli akishinda Urais aahidi Serikali kujenga reli kutoka Mtwara hadii Mbamba Bay Ruvuma, kupunguza bei ya vifaa vya ujenzi
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM kumnadi mgombea urais Dk John Magufuli wilayani Masasi jana. Dk Magufuli amesema kuwa CCM ikishinda Serikali itajenga Reli kuanzia Mtwara hadi Mbamba Bay Ruvuma.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Masasi, mkoani Mtwara jana.
Mfuasi wa CCM akiwa amejichora usoni huku kidevuni akiwa aqmeandika jina la Mgombea Urais wa Tanzania kuptia CCM, Dk Magufuli.
Wananchi...
10 years ago
Mwananchi17 Nov
TBF, viko wapi viwanja 10 mlivyoahidi kujenga?
10 years ago
Mtanzania02 May
Serikali yaombwa kuwabana waajiri
Ramadhani Hassan na Pendo Mangala
WAFANYAKAZI Mkoa wa Dodoma wameishauri Serikali ihakikishe waajiri wanawaongezea mishahara kwa sababu malipo wanayolipwa sasa ni madogo.
Hayo yalisemwa jana na Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Mkoa wa Dodoma, Ramadhani Mwenda, wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Mwenda alisema kipato cha ujira wa mshahara wa mwezi hakitoshi na kwamba mishahara ya watumishi ni...
10 years ago
Tanzania Daima30 Sep
Serikali yaombwa ruzuku Skauti
SERIKALI imeombwa kutenga bajeti maalumu itakayotolewa ruzuku kwa vijana Skauti nchini ikiwa ni hatua mojawapo ya kuwaandaa kuwa na uzalendo. Ombi hilo lilitolewa na Kamishina Mkuu Msaidizi Programu za VijanaSkauti,...