Walionufaika na Mikopo HESLB watakiwa kuirejesha
SERIKALI imewataka waajiri wote na wanafunzi walionufaika na mikopo ya elimu ya juu, kurejesha ili Watanzania wengine wanaohitaji wanufaike na mikopo hiyo. Aidha, imesema itaendelea kuiwezesha Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kufanikisha shughuli zake ili wanafunzi wengi wapate mikopo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi10 Nov
Mikopo ya wanafunzi 40,836 tayari- HESLB
11 years ago
Habarileo17 Apr
HESLB waagizwa kudai fedha za mikopo
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetakiwa kuja na mbinu ya kuhakikisha wanaonufaika na mkopo wa elimu ya juu wanarejesha mkopo ili utumike kwa wanafunzi wengine hivyo kupunguza idadi ya wanafunzi wanaokosa mikopo hiyo.
9 years ago
Dewji Blog06 Jan
CAG sasa kuwabana waajiri mikopo ya HESLB
Mkurugenzi Mtendaji – Bw. George Nyatega.
Na Mwandishi Wetu
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeanza kukagua taasisi za umma kuhusu utekelezaji wa matakwa ya sheria inayowataka kuwatambua waajiriwa walionufaika na mikopo ya elimu ya juu na kuwasilisha makato kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. George Nyatega, sheria iliyoanzisha HESLB inazitaka taasisi zzote za umma kuijulisha Bodi kwa maandishi...
9 years ago
Dewji Blog02 Sep
Waombaji mikopo HESLB waendelea kurekebisha taarifa zao
Afisa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Ezra Ndangoya akimwelekeza sehemu ya kuweka sahihi Bw. Sironga Lowassa (kulia) ambaye ni mwombaji wa mkopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 katika ofisi za HESLB jijini Dar es Salaam leo (Jumatano, Septemba 2, 2015). HESLB inaendelea na kazi ya kurekebisha taarifa za wanafunzi waliokosea kujaza fomu zao za maombi. (Picha na Eline Maronga-HESLB)
Afisa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bi. Zahra Kitara...
9 years ago
Mwananchi09 Nov
Bavicha yaipa HESLB saa 72 kujibu juu ya mikopo
9 years ago
MichuziHESLB YAWATAKA WAOMBAJI MIKOPO KUREKEBISHA TAARIFA ZAO
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bodi hiyo leo (Ijumaa, Agosti 28, 2015), jumla ya fomu za waombaji wa mikopo 7,788 kati ya 68,445 zilizopokelewa na kuhakikiwa zimegundulika kuwa fomu zina upungufu na kuwataka...
9 years ago
MichuziWAOMBAJI MIKOPO WAISHUKURU HESLB KWA KUWAPA FURSA KUREKEBISHA TAARIFA ZAO
9 years ago
Dewji Blog06 Nov
HESLB yajivua lawama wanafunzi vyuo vikuu kukosa mikopo 2015/2016
Na Mwandishi wetu
Zaidi ya wanafundi 50,000 watashindwa kuendelea na masomo ya elimu ya juu kutokana na kushindwa kupata mikopo kutoka katika Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB).
Hayo yamebainika ikiwa ni siku nne tangu HESLB kutoa majina ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016, huku idadi kubwa ikiwa haimo katika majina hayo.
Katika mwaka huu wa masomo bodi ya mikopo imeweza kuwapatia mikopo wanafunzi 12,000 pekee sawa na 17.1% ya waombaji zaidi ya 70,000,...
9 years ago
Michuzi07 Dec
Nafasi ya kazi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)