Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HESLB YAWATAKA WAOMBAJI MIKOPO KUREKEBISHA TAARIFA ZAO

Na Mwandishi Wetu

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 ambao fomu za maombi zimegundulika kuwa na upungufu na kuwataka kufanya marekebisho kabla au ifikapo tarehe 11 Septemba mwaka huu (2015).


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bodi hiyo leo (Ijumaa, Agosti 28, 2015), jumla ya fomu za waombaji wa mikopo 7,788 kati ya 68,445 zilizopokelewa na kuhakikiwa zimegundulika kuwa fomu zina upungufu na kuwataka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Waombaji mikopo HESLB waendelea kurekebisha taarifa zao

HESLB 1

Afisa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Ezra Ndangoya akimwelekeza sehemu ya kuweka sahihi Bw. Sironga Lowassa (kulia) ambaye ni mwombaji wa mkopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 katika ofisi za HESLB jijini Dar es Salaam leo (Jumatano, Septemba 2, 2015). HESLB inaendelea na kazi ya kurekebisha taarifa za wanafunzi waliokosea kujaza fomu zao za maombi. (Picha na Eline Maronga-HESLB)

HESLB 2

Afisa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bi. Zahra Kitara...

 

9 years ago

Michuzi

WAOMBAJI MIKOPO WAISHUKURU HESLB KWA KUWAPA FURSA KUREKEBISHA TAARIFA ZAO

 Afisa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Ezra Ndangoya akimwelekeza sehemu ya kuweka sahihi Bw. Sironga Lowassa (kulia) ambaye ni mwombaji wa mkopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 katika ofisi za HESLB jijini Dar es Salaam leo (Jumatano, Septemba 2, 2015). HESLB inaendelea na kazi ya kurekebisha taarifa za wanafunzi waliokosea kujaza fomu zao za maombi. Afisa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bi. Zahra Kitara (kushoto) akipokea viambatanisho vya...

 

9 years ago

Habarileo

Walionufaika na Mikopo HESLB watakiwa kuirejesha

SERIKALI imewataka waajiri wote na wanafunzi walionufaika na mikopo ya elimu ya juu, kurejesha ili Watanzania wengine wanaohitaji wanufaike na mikopo hiyo. Aidha, imesema itaendelea kuiwezesha Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kufanikisha shughuli zake ili wanafunzi wengi wapate mikopo.

 

11 years ago

Habarileo

HESLB waagizwa kudai fedha za mikopo

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetakiwa kuja na mbinu ya kuhakikisha wanaonufaika na mkopo wa elimu ya juu wanarejesha mkopo ili utumike kwa wanafunzi wengine hivyo kupunguza idadi ya wanafunzi wanaokosa mikopo hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Mikopo ya wanafunzi 40,836 tayari- HESLB

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), imewapangia mikopo wanafunzi 40,836 baada ya kukidhi vigezo vyake.

 

9 years ago

Dewji Blog

CAG sasa kuwabana waajiri mikopo ya HESLB

Mkurugenzi Mtendaji - Bw. George Nyatega (4)

Mkurugenzi Mtendaji – Bw. George Nyatega.

Na Mwandishi Wetu

Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeanza kukagua taasisi za umma kuhusu utekelezaji wa matakwa ya sheria inayowataka kuwatambua waajiriwa walionufaika na mikopo ya elimu ya juu na kuwasilisha makato kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. George Nyatega, sheria iliyoanzisha HESLB inazitaka taasisi zzote za umma kuijulisha Bodi kwa maandishi...

 

9 years ago

Mwananchi

Bavicha yaipa HESLB saa 72 kujibu juu ya mikopo

Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) limeipa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) saa 72, kutoa majibu ya sababu ya asilimia 82 ya wanafunzi kukosa mikopo mwaka huu.

 

9 years ago

Michuzi

NMB YAZINDUA MFUMO WA KISASA WA UTUNZAJI WA TAARIFA ZA MIKOPO, WATEJA SASA KUPATA MIKOPO NDANI YA SIKU 4.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc Ineke Bussemaker akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa za mikopo uliozinduliwa na Benki hiyo. Mfumo huo utatutumika kwenye kanzi data ya Mikopo ya Benki hiyo ( CRB's) na kuwawezesha wateja wakubwa na wadogo wa wanaoomba mikopo kutoka NMB kuipata ndani ya siku 1 hadi 4 kutokana na taarifa zao za mikopo kuendelea kuwepo kwenye mfumo wa Benki hiyo.Afisa Mkuu Udhibiti wa Hasara wa Benki ya NMB Bw. Tom Borghols (wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani