Nyerere alipanda mazao, mafisadi sasa wanatafuna
Najaribu sana kuzuia jazba zangu ninapoanza kuandika makala haya leo. Hasa nikitazama jinsi raslimali za taifa letu zilivyokuwa zikilindwa baada ya uhuru na zinavyotumika sasa, napata simanzi na hasira pengine bila sababu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Nov
CAG: Wabadhirifu, mafisadi sasa kukiona
10 years ago
Mwananchi03 Nov
Agra: Mazao sasa yatahifadhiwa kisasa
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Bei za mazao sasa kupatikana kwenye simu
SHIRIKA la Masoko la Kariakoo (SMK) kwa kushirikiana na mtandao wa 2Seeds, limezindua namba ya simu na tovuti ya bei ya mazao ambayo itatumika kujua bei mbalimbali za mazao nchini....
10 years ago
BBCSwahili16 Dec
Alipanda kreni kumposa mpenzi.Yalomkuta?
10 years ago
MichuziWAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA) KANDA YA DODOMA INAKABILIWA NA UFINYU WA ENEO LA KUHIFADHIA MAZAO MSIMU HUU WA UNUNUZI WA MAZAO
Vilevile Dr. Nchimbi ameelekeza ukarabati wa Maghala ya hifadhi ya “National Milling” yaliyopo eneo la Makole ambayo uwezo wake ni kuhifadhi takribani tani elfu 10 kwa ghala uwekewe mkakati ili kusaidia kuleta suluhisho la...
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Aliyoyapinga Nyerere, ndiyo yanafanyika sasa
OKTOBA 14 ya kila mwaka, Watanzania huadhimisha kifo cha muasisi wa taifa hili, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwalimu Nyerere, rais wa kwanza wa Tanganyika huru na baadaye Tanzania alifariki dunia...
10 years ago
Vijimambo29 May
Mawaziri wa sasa,wa Nyerere ,mbingu na nchi
![](http://jamboleo.co.tz/wp-content/uploads/2015/05/Julius-Nyerere-640x853.jpg)
Peter AmbilikileBARAZA la Mawaziri la sasa ambalo lina asilimia 95 ya wasomi na wenye umri zaidi ya miaka 50, limekuwa likikumbwa mara kwa mara na kashfa za ufisadi na kukosa uwajibikaji, ukilinganisha na baraza la Mwalimu Julius Nyerere na Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Amani Abeid Karume.Uchambuzi uliofanywa na gazeti hili unaonesha kwamba kati ya mawaziri 31 kamili, ni mawaziri sita tu ndiyo wenye umri wa miaka chini ya 50.Mawaziri hao ni Waziri wa Fedha, Saada Mkuya (40), Waziri wa...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/GrumRRxu4WA/default.jpg)
9 years ago
GPL14 Oct