Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Agra: Mazao sasa yatahifadhiwa kisasa

Taasisi ya Mapinduzi ya Kijani Afrika (Agra), imekuja na njia mpya za kisasa za uhifadhi wa mazao ya wakulima ili kukabiliana na changamoto ya kuharibika wakati wa kusubiri soko baada ya kuvunwa kutoka shambani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Agra yazindua teknolojia mpya ya uhifadhi mazao

 Taasisi ya Mapinduzi ya Kijani Afrika (Agra) imezindua mradi wa majaribio ya teknolojia mpya ya uhifadhi wa mazao ili kukabiliana na tatizo la kuharibika wakati wa kusubiri soko.

 

10 years ago

StarTV

Wakulima Bunda waaswa kuhifadhi mazao kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

Na Ahmed Makongo,

Bunda.

 

Wakulima wa mazao ya nafaka wilayani Bunda mkoani Mara wameshauriwa kutumia teknolojia ya kisasa ya mifuko ya Pics kuhifadhi vyakula ili visiharibike.

 

Katika uzinduzi wa teknolojia hiyo uliofanyika kijiji cha guta afisa kilimo wa Wilaya ya Bunda Serapion Rujuguru amlisema itawasaidia wakulima kukabiliana na njaa pamoja na kuuza vyakula hivyo kwa bei nzuri.

 

where to get student loans with no credit

Rujuguru alisema kuwa wakulima wengi wamekuwa wakipoteza...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

Watanzania waaswa kutumia teknolojia mpya na za kisasa kuzalisha mazao na sekta nzima ya kilimo

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, Mhe. Dkt Injinia Binilith Satano Mahenge akifungua rasmi Kongamano la ukuaji wa uchumi unaohimili mabadiliko ya Tabia Nchi  kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Mohammed Gharib Bilal,itakayofanyika kwa muda wa  siku mbili katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, Mhe. Dkt Injinia Binilith Satano Mahenge (wa pili kushoto), akizungumza na...

 

10 years ago

Vijimambo

RIPOTI YA HALI YA BIASHARA YA MAZAO YATOKANAYO NA BIOTEKNOLOJIA YA KISASA YA MWAKA 2014 YAZINDULIWA DAR ES SALAAM LEO

Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi (kushoto), akionesha Ripoti ya Hali ya Biashara ya Mazao yatokanayo na bioteknolojia ya kisasa ya mwaka 2014 baada ya kuizindua Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo wa wizara hiyo, Dk.Fidelis Myaka.
Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi (kulia), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Raphael Daluti Ripoti ya Hali ya Biashara ya Mazao yatokanayo na bioteknolojia ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Nyerere alipanda mazao, mafisadi sasa wanatafuna

Najaribu sana kuzuia jazba zangu ninapoanza kuandika makala haya leo. Hasa nikitazama jinsi raslimali za taifa letu zilivyokuwa zikilindwa baada ya uhuru na zinavyotumika sasa, napata simanzi na hasira pengine bila sababu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bei za mazao sasa kupatikana kwenye simu

SHIRIKA la Masoko la Kariakoo (SMK) kwa kushirikiana na mtandao wa 2Seeds, limezindua namba ya simu na tovuti ya bei ya mazao ambayo itatumika kujua bei mbalimbali za mazao nchini....

 

10 years ago

Dewji Blog

Makala ya kuongeza uzalishaji mazao ya Nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa na kuondokana na mizinga ya asili katika mkoa wa Singida

bidhaa[1]

Na Jumbe Ismailly, Singida      

HALMASHAURI ya wilaya ya Singida ina ukubwa wa kilomita za mraba 3,787 ambazo wananchi wake hujishughulisha na kilimo na ufugaji.

Mazao ya chakula na biashara yanayolimwa na wananchi hao ni pamoja na mtama,uwele,alzeti,vitunguu na dengu na zao la kipaumbele ni asali kwa ajili ya chakula na biashara.

Halmashauri ya wilaya ya Singida ina maeneo mapana ya ufugaji nyuki ikiwemo misitu ya watu binafsi na misitu ya ardhi ya Kijiji ukiwemo msitu wa Hifadhi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

NHC sasa kujenga miji ya kisasa Dar es salaam

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limepata mkopo wa Dola za kimarekani 1.7 bilioni kutoka China kwa ajili ya kuanzisha ujenzi wa miradi mitatu mikubwa ya miji ya kisasa jijini Dar es salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani