Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Tamisemi isisimamie uchaguzi’

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimependekeza Sheria ya Uchaguzi Serikali za Mitaa ibadilishwe ili uchaguzi huo usimamiwe na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) badala ya kusimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tamisemi: Waliovuruga uchaguzi sasa kukiona

Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), imeiagiza mikoa yote nchini kuwasilisha taarifa kuhusu kasoro zilizojitokea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa juzi ili iwachukulie hatua watendaji watakaobainika kuhusika.

 

10 years ago

Habarileo

Tamisemi yahamasisha uandikishaji uchaguzi wa serikali za mitaa

OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imeomba viongozi wa vyama vya siasa na asasi za kiraia kuhamasisha watanzania kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kupiga kura waweze kushirikiana katika uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa.

 

10 years ago

Michuzi

TAMISEMI YATANGAZA TAREHE YA KUJIANDIKISHA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

MKURUGENZI WA SERIKALI ZA MITAA BWANA KHALIST LUANDA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI (HAWAPO PICHANI) JUU YA KUKAMILIKA KWA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MJINI DODOMA LEO AMBAPO ALITANGAZA RASMI TAREHE YA KUANDIKISHA KUPIGA KURA . (PICHA NA HABARI KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI).
======  ========  =====
Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Bwana Kharist Michael Luanda amesema  wananchi wanapaswa kujiandikisha...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU TAMISEMI AWAASA WANASIASA,WAGOMBEA NA WASHABIKI KUENDESHA KAMPENI KWA AMANI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Jumanne Sagini akionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) Daftari la Wapiga Kura linalotumika kuandikisha wananchi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kushoto ni Mratibu wa Uchaguzi huo Bw. Denis Bandisa.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Jumanne Sagini akiongea na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Desemba 14 mwaka huu ambapo amesema...

 

10 years ago

Michuzi

TAMISEMI YAWEKA BAYANA utaratibu utakaotumika hapo kesho wakati wa upigaji kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Jumanne Sagini akiwaeleza waandishi wa Habari kuhusu utaratibu utakaotumika hapo kesho wakati wa upigaji kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo vituo vya kupigia kura vitafunguliwa saa mbili asubuhi (2:00) hadi saa kumi alasiri (10:00) ambapo wananchi wote watakaokuwepo vituoni hadi kufikia muda huo wataruhusiwa kupiga kura hadi watakapokuwa wamemalizika.Kushoto ni Mratibu wa uchaguzi huo bw.Denis...

 

10 years ago

Mwananchi

Tamisemi kuelimisha wapigakura

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia amesema wizara yake imeweka mikakati ya kuhakikisha inatoa elimu kwa jamii kupitia halmashauri ili wananchi watambue umuhimu wa kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura.

 

10 years ago

Mwananchi

Tamisemi: Posho za madiwani ni ndogo

Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imekiri kuwa, licha ya madiwani kuwa na kipato kidogo lakini bado wanalipwa posho isiyoendana na kazi yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete umeyasikia ya Tamisemi?

Tumelazimika tena leo katika kipindi kisichozidi wiki mbili kuzungumzia ufisadi unaoendelea kuitafuna Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi). Mwishoni mwa mwezi uliopita, tulichapisha habari za kushtusha kwamba Sh644 milioni kati ya Sh35 bilioni zilizotolewa na wahisani kutoka nchi sita za Magharibi kugharimia awamu ya pili ya Mpango wa Maboresho ya Serikali za Mitaa (LGRP) zimetafunwa na mafisadi wizarani humo.

 

10 years ago

Mwananchi

Tamisemi yafafanua makosa yaliyojitokeza

Ofisi ya Waziri Mkuu, Tamisemi imetoa ufafanuzi wa mahitaji ya nembo ya chama na halmashauri katika fomu ya kugombea uongozi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ikikiri kufanyika kimakosa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani