PANYA ROAD KWISHA KAZI! KOVA ALALA NJE SAA 120
![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX6C09*IqW1Cka9pxPThrqjCPdIG*YIDXLdr7cVbqOU3G4IvGQtfH0jrsgVIiScgcw-4rY98iuSORiKaUtbWgCS8/FRONTAMANI.jpg?width=650)
Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’ BAADA ya kuwakosesha amani wakazi wa Jiji la Dar es Salaam usiku wa Ijumaa iliyopita, lile kundi la vijana wahalifu linalojulikana kwa jina la Panya Road limefikia ukingoni baada ya kudhibitiwa kwa kasi kubwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Amani linakupa ‘full stori’. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova. Kundi hilo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Kamanda Kova hawajui Mbwa Mwitu, Panya Road?
MIONGONI mwa matukio makubwa yanayotikisa Jiji la Dar es Salaam sasa ni uvunjifu wa amani katika maeneo mbalimbali ya jiji yanayofanywa na vijana wanaojiita Mbwa Mwitu na Panya Road. Vijana...
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Waziri amsuta Kamanda Kova kuhusu Panya Road
10 years ago
Daily News20 Aug
120 students survive road accident
Daily News
ABOUT 120 students from Nkomolo Secondary School in Namanyere Town, Nkasi District in Rukwa Region and their teachers cheated death when the Lorry they were travelling in veered off the road and overturned in Kirando Village along the shore of Lake ...
10 years ago
Tanzania Daima20 Oct
Mrema kwisha kazi Vunjo
HALI ya kisiasa ya Mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro, Augustine Mrema, (TLP), imezidi kuwa mbaya baada ya ngome yake kuzidi kumeguka na kutangaza kumuunga mkono Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James...
9 years ago
Mwananchi25 Oct
Kibarua cha Makata, Kagera kwisha kazi
10 years ago
CloudsFM05 Jan
Panya Road 36 mbaroni
Vijana wa kikundi hicho wenye umri wa kati ya miaka 16 mpaka 30, walizua vurugu katika maeneo mbalimbali ya jiji na kusababisha baadhi ya shughuli kusitishwa kwa muda.
Wananchi walikuwa na hofu ya kuvamiwa na wahalifu wa kikundi hicho, waliokuwa wanapiga watu, kupora na kuharibu magari.
Akizungumza na waandishi...
10 years ago
AllAfrica.Com06 Jan
500 Arrested Over 'Panya Road'
IPPmedia
AllAfrica.com
POLICE in Dar es Salaam have arrested 510 youth, suspected of being members of a criminal group known as 'panya road,' who are alleged to have invaded and attacked people in the city on Friday evening. Special Zone Police Commander Suleiman Kova ...
510 'panya road' netted in Dar es SalaamIPPmedia
Tanzanian police arrest 36 in connection with gang violenceSabahi Online
all 18
10 years ago
Mtanzania06 Jan
Panya Road 500 mbaroni
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limewatia mbaroni vijana 500, maarufu Panya Road ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu wa kutumia silaha na uporaji.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleimani Kova, alisema vijana hao walikamatwa katika operesheni maalumu iliyofanyika katika mikoa mitatu ya kipolisi ya Ilala ambako walikamatwa vijana 104, Temeke (168) na Kinondoni (202).
Alisema operesheni hiyo ilitokana...
10 years ago
Habarileo06 Jan
Panya Road 510 mbaroni
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia watu 510 wakiwemo viongozi watatu wa kundi linalojihusisha na uhalifu la ‘Panya Road’ .