Waziri amsuta Kamanda Kova kuhusu Panya Road
>Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amesema Watanzania wamepoteza imani na Jeshi la Polisi na ameliagiza kujitathmini na kutoa majibu kuhusu kukamatwa kwa vijana 1,200 wa kikundi cha uhalifu maarufu Panya Road.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Kamanda Kova hawajui Mbwa Mwitu, Panya Road?
MIONGONI mwa matukio makubwa yanayotikisa Jiji la Dar es Salaam sasa ni uvunjifu wa amani katika maeneo mbalimbali ya jiji yanayofanywa na vijana wanaojiita Mbwa Mwitu na Panya Road. Vijana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX6C09*IqW1Cka9pxPThrqjCPdIG*YIDXLdr7cVbqOU3G4IvGQtfH0jrsgVIiScgcw-4rY98iuSORiKaUtbWgCS8/FRONTAMANI.jpg?width=650)
PANYA ROAD KWISHA KAZI! KOVA ALALA NJE SAA 120
Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
BAADA ya kuwakosesha amani wakazi wa Jiji la Dar es Salaam usiku wa Ijumaa iliyopita, lile kundi la vijana wahalifu linalojulikana kwa jina la Panya Road limefikia ukingoni baada ya kudhibitiwa kwa kasi kubwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Amani linakupa ‘full stori’. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova. Kundi hilo...
10 years ago
VijimamboMBOWE NA KAMANDA KOVA WATOLEA UFAFANUZI KUHUSU MAANADAMANO YA KUMSINDIKIZA MGOMBEA URAIS KUCHUKUA FOMU
11 years ago
MichuziKAMANDA KOVA AZINDUA PIKIPIKI YA HERO DAWN 125 CC
11 years ago
GPLKAMANDA KOVA AZINDUA PIKIPIKI YA HERO DAWN 125 CC
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Astarc Motors Tanzania Ltd, Sameer Musale (kushoto), wakifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa pikipiki mpya aina ya Hero Dawn 125cc katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akijaribu moja ya pikipiki mpya aina ya Hero Dawn 125cc...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/UHYpsTi4Y0E/default.jpg)
10 years ago
CloudsFM05 Jan
Panya Road 36 mbaroni
Vijana wa kikundi hicho wenye umri wa kati ya miaka 16 mpaka 30, walizua vurugu katika maeneo mbalimbali ya jiji na kusababisha baadhi ya shughuli kusitishwa kwa muda.
Wananchi walikuwa na hofu ya kuvamiwa na wahalifu wa kikundi hicho, waliokuwa wanapiga watu, kupora na kuharibu magari.
Akizungumza na waandishi...
10 years ago
TheCitizen10 Jan
‘Panya Road’: Possible economic causes and solutions
On the 2nd of January 2015 a group of youth popularly known as ‘Panya Road’ caused havoc in several streets of Dar es Salaam. It is said that ‘Panya Road’ is a criminal gang that involves itself in armed and other kinds of robbery. Its actions are violent and involve attacking people on the streets as well as robbery in business premises.
11 years ago
Mwananchi29 May
Wazazi wa ‘Panya road’ wakamatwa
Jeshi la Polisi jijini hapa limewakamata wazazi wa vijana wanaounda kundi la uhalifu maarufu kama ‘Panya Road’ ili wasaidie kuwafichua watoto wao ambao wanahusika na uhalifu huo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania