Wazazi wa ‘Panya road’ wakamatwa
Jeshi la Polisi jijini hapa limewakamata wazazi wa vijana wanaounda kundi la uhalifu maarufu kama ‘Panya Road’ ili wasaidie kuwafichua watoto wao ambao wanahusika na uhalifu huo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima27 May
155 wakamatwa wakihusishwa Panya Road
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imewakamata watu 155 kwa tuhuma za kujihusisha na kundi la uhalifu la Panya Road. Kundi hilo wiki iliyopita lilivamia maeneo mbalimbali ya Dar...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-gqmcW82rQWs/VKqiRCpJbgI/AAAAAAADU2w/11QgWkli60E/s72-c/kova.jpg)
Watuhumiwa 510 mtandao wa panya road wakamatwa Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-gqmcW82rQWs/VKqiRCpJbgI/AAAAAAADU2w/11QgWkli60E/s1600/kova.jpg)
Vijana 510 wanaodaiwa kujihusisha na vitenda vya kihalifu chini ya kundi maarufu la ‘panya road’ wamekamatwa na jeshi la Polisi Kanda Maalum jijini Dar es Salaam kwa mahojiano.Watuhumiwa hao wamekatwa katika mikoa ya kipolisi ya Kinondoni, Temeke na Ilala ambapo jeshi la polisi limefanya msako mkali kuweza kuwabaini lengo likiwa ni kuimarisha ulinzi nchini.Kamishna wa Polisi Suleiman Kova ametoa wito kwa wazazi wa watoto...
10 years ago
CloudsFM05 Jan
Panya Road 36 mbaroni
Vijana wa kikundi hicho wenye umri wa kati ya miaka 16 mpaka 30, walizua vurugu katika maeneo mbalimbali ya jiji na kusababisha baadhi ya shughuli kusitishwa kwa muda.
Wananchi walikuwa na hofu ya kuvamiwa na wahalifu wa kikundi hicho, waliokuwa wanapiga watu, kupora na kuharibu magari.
Akizungumza na waandishi...
10 years ago
Mtanzania06 Jan
Panya Road 500 mbaroni
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limewatia mbaroni vijana 500, maarufu Panya Road ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu wa kutumia silaha na uporaji.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleimani Kova, alisema vijana hao walikamatwa katika operesheni maalumu iliyofanyika katika mikoa mitatu ya kipolisi ya Ilala ambako walikamatwa vijana 104, Temeke (168) na Kinondoni (202).
Alisema operesheni hiyo ilitokana...
10 years ago
AllAfrica.Com06 Jan
500 Arrested Over 'Panya Road'
IPPmedia
AllAfrica.com
POLICE in Dar es Salaam have arrested 510 youth, suspected of being members of a criminal group known as 'panya road,' who are alleged to have invaded and attacked people in the city on Friday evening. Special Zone Police Commander Suleiman Kova ...
510 'panya road' netted in Dar es SalaamIPPmedia
Tanzanian police arrest 36 in connection with gang violenceSabahi Online
all 18
10 years ago
TheCitizen10 Jan
‘Panya Road’: Possible economic causes and solutions
10 years ago
Habarileo06 Jan
Panya Road 510 mbaroni
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia watu 510 wakiwemo viongozi watatu wa kundi linalojihusisha na uhalifu la ‘Panya Road’ .
10 years ago
Mtanzania03 Jan
Panya Road waivuruga Dar
![Kamishna Suleiman Kova](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Suleiman-Kova.jpg)
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova
Na Waandishi Wetu
GENGE la vijana wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu jijini Dar es Salaam linalofahamika zaidi kwa jina la Panya Road, jana usiku lilivamia maeneo mbalimbali ya jiji na kufanya vitendo vya uhalifu.
Taarifa za kufanyika kwa vitendo hivyo vya uhalifu zilifika katika chumba cha habari cha gazeti la MTANZANIA Jumamosi saa 2.00 usiku na dakika chache baadaye zilisambaa katika mitandao ya kijamii huku zikiwa...
11 years ago
Daily News27 May
149 'Panya Road' gangsters held
Daily News
Daily News
POLICE in Dar es Salaam have arrested 149 youths who are suspected to be involved in the gang commonly known as 'Panya Road.' The arrests follow a special operation conducted in separate areas in the city from Saturday until early Monday morning.