Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMANDA KOVA AZINDUA PIKIPIKI YA HERO DAWN 125 CC

  Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova (katikati), na  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya  Astarc Motors Tanzania Ltd, Sameer Musale (kushoto), akifungua kitmbaa kuashiriauzinduzi wa pikipiki mpya aina ya Hero Dawn 125cc katika hafla yailiyofanyika jijini Dar es Salaam jana.   Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akijaribu moja ya pikipiki mpya aina ya Hero Dawn 125cc katika hafla ya uzinduzi wa pikipiki hiyo jijini Dar es Salaam jana....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KAMANDA KOVA AZINDUA PIKIPIKI YA HERO DAWN 125 CC‏

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova (katikati) na  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya  Astarc Motors Tanzania Ltd, Sameer Musale (kushoto), wakifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa pikipiki mpya aina ya Hero Dawn 125cc katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akijaribu moja ya pikipiki mpya aina ya Hero Dawn 125cc...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madereva wa bodaboda waletewa Hero Dawn

MADEREVA wa bodaboda nchini wameshauriwa kutumia pikipiki za Hero Dawn zilizotengenezwa kwa kukidhi mahitaji ya mteja, kwa sababu zinatumia mafuta kidogo kwa umbali mrefu. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Astarc...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kamanda Kova hawajui Mbwa Mwitu, Panya Road?

MIONGONI mwa matukio makubwa yanayotikisa Jiji la Dar es Salaam sasa ni uvunjifu wa amani katika maeneo mbalimbali ya jiji yanayofanywa na vijana wanaojiita Mbwa Mwitu na Panya Road. Vijana...

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri amsuta Kamanda Kova kuhusu Panya Road

>Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amesema Watanzania wamepoteza imani na Jeshi la Polisi na ameliagiza kujitathmini na kutoa majibu kuhusu kukamatwa kwa vijana 1,200 wa kikundi cha uhalifu maarufu Panya Road.

 

10 years ago

Vijimambo

MBOWE NA KAMANDA KOVA WATOLEA UFAFANUZI KUHUSU MAANADAMANO YA KUMSINDIKIZA MGOMBEA URAIS KUCHUKUA FOMU

 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema kuwa UKAWA hawana taarifa zozote za zuio la maandamano ya kumsindikiza kuchukua fomu Mgombea wao wa Urais Mh. Edward Lowassa yanayoanzia ofisi za CUF hadi tume ya Uchaguzi (NEC).Kwa upande wa Jeshi la Polisi ,Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova, amesema kuwa maandamano wanayo yatambua ni yale yanayoanzia CHADEMA kwenda NEC na kurudi Chadema makao makuu kinondoni, lakini ya kutoka makao makuu ya CUF buguruni kwenda NEC...

 

10 years ago

GPL

KAMISHNA KOVA AZINDUA KITUO CHAPOLISI VINGUNGUTI

Kituo cha polisi kilichofunguliwa. Baadhi ya askari wakiwa sehemu ya mapokezi. Sehemu ya jiwe la msingi la uzinduzi wa kituo…

 

11 years ago

Michuzi

KAMANDA KOVA AKUTANA NA WANAHABARI KUZUNGUMZIA SWALA NA VIUNGO LA VIUNGO VYA WATU VILIVYOTUPWA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,CP Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati akitoa taarifa ya tukio la kukutwa kwa viunga vya binadamu liliyotokea jana jioni maeneo ya Bonde la Mbweni,Mpiji. Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhulia Mkutano huo wa Kamanda Kova.
Chini ni Taarifa Rasmi iliyotolewa leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani