Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu nane wafa kwa mvua Dar es Salaam

Watu nane wamekufa na mamia kukosa makazi kutokana na mvua kubwa zinazonyesha katika jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Watu 4 wafa Dar es Salaam

WATU wanne wamekufa katika matukio tofauti jijini Dar es Salaam, huku tukio la kwanza maiti ya mtoto mchanga akiokotwa akiwa ametupwa Mabibo External. Maiti ya mtoto mchanga mwenye jinsia ya kike akiwa na umri wa siku moja aliokotwa Aprili 20, mwaka huu akiwa amewekwa ndani ya kopo na kutupwa maeneo hayo.

 

11 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:WATU NANE WAKAMATWA KWA TUKIO LA VIUNGO VYA BINADAMU JIJINI DAR.

  Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam,Suleiman Kova akizungumza na Vyombo vya habari mbalimbali mapema leo, makao makuu ya jeshi la polisi jijini Dar kuhusiana na sakata la viungo vya binadamu vilivyokamatwa jana INGIA HAPA KUONA TUKIO HILO.Kamanda Kova amesema kuwa watu wanane wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo.

Kamanda Kova amesema kuwa jopo la Wataalamu saba limeundwa kuchunguza tukio hilo na amethibitisha kuwa viungo vile vilikuwa ni vya maiti,ambavyo hutumika na...

 

9 years ago

StarTV

Ujenzi waendelea kwa kasi mabondeni Dar es Salaam licha ya athari za mvua

Shughuli za kuendeleza maeneo ya Mabondeni jijini Dar es Salaam zinachukua kasi kubwa licha ya Serikali kutoa tahadhari na kuwataka wakazi wa maeneo hayo kuhama.

Hatua hiyo inachukuliwa kutokana na uelewa mdogo wa jamii juu ya madhara yanayotokea pindi mvua nyingi zinaponyesha na kusababisha maafa kwa jamii iishiyo maeneo hayo.

Katika hali ya kushangaza maeneo haya ya mabondeni ambayo Serikali imekuwa ikizuia watu kuishi, kutokana na kuwa hatarishi kwa maisha, wakati mvua za masika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 25 wafa kwa kunywa gongo India

Watu 25 wamekufa katika mji wa Mumbai nchini India kutokana na kunywa pombe haramu aina ya gongo

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu 30 wafa kwa moto vitani Ukraine

Zaidi watu 30 wameuawa kwa moto wakati mapigano kati ya majeshi ya Ukraine na yale ya vikosi vya wanamgambo wanaounga mkono Urusi.

 

10 years ago

BBCSwahili

DRC: Watu wawili wafa kwa Ebola

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo imesema watu wawili wamekufa kutokana na ugonjwa wa Ebola,

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani