Watu 4 wafa Dar es Salaam
WATU wanne wamekufa katika matukio tofauti jijini Dar es Salaam, huku tukio la kwanza maiti ya mtoto mchanga akiokotwa akiwa ametupwa Mabibo External. Maiti ya mtoto mchanga mwenye jinsia ya kike akiwa na umri wa siku moja aliokotwa Aprili 20, mwaka huu akiwa amewekwa ndani ya kopo na kutupwa maeneo hayo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 May
Watu nane wafa kwa mvua Dar es Salaam
11 years ago
Habarileo22 Jun
Daladala laua watu 6 Dar es Salaam
WATU sita wamekufa na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali, iliyohusisha magari manne kugongana. Yaligongana katika barabara ya Bagamoyo, eneo la njia panda ya Lugalo katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo03 May
Ajali zaua watu 4 Dar es Salaam
WATU wanne wamekufa katika matukio matatu tofauti jijini Dar es Salaam, kutokana na ajali za barabarani, ikiwemo mwanafunzi wa kidato cha kwanza, Ally Hamadi (13) kugongwa na gari akivuka barabara.
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Watu wa Dar es Salaam walivyouanza mwaka na msanii wa Nigeria..(+Picha)
Ni usiku wa kuamkia January 1, 2016 ambapo mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva walikutana na kuenjoy muziki mzuri kutoka kwa msanii wa Nigeria, Tekno uliofanyika katika ukumbi wa King Solomon Dar es Salaam. Hizi ni baadhi ya picha za kutoka kwenye eneo hilo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? […]
The post Watu wa Dar es Salaam walivyouanza mwaka na msanii wa Nigeria..(+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Watu 20 wafa, 15 wajeruhiwa
WATU 20 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 15 wamejeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa limeegeshwa pembeni mwa barabara. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino...
11 years ago
Mwananchi22 Apr
Watu 11 wafa ajalini
11 years ago
Habarileo31 Mar
Watu 20 wafa ajali ya Hiace
WATU 21 wamekufa na 10 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi dogo la abiria aina ya Hiace na lori. Ajali hiyo ilitokea juzi katika kijiji cha Mkupuka kata ya Kibiti wilayani Rufiji mkoani Pwani.
11 years ago
Habarileo04 Apr
Watu 6 wafa katika matukio tofauti
WATU sita wamekufa katika matukio tofauti, ikiwemo maiti ya mtoto mchanga wa kiume iliyookotwa ikiwa imewekwa katika mfuko wa nailoni na kutupwa maeneo ya Pugu Kajiungeni, Dar es Salaam.
10 years ago
BBCSwahili12 Jan
Kilevi:Watu zaidi ya 50 wafa Msumbiji