Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Daladala laua watu 6 Dar es Salaam

WATU sita wamekufa na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali, iliyohusisha magari manne kugongana. Yaligongana katika barabara ya Bagamoyo, eneo la njia panda ya Lugalo katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Daladala’ ya Mv Dar es Salaam kuzinduliwa

Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli amekagua safari ya kivuko cha Mv Dar es Salaam kwa mara ya kwanza hadi Bagomoyo, huku kukiwa na changamoto kadhaa miezi michache kabla ya uzinduzi rasmi wa huduma hiyo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

UDA, wamiliki daladala Dar es Salaam wapongezwa

UONGOZI wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), pamoja na wamiliki wa daladala mkoa wa Dar es Salaam, wamesaini mkataba wa makubaliano ya kushirikiana kwa lengo la kushinda zabuni ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Kiwango cha nauli za daladala kushuka Dar es Salaam

Kiwango cha nauli kitakacholipwa baada ya kukamilika kwa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) kinaelezwa kuwa ni kidogo ukilinganisha na kile kinacholipwa na abiria sasa.

 

9 years ago

Michuzi

DALADALA LAACHA NJIA NA KUPARAMIA GENGE NA BAJAJ MAENEO YA KITUNDA JIJINI DAR ES SALAAM LEO ASUBUHI

 Wananchi wakiangalia ajali ya daladala lenye namba za usajili T 456 BVT lililoacha njia kutokana na mwendokasi na kuparamia genge na bajaj yenye namba MC 611 ADC, maeneo ya Kitunda relini barabara ya Mombasa kwenda Moshi Baa Dar es Salaam leo asubuhi. Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa daladala kukimbilia abiria. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa. wananchi wakiangalia ajali hiyo. Daladala hilo likiwa ndani ya genge baada ya kuacha njia.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA...

 

11 years ago

Habarileo

Watu 4 wafa Dar es Salaam

WATU wanne wamekufa katika matukio tofauti jijini Dar es Salaam, huku tukio la kwanza maiti ya mtoto mchanga akiokotwa akiwa ametupwa Mabibo External. Maiti ya mtoto mchanga mwenye jinsia ya kike akiwa na umri wa siku moja aliokotwa Aprili 20, mwaka huu akiwa amewekwa ndani ya kopo na kutupwa maeneo hayo.

 

11 years ago

Habarileo

Ajali zaua watu 4 Dar es Salaam

WATU wanne wamekufa katika matukio matatu tofauti jijini Dar es Salaam, kutokana na ajali za barabarani, ikiwemo mwanafunzi wa kidato cha kwanza, Ally Hamadi (13) kugongwa na gari akivuka barabara.

 

10 years ago

Habarileo

Basi laua watu 4 korongoni

AJALI nyingine imetokea nchini na safari hii imehusisha basi la Air Bus, lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Tabora.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani