Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UDA, wamiliki daladala Dar es Salaam wapongezwa

UONGOZI wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), pamoja na wamiliki wa daladala mkoa wa Dar es Salaam, wamesaini mkataba wa makubaliano ya kushirikiana kwa lengo la kushinda zabuni ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DALADALA, UDA WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA MABASI YAENDAYO KASI DAR

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadik alizumgumza na wamiliki wa UDA na daladala.…

 

10 years ago

Mwananchi

‘Daladala’ ya Mv Dar es Salaam kuzinduliwa

Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli amekagua safari ya kivuko cha Mv Dar es Salaam kwa mara ya kwanza hadi Bagomoyo, huku kukiwa na changamoto kadhaa miezi michache kabla ya uzinduzi rasmi wa huduma hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Daladala laua watu 6 Dar es Salaam

WATU sita wamekufa na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali, iliyohusisha magari manne kugongana. Yaligongana katika barabara ya Bagamoyo, eneo la njia panda ya Lugalo katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Dewji Blog

UDA yasisitiza nia yake ya kuboresha usafiri Dar Es Salaam

419019_10150720985913420_2033299647_n

Na Mwandishi Wetu,

KAMPUNI ya Simon Group Limited imesisitiza dhamira yake ya kuboresha sekta ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam licha ya kampeni zinazoendelea kutoka kwa washindani binafsi ikiwa na lengo la kuvuruga mpango unaoendelea wa uwezekezaji katika Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) ili waweze kuitawala biashara ya usafiri.

Kwa mujibu wa taarifa ya UDA, mpango unaendelea wa kuifanya Dar es Salaam liwe jiji lenye urahisi katika usafiri kwa kufanya kazi kwa karibu na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wamiliki wa daladala imarisheni kampuni’

WAMILIKI wa mabasi ya abiria jijini Dar es Salaam (Daladala) wametakiwa kuimarisha kampuni ya Mzizima Dar es Salaam Express, ili kuwawezesha kuwa na sifa na nguvu ya kushiriki mchakato wa...

 

9 years ago

Michuzi

NEC YAKUTANA NA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu,Damian Lubuva akizungumza na wamiliki  wa vyombo vya habari (hawapo pichani) jinsi ya tume hiyo inavyofanya kazi kuelekea uchagauzi Mkuu katika mkutano ulifanyika leo katika Ukumbi wa Serena jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk.Reginard Mengi akichangia maada katika mkutano wa Wamiliki na Vyombo vya habari  uliotishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) uliofanyika leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiwango cha nauli za daladala kushuka Dar es Salaam

Kiwango cha nauli kitakacholipwa baada ya kukamilika kwa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) kinaelezwa kuwa ni kidogo ukilinganisha na kile kinacholipwa na abiria sasa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wamiliki daladala watakiwa kujiandikisha DART

WAKALA wa mradi wa mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam (DART) umewataka wamiliki wote wa daladala ambao mabasi yao yanapita katika Barabara ya Morogoro au kukatiza katika njia hiyo kufika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani