Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Daladala’ ya Mv Dar es Salaam kuzinduliwa

Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli amekagua safari ya kivuko cha Mv Dar es Salaam kwa mara ya kwanza hadi Bagomoyo, huku kukiwa na changamoto kadhaa miezi michache kabla ya uzinduzi rasmi wa huduma hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

FILAMU MPYA YA WAKE-UP KUZINDULIWA AGOSTI 30, 2015 JIJINI DAR ES SALAAM

 Muandaaji wa Filamu ya Wake-Up, Manaiki Sanga (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu filamu hiyo mpya inayotarajiwa kuzinduliwa Agosti 30, 2015. Kulia ni msanii wa filamu, Farida Sabua 'Mama Sonia na Salim Ahmed 'Gabo'. Msanii wa filamu, Taiya Odero (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
 Meza kuu. Kutoka kulia ni Taiya Odero,  Farida Sabua 'Mama Sonia,  Muandaaji wa Filamu ya Wake-Up, Manaiki Sanga , Salim Ahmed 'Gabo na Kaushik...

 

11 years ago

Habarileo

Daladala laua watu 6 Dar es Salaam

WATU sita wamekufa na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali, iliyohusisha magari manne kugongana. Yaligongana katika barabara ya Bagamoyo, eneo la njia panda ya Lugalo katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Tanzania Daima

UDA, wamiliki daladala Dar es Salaam wapongezwa

UONGOZI wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), pamoja na wamiliki wa daladala mkoa wa Dar es Salaam, wamesaini mkataba wa makubaliano ya kushirikiana kwa lengo la kushinda zabuni ya...

 

10 years ago

Habarileo

Kituo cha daladala Ubungo kuzinduliwa

KITUO kipya cha daladala cha Ubungo kilichohamishiwa Kituo cha Simu, kati ya barabara ya Sam Nujoma na Sinza jijini Dar es Salaam, linatarajiwa kuzinduliwa rasmi kesho kutwa. Hayo yalielezwa katika taarifa ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Ofisa Mfawidhi wake, Conrad Shio.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiwango cha nauli za daladala kushuka Dar es Salaam

Kiwango cha nauli kitakacholipwa baada ya kukamilika kwa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) kinaelezwa kuwa ni kidogo ukilinganisha na kile kinacholipwa na abiria sasa.

 

9 years ago

Vijimambo

TAASISI YA WANAWAKE WAHASIBU TANZANIA KUZINDULIWA HOTELI YA HYATT REGENCY KILIMANJARO DAR ES SALAAM KESHO

 Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake Wahasibu Tanzania (TAWCA), Neema Kiure- Mssusa (wa pili kulia), akiwaonesha waandishi wa habari cheti cha usajili wa taasisi hiyo Dar es Salaam leo asubuhi, wakati wa mkutano uliohusu uzinduzi wa taasisi hiyo utakaofanyika leo Hoteli ya Hyatt Regence (Kilimanjaro Hoteli). Kutoka kulia ni Mratibu wa Taasisi hiyo, Rose Majuva, Mwenyekiti, Bahati Geuzye na mmoja wa waanzilishi wa taasisi hiyo, Anna Shanalingingigwa. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

Programu ya kukuza ajira zenye staha kwa vijana kuzinduliwa jijini Dar es Salaam juni 5, 2015

 Mratibu wa Programu ya kukuza Ajira zenye Staha Dar es Salaam, kupitia Elimu ya Biashara na Maendeleo ya Ujasiriamali Bw. Dominic Ndunguru akiwasilisha mada kuhusu utekelezaji wa program hiyo jana jijini Dar es Salaam. Programu hii inaendeshwa kwa ubia wa asasi za kiraia za Tanzania Youth Vission Associataion (TYVA), Open Mind Tanzania (OMT)  na Youth For Africa (YOA).  Mshauri wa maswala ya Sera na Miradi ya Maendeleo wa Tanzania Youth Vision Association Bw. Elly Ahimidiwe Imbyandumi...

 

9 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MASHINDANO YA POLISI JAMII KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM - KAMISHNA KOVA CUP KUZINDULIWA HIVI KARIBUNI

JESHI  la Polisi  Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatarajia kuzindua mashindano ya michezo mbalimbali kwa lengo la kuwashirikisha wananchi  wa  rika zote  na  itikadi  mbalimbali yatakayojulikana“KAMISHNA KOVA CUP”.
 Madhumini ya mashindano haya ni  ni  Kuwaunganisha wananchi wenye itikadi mbalimbali ili kupitia mashindano  haya  watakaoshiriki  watajifunza  masuala  ya usalama, uzalendo  na kuzingatia utaifa kwa madhumuni ya kuwashirikisha kikamilifu katika ulinzi wa nchi na kudumisha amani ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani