Watu 6 wafa katika matukio tofauti
WATU sita wamekufa katika matukio tofauti, ikiwemo maiti ya mtoto mchanga wa kiume iliyookotwa ikiwa imewekwa katika mfuko wa nailoni na kutupwa maeneo ya Pugu Kajiungeni, Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Watatu wafa katika matukio tofauti
11 years ago
Dewji Blog02 Jul
Watano wafa katika matukio tofauti Singida
Kamanda wa polisi Mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela.
Na Mwandishi wetu, Singida
Watu watano wakiwemo watatu wa familia moja,wameuawa katika matukio tofauti,likiwemo la wanafamilia hao kukatwa katwa kwa mapanga sehemu mbalimbali za miiili yao na watu wasiofahamika.
Tukio hilo la mauaji lililowahusisha wanandoa hao lilitokea siku tano baada ya kuuawa kikatili kwa wanandoa wengine wawili,Bwana Ramadhan Lyanga (80) na Bi Aziza Ali (62) wakazi wa wilayani Iramba.
Akielezea matukio hayo,...
11 years ago
Habarileo11 Dec
Wanne Moro wafa katika matukio tofauti
WATU wanne wamekufa na watano kujeruhiwa mkoani Morogoro katika ajali tofauti ikiwemo ya watoto wawili kufa baada ya nyumba waliokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Kwa mujibu wa Kaimu kamanda John Laswai tukio hilo lilitokea Desemba 7 saa 4 usiku katika maeneo ya Mbuga Tarafa ya Ulanga Wilayani Uranga Mkoani hapa.
11 years ago
Dewji Blog12 Jun
Watu wanne wafariki dunia katika matukio tofauti
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Singida, SACP Geofrey Kamwela.
Na Nathaniel Limu, Singida
WATU Wanne mkoani Singida wamefariki dunia katika matukio tofauti,likiwemo la wanandoa wawili kuuawa na kisha nyumba yao kuchomwa moto na wao kuteketea pamoja na mali zao.
Wanandoa hao ni Ramadhani Lyanga (80) na mke wake Aziza Ally (60) wakazi wa kitongoji cha Kizega kijiji cha New Kiomboi tarafa ya Kisiriri wilaya ya Iramba.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Singida, SACP Geofrey Kamwela amesema...
11 years ago
Dewji Blog13 Jul
Watu wanne wafariki dunia katika matukio tofauti Singida
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela.
Na Nathaniel Limu, Singida
WATU wanne mkoani Singida wamefariki dunia katika matukio tofauti,likiwemo la mwanafunzi wa kidato cha kwanza sekondari ya Eldersgate Manyara kujinyonga kwa kutumia kamba ya manila.
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela,alisema kuwa mwanafunzi huyo Uswile Lazaro (15) mkazi wa kijiji cha Ulemo tarafa ya Kinampanda wilaya ya Iramba,amejinyinga juzi jioni huko katika kijiji cha...
11 years ago
Mwananchi31 Dec
Watu wanne wafariki dunia katika matukio tofauti Dar
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-hNbkb14VxzE/VP3aGCjTqsI/AAAAAAAHJKU/qapesK8GZy8/s72-c/unnamed%2B(54).jpg)
Watu matatu wafariki dunia Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti
![](http://2.bp.blogspot.com/-hNbkb14VxzE/VP3aGCjTqsI/AAAAAAAHJKU/qapesK8GZy8/s1600/unnamed%2B(54).jpg)
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME amesema tukio la kwanza limetokea tarehe 08/03/2015 Majira ya saa 11:00hrs huko katika kijiji cha Mundemu Kata ya Mundemu Wilaya ya Bahi Mkoa wa Dodoma mtu aliyefahamika kwa jina la LEGANGA KAZIMOTO, Mwenye miaka 40, Mkulima na Mkazi wa kijiji cha Mbalawala Manispaa ya Dodoma aliuwawa kwa kupigwa na kitu kizito sehemu mbali mbali za mwili wake na...
10 years ago
Dewji Blog11 Sep
Ajali yaua askari Magereza mkoa wa Singida, wengine watatu wafa kwenye matukio tofauti
Askari Magereza Ramadhan Mussa (54) enzi za uhai wake.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
WATU wanne wamefariki dunia Mkoani Singida katika matukio tofauti likiwemo la askari magereza mmoja wa Mkoa wa Singida kufa baada ya kupata ajali mbaya ya gari lake dogo kugongana uso kwa uso na lori usiku.
Kamanda wa polisi Mkoani hapa Geofrey Kamwela alisema askari magereza wa huyo ametambuliwa kuwa ni Staff Sagenti Ramadhan Mussa (54) alikufa papo hapo baada ya gari lake alilokuwa akiendesha kuacha njia na...
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Watu watatu wafariki dunia matukio tofauti Iringa