Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu wa Dar es Salaam walivyouanza mwaka na msanii wa Nigeria..(+Picha)

Ni usiku wa kuamkia January 1, 2016 ambapo mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva walikutana  na kuenjoy muziki mzuri kutoka kwa msanii wa Nigeria, Tekno uliofanyika katika ukumbi wa King Solomon Dar es Salaam. Hizi ni baadhi ya picha za kutoka kwenye eneo hilo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? […]

The post Watu wa Dar es Salaam walivyouanza mwaka na msanii wa Nigeria..(+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

introducing kazi za msanii ashery mkama wa dar es salaam

Msanii Ashery Mkama wa Dar es salaam amefika ofisi za Globu ya Jamii na kutambulisha kazi zake zilizokamilika za  sanamu za wanyama mbalimbali alizotengeneza kwa kutumia karatasi . Anasema yeye ana uwezo wa kutengeneza sanamu ya mnyama yeyote ama kitu chochote kile. Ukihitaji huduma zake mwandikie kwa kutumia email ya asherymkama@gmail.com

 

10 years ago

Jamtz.Com

HUYU NDO MSANII WA KIMATAIFA ATAKAEPIGA SHOW FIESTA YA DAR ES SALAAM

Tweet


Wakati Tour ya Fiesta ikiwa inazunguka kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo weekend hii ni Mbeya na Songea, ametangazwa msanii wa kimataifa ambae ni rasmi atapanda kwenye stage ya Fiesta Dar es salaam October 2014 Leaders Club Kinondoni.
Rapper T.I ndio msanii wa kimataifa kwenye stage ya Fiesta October 18 2014 akiwa ni mkali ambae kwa sasa anamiliki chati za muziki kwa single yake ya No Mediocre

 

11 years ago

Michuzi

Dk. Fenella Mukangara kuzindua Siku ya Msanii hoteli ya Sea Cliff, Dar es salaam

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo Dk. Fenella Mukangara keshokutwa anatarajiwa kuzindua Siku ya Msanii Tanzania katika sherehe zitakazofanyika katika hoteli ya Sea Cliff Dar es Salaam. Akizungumza jana mjini Dar es Salaam, Ofisa Habari wa Mradi wa Siku ya Msanii Tanzania, Petter Mwendapole, alisema Dk. Mukangara amepewa jukumu hilo kutokana wizara yake kuhusika moja kwa moja sanaa. “Waziri amekubali jukumu la kuwa mgeni rasmi kwa sababu wizara yake ndio mama wa wasanii, na...

 

11 years ago

Habarileo

Watu 4 wafa Dar es Salaam

WATU wanne wamekufa katika matukio tofauti jijini Dar es Salaam, huku tukio la kwanza maiti ya mtoto mchanga akiokotwa akiwa ametupwa Mabibo External. Maiti ya mtoto mchanga mwenye jinsia ya kike akiwa na umri wa siku moja aliokotwa Aprili 20, mwaka huu akiwa amewekwa ndani ya kopo na kutupwa maeneo hayo.

 

11 years ago

Habarileo

Daladala laua watu 6 Dar es Salaam

WATU sita wamekufa na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali, iliyohusisha magari manne kugongana. Yaligongana katika barabara ya Bagamoyo, eneo la njia panda ya Lugalo katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Ajali zaua watu 4 Dar es Salaam

WATU wanne wamekufa katika matukio matatu tofauti jijini Dar es Salaam, kutokana na ajali za barabarani, ikiwemo mwanafunzi wa kidato cha kwanza, Ally Hamadi (13) kugongwa na gari akivuka barabara.

 

9 years ago

Bongo5

Msanii wa Nigeria Burna Boy aponda mfumo wa muziki wa Nigeria, adai umejaa siasa

Burna-Boy

Muimbaji wa Dancehall kutoka Nigeria, Burna Boy ameponda mfumo wa muziki wa Nigeria na kudai kuwa umejaa siasa ndio sababu hapati tuzo nyingi anazostahili.

Burna-Boy

Akizungumza na jarida la Fader, Burna amesema kutokana na hayo anajiona kama yeye si sehemu ya muziki wa Nigeria kwasababu kuna baadhi ya watu walioutawala muziki huo wasiompenda.

“Kusema kweli ni siasa tupu, sijioni kama ni sehemu ya kiwanda cha muziki, angalia tuzo, sipati tuzo kwasababu wanaoutawala hawanipendi, mimi sio kama...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu nane wafa kwa mvua Dar es Salaam

Watu nane wamekufa na mamia kukosa makazi kutokana na mvua kubwa zinazonyesha katika jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA 27 Ecobank Group jijini Dar es Salaam

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 27 wa Ecobank wakiwa kwenye mkutano huo, katika  Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre uliofanyika jijini Dar es Salaam leo, 19 June 2015. Meza kuuWakurugenzi wa Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya ECOBANK wakishiriki Mkutano Mkuu wa mwaka wa benki hiyo, uliofanyika ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre jijini Dar es Salaam leo, 19 June 2015.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Emmanuel Ikazoboh (kulia), akiendesha Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Ecobank Group,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani