Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madereva wa mabasi, bajaj wasutana

WAMILIKI na madereva wa mabasi ya daladala mkoani Kigoma wamezitaka mamlaka zinazosimamia upangaji njia na vituo vya kushusha abiria kupangia bajaj maeneo yao, maalumu kuondokana na migongano iliyopo sasa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MADEREVA WA BAJAJ, BODABODA WAGONGANA BAMAGA NA KUFANYIANA FUJO

Madereva wa Bajaj wakiwa wamemweka kati dereva bodaboda. Watu wakitawanyika baada ya muafaka. MADEREVA wa Bajaj wanaopaki maeneo ya Bamaga-Sinza jijini Dar es Salaam leo  walimzingira dereva wa bodaboda na kuzua mzozo baada ya wote kugongana uso kwa uso na kusababisha mizigo iliyokuwa kwenye Bajaj izagae hovyo. Tukio hilo…

 

11 years ago

GPL

MADEREVA WA BODA BODA, BAJAJ WAANDAMANA KINONDONI JIJINI DAR

Madereva Bajaj na Bodaboda wakiwa nje ya ofisi za chadema Makao Makuu Kinondoni jijini Dar wakipinga tamko la kuzuiwa kuingia kati kati ya mji na maeneo ya mjini.
Mmoja wa Madereva Bajaj akiongea na vyombo vya habari makao makuu ya Chadema Kinondoni. Polisi…

 

11 years ago

Habarileo

Madereva wa mabasi wagoma

ABIRIA waliokuwa wanasafiri kwa mabasi kutoka Kanda ya Ziwa kuelekea mikoa ya Pwani na Kaskazini, juzi walijikuta wakilazimika kuchelewa kufika mjini Singida kwa zaidi ya saa tatu kutokana na mgomo wa madereva wao.

 

10 years ago

Mwananchi

Madereva mabasi ya Uda wagoma

Madereva wa mabasi ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda), jana waligoma kushinikiza kupunguzwa kiwango cha fedha wanachotakiwa kurejesha kwa siku.

 

10 years ago

Habarileo

Madereva mabasi kama wa bodaboda

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, akitoa takwimu za vifo vilivyotokana na ajali za barabarani kati ya Januari Mosi mwaka huu hadi Aprili 12, sawa na siku 102 vifo 969.WAKATI ajali za barabarani zikiendelea kumaliza nguvu kazi ya Taifa na kuumiza vichwa vya Watanzania kuhusu suluhisho la ajali hizo, imefahamika moja ya tatizo sugu ni kukosekana kwa madereva wenye taaluma stahiki, ingawa wana leseni.

 

10 years ago

Habarileo

Madereva mabasi,malori watishia kugoma

MADEREVA wa malori na mabasi yanayofanya safari za ndani na nje ya nchi, wametishia kugoma kufanya kazi kuanzia Ijumaa ijayo, ikielezwa ni kutaka kuishinikiza serikali kutatua changamoto zinazowakabili katika utoaji wa huduma za usafiri nchini.

 

10 years ago

GPL

MADEREVA WA MABASI YA UDA WAGOMA KUINGIA KAZINI!

Picha zote zinaonyesha wakazi wa Mbagala wakiwa Mbagala Rangi Tatu wakisubiri usafiri na wengine wakipanda mabasi ya daladala kwa kugombea. Madereva wa Kampuni ya Usafi jijini Dar es Salaam (UDA), leo wamegoma kuingiza mabasi barabarani kwa kinachoelezwa ni madai mbalimbali ya haki zao dhidi ya shirika hilo. Kwa mujibu wa dereva mmoja ambaye hakupenda kuweka wazi jina lake, wamefikia hatua hiyo kufuatia uongozi wao kutosikia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani