Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madereva mabasi kama wa bodaboda

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, akitoa takwimu za vifo vilivyotokana na ajali za barabarani kati ya Januari Mosi mwaka huu hadi Aprili 12, sawa na siku 102 vifo 969.WAKATI ajali za barabarani zikiendelea kumaliza nguvu kazi ya Taifa na kuumiza vichwa vya Watanzania kuhusu suluhisho la ajali hizo, imefahamika moja ya tatizo sugu ni kukosekana kwa madereva wenye taaluma stahiki, ingawa wana leseni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Madereva 18 wa bodaboda kortini

MADEREVA 18 wa pikipiki maarufu kama bodaboda, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Sokoine Drive, jijini Dar es Salaam kujibu mashitaka ya kupakia abiria bila leseni ya usafirishaji.

 

10 years ago

Mwananchi

Madereva 15 wa bodaboda mbaroni

Morogoro. Polisi Mkoa wa Morogoro inawashikilia madereva 15 wa bodaboda kwa tuhuma za kufanya vurugu katika eneo la Fire zilizosababishwa na mmoja wao kumdhalilisha askari mmoja wa kike.

 

11 years ago

Habarileo

Madereva wa mabasi wagoma

ABIRIA waliokuwa wanasafiri kwa mabasi kutoka Kanda ya Ziwa kuelekea mikoa ya Pwani na Kaskazini, juzi walijikuta wakilazimika kuchelewa kufika mjini Singida kwa zaidi ya saa tatu kutokana na mgomo wa madereva wao.

 

10 years ago

Mwananchi

RC awavaa madereva bodaboda

Madereva wa pikipiki katika Mkoa wa Ruvuma (yeboyebo) ambao watabainika kujihusisha na vitendo vya uhalifu watachukuliwa hatua za kufikishwa katika vyombo vya sheria.

 

10 years ago

Mwananchi

Madereva mabasi ya Uda wagoma

Madereva wa mabasi ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda), jana waligoma kushinikiza kupunguzwa kiwango cha fedha wanachotakiwa kurejesha kwa siku.

 

10 years ago

Habarileo

Madereva bodaboda wafa ajalini

MWENDESHA pikipiki (bodaboda), Moshi Ramadhani (27) amekufa papo hapo huku abiria aliyekuwa amembeba ambaye ni Ofisa Utamaduni wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, amesagika mguu na kuvunjika mkono, baada ya kugongwa na basi.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Nimenusurika kuuawa na madereva bodaboda’

Ni unyama. Ni unyama. Ni unyama.  Hili ndilo neno pekee linaloweza kubeba dhima ya  tukio hili. Unyama huo  leo umemfikisha msichana mdogo wa miaka 21 katika kitanda cha Hospitali  ya Taifa ya Muhimbili (MNH), akiwa na majeraha ya kutisha pamoja na udhalilishaji wa kijinsia.

 

11 years ago

Habarileo

Madereva 180 bodaboda rumande

KUNA vijana waendesha bodaboda 180 waliokamatwa jijini Dar es Salaam na sasa wapo mahabusu, imedaiwa. Wengine 400 wametozwa faini na wengine wamehukumiwa kwa kosa la kuingiza bodaboda katikati ya Jiji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani