MADEREVA WA BAJAJ, BODABODA WAGONGANA BAMAGA NA KUFANYIANA FUJO
Madereva wa Bajaj wakiwa wamemweka kati dereva bodaboda. Watu wakitawanyika baada ya muafaka. MADEREVA wa Bajaj wanaopaki maeneo ya Bamaga-Sinza jijini Dar es Salaam leo walimzingira dereva wa bodaboda na kuzua mzozo baada ya wote kugongana uso kwa uso na kusababisha mizigo iliyokuwa kwenye Bajaj izagae hovyo. Tukio hilo…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo06 Aug
Madereva wa mabasi, bajaj wasutana
WAMILIKI na madereva wa mabasi ya daladala mkoani Kigoma wamezitaka mamlaka zinazosimamia upangaji njia na vituo vya kushusha abiria kupangia bajaj maeneo yao, maalumu kuondokana na migongano iliyopo sasa.
11 years ago
Habarileo03 Apr
Bodaboda, bajaj marufuku kubeba mtoto wa miaka 9
KANUNI mpya za uendeshaji usafiri wa pikipiki na bajaj maarufu bodaboda, zimeainishwa zikisisitiza waendeshaji wa vyombo hivyo, kutekeleza masharti, ikiwemo linalokataza kupakia mtoto mwenye umri wa miaka tisa na chini yake. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imesisitiza kutumiwa kwa kanuni hizo na kusema mtoto wa umri huo, anapaswa awe na mtu mzima aliyeongozana naye, ndipo apakiwe kwenye vyombo hivyo.
11 years ago
TheCitizen05 Jul
Loan scheme ensures safe use of bajaj, bodaboda
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR5yJKw7L0RjXyXxHM4R7-W7K6qulivbhY4r8Uunzajy*rGwmWloyR6cAJ-xWei7YJE7FPsPB24fLov7ykVNKTk4/ss.jpg)
ASKARI POLISI WAGONGANA USO KWA USO NA BODABODA, MORO
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-qwlNJnNdY7s/UyLQF9N_IbI/AAAAAAAALeU/bmULOIDmcM4/s1600/B3.jpg?width=640)
MADEREVA WA BODA BODA, BAJAJ WAANDAMANA KINONDONI JIJINI DAR
10 years ago
Mwananchi12 Jun
Madereva 15 wa bodaboda mbaroni
11 years ago
Habarileo04 Apr
Madereva 18 wa bodaboda kortini
MADEREVA 18 wa pikipiki maarufu kama bodaboda, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Sokoine Drive, jijini Dar es Salaam kujibu mashitaka ya kupakia abiria bila leseni ya usafirishaji.
10 years ago
Mwananchi21 Sep
RC awavaa madereva bodaboda
11 years ago
Habarileo09 Jul
Madereva 180 bodaboda rumande
KUNA vijana waendesha bodaboda 180 waliokamatwa jijini Dar es Salaam na sasa wapo mahabusu, imedaiwa. Wengine 400 wametozwa faini na wengine wamehukumiwa kwa kosa la kuingiza bodaboda katikati ya Jiji.