Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ASKARI POLISI WAGONGANA USO KWA USO NA BODABODA, MORO

Afande Mage akigalagala kwenye lami kugongwa na bodaboda. Dereva bodaboda akiwa amepoteza fahamu huku akivuja damu masikioni. ASKARI wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (F.F.U) mkoani Morogoro aliyefahamika kwa jina moja la Mage amevunjika mguu na kupoteza fahamu kwa muda baada ya pikipiki aliyopanda kugongana uso kwa uso na bodaboda eneo la Mji Mpya mbele ya kituo cha polisi. Afande Mage ambaye amevunjika mguu na mfupa kutoka nje,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE USO KWA USO NA PINTO MWENYEKITI WA TASWA‏

 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), ambaye pia ni mmiliki wa magazeti ya Jambo Leo na Staa Spoti, Juma Pinto wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Ikulu, Dar es Salaam juzi. (PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)…

 

10 years ago

Vijimambo

Muwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rageh

Bandora Salum Mirambo akiwasilia katika ofisi za CCM wilaya ya Tabora kuchukua fomu za ubunge wa Tabora mjiniWagombea ubunge wa jimbo la Tabora mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mh Aden Rageh na Bandora Mirambo leo
hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.


Wawania kuteuliwa na CCM...

 

11 years ago

Michuzi

ankal uso kwa uso na wazee wa kazi jijini london leo

 Wazee wa kazi wa Serengeti Freight Forwarders  ya jijini London Kaka Muhsin (kushoto) na Kaka Chris  wakiwa wametulia tuli kabla ya kumpa ofa ya bonge la lunch ya usiku huu Ankal katika hoteli ya Hyatt Regency Churchill, London. Ankal akila selfie na Wazee wa Kazi Kaka Muhsin (kushoto) na Chris ambao pia walitumia nafasi hiyo kusherehekea kuhamisha ofisi yao ya Serengeti Freight Forwarders. Wao wanakuwa wamatumbi wa kwanza kuwa na ofisi sehemu za  Tilbury Port. Soma maelezo hapo...

 

10 years ago

Michuzi

Muwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rage

Bandora Salum Mirambo akiwasilia katika ofisi za CCM wilaya ya Tabora kuchukua fomu za ubunge wa Tabora mjiniWagombea ubunge wa jimbo la Tabora mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mh Aden Rage na Bandora Mirambo leo hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.
Wawania kuteuliwa na CCM...

 

11 years ago

Michuzi

Msondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club

Mlimani Park Orchestra “Sikinde”Msondo Ngoma BandMagwiji wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma Band na Mlimani Park Orchestra “Sikinde” siku ya Iddi Mosi watachuana vikali katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Temeke. Mpambano huo wa Nani Mtani Jembe ni kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Id El Fitr na pia litaamua ni bendi ipi kali kati yao. Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga amesema pambano hilo litaanza saa nane alasiri hadi majogoo. Kapinga alisema bendi zote mbili ziko msituni...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete uso kwa uso na Pinto Mwenyekiti wa Taswa

Untitled

 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), ambaye pia ni mmiliki wa magazeti ya Jambo Leo na Staa Spoti, Juma Pinto wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Ikulu, Dar es Salaam juzi..PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 

 

9 years ago

Bongo5

Diva uso kwa uso na rapper wa Marekani B.o.B, Jumamosi hii

20151209210051

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse atakutana na rapper wa Marekani, Bobby Ray Simmons, Jr. maarufu kama B.o.B jijini Nairobi, Kenya Jumamosi hii.

20151209210051

Rapper huyo atatumbuiza Nairobi kwenye show ya Jameson Live Party 2015.

Diva amechaguliwa kuwa mmoja wa watu watakaokutana naye kutokana na kuwa na impact kubwa kwenye redio nchini.

“I am so excited,” ameiambia Bongo5.

“B.o.B ni moja kati ya list ya wasanii wa Marekani ambao I listen too. Namuona on BET, Grammys na kwingine, so I can’t wait...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani