Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Odama kumuanika baba wa mtoto soon!

bb56d63a31a7af57Staa wa filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ Na Suzan Kayogela.

BAADA ya kukataa katukatu kumuanika baba wa mtoto, staa wa filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ kwa mara ya kwanza amesema mwaka mpya na mambo mpya na kuwa sasa yupo tayari kumuanika na soon atajulikana.

Tangu ajifungue mtoto wa kiume, Jason miaka takriban miwili iliyopita, Odama alikuwa akikataa kumuweka wazi baba wa mtoto huyo.

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ODAMA AZIDI KUMFICHA BABA WA MTOTO!

Imelda Mtema STAA anayejitambua ndani ya gemu la filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefungua kinywa chake kuwa watu wanaosubiri amnadi baba watoto wake watakuwa wamechelewa sana kwani hana mpango huo kwa sasa. Staa anayejitambua ndani ya gemu la filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’. Akichonga na Amani Odama alisema, kila kitu katika maisha kina mpangilio wake hivyo wakati utakapofika atamtambulisha...

 

9 years ago

GPL

MTOTO AMTESA ODAMA

Imelda Mtema Mateso! Sexy lady wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ ametiririka kwamba katika kipindi chote alichokuwa mikoani kwa ajili ya Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) alikuwa akiteseka kila alipopiga simu kujua hali ya mtoto wake ambapo ilikuwa siyo chini ya mara saba kwa siku. Sexy lady wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Odama alifunguka kuwa alikuwa akipitia...

 

9 years ago

GPL

ODAMA: NATAMANI MTOTO MWINGINE

Imelda Mtema Staa wa filamu za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa anatamani kuongeza mtoto mwingine wa pili kwa kuwa ametambua utamu wa kuitwa mama. Akizungumza na Ijumaa, Odama alisema kuwa mambo ya wasichana kupenda usichana zaidi na kutoa mimba kwa sasa yamepitwa na wakati na wanaofanya hivyo hawajui raha ya kuwa mama.  ....Saoma zaidi===>http://bit.ly/1KcDePs ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: ‘Bethidei Pati’ ya Mtoto wa Odama Kama Harusi!

Staa mrembo wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefanya kufuru ya aina yake baada ya kumwandalia mwanaye, Janson bonge la sherehe ya kuzaliwa (bethidei), aliyekuwa akitimiza mwaka mmoja iliyokuwa kama harusi.

Pati hiyo iliyohudhuriwa na mastaa kibwena Bongo ilichukua nafasi kwenye Ukumbi wa Msasani Beach, Kinondoni jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo shughuli nzima ilikuwa imeandaliwa kama harusi ambapo kwa mujibu wa waandaaji iliteketeza mamilioni ya shilingi yanayodaiwa kumwagwa na...

 

9 years ago

Bongo5

Utani Huu: Mpambe wa Ex wa Zari anataka DNA ya mtoto wa Diamond, anadai yeye ni baba, juzi alidai Ivan ndio baba!

Guys kuna mambo mengi sana feki yanaendelea kwenye mitandao ya kijamii. Tena zaidi ni kuwa mengi yanakuja na picha zinazoashiria ukweli lakini katika maisha ya chuki na visasi, kila kitu kinawezekana. Mtoto wa Diamond, Tiffah Bahati mbaya tunaishi kwenye dunia ambayo watu huamini haraka mambo hasi ambayo kwa kawaida husambaa haraka zaidi kuliko yale chanya. […]

 

10 years ago

GPL

WASTARA KUMUANIKA MRITHI WA SAJUKI

Staa wa filamu Bongo, Wastara Juma. Stori: Imelda Mtema
STAA wa filamu Bongo, Wastara Juma, ametamka hadharani kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na msanii yeyote ndani ya Kundi la Bongo Movie. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Wastara alisema kuna maneno mengi yanasemwa kuwa ana uhusiano na mtu ndani ya kundi hilo kitu ambacho si sahihi, atamuanika mrithi wa marehemu Sajuki siku si nyingi. “Unajua muda...

 

11 years ago

GPL

MTOTO: BABA AMEUAWA NIKIONA

Stori: Haruni Sanchawa na Mkongoro Oging'
MTOTO mmoja aliyetambulishwa kwa jina la Joyce Jeremia, 11,(pichani)  amejeruhiwa vibaya katika mapigano ya wa kulima na Wamasai ambao ni wafugaji katika Kijini cha Laitini, Kiteto mkoani Manyara. Baba mdogo wa mtoto huyo Amos Njelu aliwasimulia waandishi wetu akiwa katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (Moi) amesema kuwa mtoto huyo alijeruhiwa Jumamosi ya Januari 12, 2014...

 

10 years ago

GPL

MTOTO ALIVYONYONGWA NA BABA WA KAMBO

Na Dustan Shekidele, MOROGORO JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Zamili Shabani kwa madai ya kumnyonga hadi kumuua mtoto wake wa kambo, (mwaka mmoja na nusu) huku mauaji hayo yakihusishwa na wivu wa mapenzi.   Abdulrahman Hamis Clemensi enzi za uhai wake. Tukio hilo la ajabu lililowaacha vinywa wazi wakazi wa eneo hilo lilijiri saa 6 mchana wa Desemba 2, mwaka huu kwenye nyumba waliopanga wanandoa hao, Zamili...

 

9 years ago

Mwananchi

Simba aua baba, mtoto

Simba amevamia nyumba ya mkazi mmoja wa Kijiji cha Sitalike wilayani Mlele mkoani Katavi na kuwaua watu wawili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani