MTOTO: BABA AMEUAWA NIKIONA
![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtp8wWoTZq7iehayGldclp7nxrdx3FU8iLGHM6IxFPhOfP5REH5F0IzjS6rQSmKnG*jBdS4SRqyK3MbIVlge0DaN/UKATILI.jpg?width=650)
Stori: Haruni Sanchawa na Mkongoro Oging' MTOTO mmoja aliyetambulishwa kwa jina la Joyce Jeremia, 11,(pichani)Â amejeruhiwa vibaya katika mapigano ya wa kulima na Wamasai ambao ni wafugaji katika Kijini cha Laitini, Kiteto mkoani Manyara. Baba mdogo wa mtoto huyo Amos Njelu aliwasimulia waandishi wetu akiwa katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (Moi) amesema kuwa mtoto huyo alijeruhiwa Jumamosi ya Januari 12, 2014...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Aug
Utani Huu: Mpambe wa Ex wa Zari anataka DNA ya mtoto wa Diamond, anadai yeye ni baba, juzi alidai Ivan ndio baba!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3WL4yNYnOoZMXKJh0NS6QL-QC1NYFWPzRAdUetAGbvp1HgbNWR6CenaUHj50htqvhlIeeL8PDo1iK824qCl9QmfPOntsorTP/9000.jpg?width=650)
MTOTO ALIVYONYONGWA NA BABA WA KAMBO
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Simba aua baba, mtoto
9 years ago
Global Publishers07 Jan
Odama kumuanika baba wa mtoto soon!
Staa wa filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ Na Suzan Kayogela.
BAADA ya kukataa katukatu kumuanika baba wa mtoto, staa wa filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ kwa mara ya kwanza amesema mwaka mpya na mambo mpya na kuwa sasa yupo tayari kumuanika na soon atajulikana.
Tangu ajifungue mtoto wa kiume, Jason miaka takriban miwili iliyopita, Odama alikuwa akikataa kumuweka wazi baba wa mtoto huyo.
11 years ago
Mwananchi21 Jul
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bAnmdOW7NainuVeiDCBH8jrVA64EyQ-Nf70ZIhavKYg6nUvik6fzjCUcqKB1CYf-egmIKCxOzxOOzHpCzcbf*ftKpu7iUmpy/p.txt.jpg?width=650)
ODAMA AZIDI KUMFICHA BABA WA MTOTO!
9 years ago
Habarileo24 Oct
Mtoto wa Kingunge amgeuka baba yake
MTOTO wa mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombale Mwiru, Kunje amempinga baba yake na kusema kwamba hawezi kuleta mabadiliko yoyote kwa kushirikiana na Ukawa kama ambavyo wamekuwa wakijinadi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj21Akal30yzh4YKEVchrJ8Ut7O8jxn4A5N5ePBSC3pXz7IK4SmcWgerFU0gzw1GoGG38Mra6vXLLWK03aID9kOi/SNURA.gif?width=650)
SNURA AMWANIKA BABA WA MTOTO WAKE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsul9s2kopcfsVpmUshDeOSE*NyzvttGjpXAA0ujMR-*vktuZHGTPT9r8DjN6mwgW7*Lu3GZMRlohgB2gyDb3-Hmo/baba.jpg)
MAMA, BABA WADAIWA KUMSULUBU MTOTO!