Alikiba akanusha tetesi za kumpa ujauzito Jokate
Staa wa Bongo fleva, Alikiba amekanusha taarifa zilizoandikwa na moja ya magazeti ya udaku hivi karibuni, kuwa amempa ujauzito Jokate Mwegelo.
Hivi ndivyo ilivyoandikwa:
“Wakati Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu akihaha kuhakikisha anaitwa mama, habari ‘exclusive’ iliyotua kwenye meza ya gazeti hili inadai kuwa, mwanamitindo anayefanya pia muziki na filamu, Jokate Mwegelo amenasa ujauzito huku muhusika mkuu wa mzigo huo akidaiwa kuwa ni mpenzi wake wa sasa, Ali Saleh Kiba ‘Ali...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies09 May
Tetesi: Jokate na Alikiba Wadaiwa Kuzama Penzini
Tetesi za mastaa wa hapa Bongo, Jokate Mwegelo na Ally Kiba kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi zimezidi kupamba moto baada ya hapo jana mtangazaji wa Clouds FM Soudy Brown kumuoji Jokate juu ya ukweli wa tetesi hizo ambapo Jokate aliishia kucheka tu bila kutoa majibu.
Kwa mujibu wa Soudy kwa muda mrefu amekuwa akiwafuatilia wa wili hao kwani mara nyingi wamekuwa wakionana wakiwa pamoja sehemu mbalimbali kama kwenye restaurants na mara kadhaa nyumbani kwa Alikiba.
Sasa leo kwenye...
11 years ago
Habarileo04 Jul
Adaiwa kubaka, kumpa ujauzito mwanafunzi
MKAZI wa kijiji cha Kasovo, Joseph Ayoub (20) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Nkasi kujibu mashitaka mawili ya kumbaka na kumpatia ujauzito mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 17.
11 years ago
Dewji Blog09 Aug
Baba adaiwa kumbaka binti na kumpa ujauzito
Na Mwandishi wetu
SERIKALI ya Kijiji cha Bwekela,Kitongoji cha Mwina, kata ya Igoweko,wilayani Igunga, Mkoa wa Tabora inamtafuta mkazi mmoja wa Kijiji hicho, Kashinje Shima kwa tuhuma za kumbaka na kumpa mimba mtoto wake wa kike,Mbalu Kashinde mwenye umri wa miaka 17.
Mama mzazi wa mtoto huyo,Jeni Njiro alisema tukio hilo lilitokea Julai,23,mwaka huu baada ya binti huyo kugundulika kuwa na ujauzito wa miezi saba sasa.
Alisema kabla ya kugundua kitendo hicho cha kinyama kilichokuwa...
9 years ago
GPL
JOKATE ANASA UJAUZITO!
10 years ago
Bongo Movies12 Jan
Jokate Akanusha Kutoka na Millard Ayo!
Mwanamitindo na mwigizaji, Jokate Mwegelo ameucho molea vilivyo uvumi uliozagaa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji Millard Ayo wa Clouds FM.
Uvumi huo ulianzia mitandaoni ambapo mwanahabari wetu alipomtafuta Jokate juzikati, aliweka plain ukaribu wake na Millard ambaye ni mtangazaji mwenye mvuto mkubwa kwa jamii.
“Millard ni mshkaji, namkubali kutokana na uchapakazi wake, anajua kujituma na ni mpambanaji lakini nje ya hapo hakuna cha zaidi,” alisema Jokate.
Picha: Jokate akiwa...
9 years ago
GPL
YALIYOMO KWENYE GAZETI LA IJUMAA: JOKATE ANASA UJAUZITO!
10 years ago
Vijimambo28 May
EXCLUSIVE: JOKATE ASUBIRIA MAAMUZI YA ALIKIBA

She was miss Tanzania namba two 2006 Jokate Mwegelo ambaye ni maarufu kwa jina la Kidoti, we know kwamba Jokate anavipaji vingi coz yeye ni Presenter, Actress, Fashionist, pia ni muimbaji wa muziki wa Bongo fleva.
Hivyo wakati Jokate akizungumza Exclusive na mwandishi wetu, alifungua ukurasa wa maelezo haya.
ABOUT FASHION“Ilove Fashion coz nilitokea kwenye ulimbwende hapa nchini na Tasnia hii kiukweli bado haijafanyiwa vitu vingi,so kwangu mimi nifaraja kwa sababu Brand yangu ya Kidoti,...
10 years ago
CloudsFM12 Mar
Aunt Ezekiel akanusha tetesi za yeye kujifungua
Baada ya kuzagaa taarifa za staa wa filamu za kibongo Tanzania Aunty Ezekiel kujifungua hatimaye ameamua kufunguka na kusema kwamba yeye bado hajajifungua na ile video ambayo watu wameiona ni kipande cha movie yake ambayo itatoka hivi karibuni
